Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,503
- 2,773
Watu wengi wamekuwa wakidhani issa wa quruan tukufu ni sawa na YESU KRISTO apatikanaye ndani ya biblia takatifu @# lkn n kinyume kabisa sifa za Issa ndan ya quruan tukufu n tofauti kabisa na sifa za KRISTO YESU ndani ya biblia takatifu wale n watu wawili tofauti kabisa na hwenda mmoja n wa kutunga hajawahi tokea duniani @# mfano issa ndani ya quruan tukufu hana ukoo wakati ndani ya biblia ana ukoo ambao unarudi nyuma mpaka kwa Adam
@# Issa alizaliwa chini ya mti mahali tofauti na YESU ambaye alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe tena bethelehem ya uyahud
#@ Issa alivozaliwa aliota meno na kuongea hapo hapo kinyume na YESU ambaye biblia inamsemea mtoto akakua akaongezaka nguvu rohon (biblia takatifu imekaa kimya haijasema kama aliota meno)
#@ Issa hakuwa na wanafunzi lakn KRISTO YESU alikuwa na wanafunzi 12
#@Issa hakubatiza lkn KRISTO YESU alibatiza kwa jina la BABA na la MWANA na la ROHO MTAKATIFU
@# Issa hakusherekea pasaka lakn YESU KRISTO alihidhuria pasaka katika umri wa miaka 12
@# Issa hakutabiriwa popote kama hatakuja lkn YESU KRISTO alitabiriwa na manabii wengi
@# Issa alisema yeye sio chochote wala lolote wakati KRISTO YESU alisema YEYE ndiyo njia nuru na uzima.
@# Issa hakusulubiwa msalaban ila YESU KRISTO alikufa kwa ajili ya ukombozi wa wanadam
@# Issa hakufunga siku 40 usiku na mchana lkn KRISTO YESU hakula wala kunywa wala kufuturu kwa siku 40 usiku na mchana
@# Issa hakuwahi kumwita MUNGU baba yake lkn YESU alimwita MUNGU(YAHWE YEHOVA MUNGU WA MILELE) baba yake na tena akasema YEYE NA BABA NI UMOJA.
@# Ushahidi huu unapatikana ndan ya vitabu viwili quruan tukufu ambayo inajisema yenyewe kuwa imeshushwa mafungu mafungu toka mbinguni (kuanzia mwaka wa 600 A.D ) na biblia takatifu iloandikwa na manabii wa kiyahudi chini ya uweza wa ROHO MTAKATIFU na tena ilokuwepo miaka 3000 kabla ya quruan tukufu kuwepo ((kwa baadhi ya vitabu kama torati waamuzi yoshua ezra nehemia wafalme zaburi ayubu na kadhalika vilikuwepo miaka 3000 kbla ya quruan kuwepo) na huku vitabu vya injili vikiwepo miaka 600 kabla ya quruani kuwepo. Rukusa kukosoa.