Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Umjuwe Yesu halafu uingie kanisani? Yesu lini aliingia kanisani?

NAJUA UNADANGANYWA KUWA YESU ALIINGIA MSIKITINI NA MASHEKH WAKO ,

NITAKUGEUZA UBAO WA KUFUNDISHIA KWA WENGINE


Neno SInagogi linatokana na Kigiriki συναγωγή sinagoge likimaanisha "mkutano"; ni tafsiri ya Kiebrania בית כנסת beit knesset yaani "nyumba ya mkutano".

Wayahudi hutumia pia neno la Kiyiddish "shul" (=shule) kutajia sinagogi. Katika lugha ya kiebrania neno “ beit ” linamaana “ nyumba” ndio maana hata ukisoma bethsaida “ Nyumba ya mvuvi” au bethsania-Nyumba ya masikini. Bethlehemu, nyumba ya mkate. (Soma injili imetajwa sana majina haya )

Katika Israeli ya Kale (kabla ya maangamizi ya Yerusalemu mwaka 587 KK) inaonekana hakukuwa na sinagogi: walau halitajwi kabisa katika Agano la Kale.

Inaonekana ya kwamba masinagogi yalianzishwa baada ya hekalu ya Yerusalemu kubomolewa pamoja na kuanza uhamisho wa Wayahudi kwenda nchi mbalimbali.
Tangu kuharibiwa kwa Hekalu la Pili mwaka 70 Wayahudi wana masinagogi tu kufanyia ibada.

Je Sinagogi laweza kuwa ni Msikiti katika uasili wa lugha?
Qur-an Surat 22:40

Andiko hili linataja majina ya majengo mbalimbali ya ibada ikiwemo na sinagogi ingawa halikuwekwa kwenye tafsiri ya Qur-an ya Kiswahili ila tutalichunguza kwa watafsiri wengine wa Qur-an hususani tafsiri ya kingereza iliyotolewa na Mwanazuoni wa Kislam ndugu Yusufu Ally.

Qur-an ya sura ya 22 :40 katika tafsiri ya kiingereza inaeleza yafuatayo
Those who have been expelled from their homes unjustly but only because they say our Lord is Allahfor had it not been that Allah checks one by means of another have been pulled down Monasteries Churches Sinagogues and Mosques …….
Tafsiri ya aya hiyo katika Kiswahili

majengo hayo katika matamshi ya kiarabu na maana zake hapo chini.

BILASHAKA YANGELIVUNJWA
KISWAHILI KIARABU
1) Mahekalu Swawamiyu
1. Hekalu Swawaamiu
2. Kanisa Biyaun
3. Msikiti Masjid
4. Sinagogi Swalawaatun
 
NAJUA UNADANGANYWA KUWA YESU ALIINGIA MSIKITINI NA MASHEKH WAKO ,

NITAKUGEUZA UBAO WA KUFUNDISHIA KWA WENGINE


Neno SInagogi linatokana na Kigiriki συναγωγή sinagoge likimaanisha "mkutano"; ni tafsiri ya Kiebrania בית כנסת beit knesset yaani "nyumba ya mkutano".

Wayahudi hutumia pia neno la Kiyiddish "shul" (=shule) kutajia sinagogi. Katika lugha ya kiebrania neno “ beit ” linamaana “ nyumba” ndio maana hata ukisoma bethsaida “ Nyumba ya mvuvi” au bethsania-Nyumba ya masikini. Bethlehemu, nyumba ya mkate. (Soma injili imetajwa sana majina haya )

Katika Israeli ya Kale (kabla ya maangamizi ya Yerusalemu mwaka 587 KK) inaonekana hakukuwa na sinagogi: walau halitajwi kabisa katika Agano la Kale.

Inaonekana ya kwamba masinagogi yalianzishwa baada ya hekalu ya Yerusalemu kubomolewa pamoja na kuanza uhamisho wa Wayahudi kwenda nchi mbalimbali.
Tangu kuharibiwa kwa Hekalu la Pili mwaka 70 Wayahudi wana masinagogi tu kufanyia ibada.

Je Sinagogi laweza kuwa ni Msikiti katika uasili wa lugha?
Qur-an Surat 22:40

Andiko hili linataja majina ya majengo mbalimbali ya ibada ikiwemo na sinagogi ingawa halikuwekwa kwenye tafsiri ya Qur-an ya Kiswahili ila tutalichunguza kwa watafsiri wengine wa Qur-an hususani tafsiri ya kingereza iliyotolewa na Mwanazuoni wa Kislam ndugu Yusufu Ally.

Qur-an ya sura ya 22 :40 katika tafsiri ya kiingereza inaeleza yafuatayo
Those who have been expelled from their homes unjustly but only because they say our Lord is Allahfor had it not been that Allah checks one by means of another have been pulled down Monasteries Churches Sinagogues and Mosques …….
Tafsiri ya aya hiyo katika Kiswahili

majengo hayo katika matamshi ya kiarabu na maana zake hapo chini.

BILASHAKA YANGELIVUNJWA
KISWAHILI KIARABU
1) Mahekalu Swawamiyu
1. Hekalu Swawaamiu
2. Kanisa Biyaun
3. Msikiti Masjid
4. Sinagogi Swalawaatun
 
Kwa kukujuza kiduchu; Mtume uhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam hajapokea ujumbe tofauti na Mitume yeyote, kilichoongezeka katika aliyopokea yeye ni kufundishwa wazi wazi na Allah ndani ya Qur'an jinsi Walivyokuwa Mitume kbala yake na yaliyotokea wakati wao, iliiwe ni fundisho kwake na kwetu bila porojo zilizoingizwa kwenye vitabu vya zamani na kutiwa mikono ya watu (corrupted",

Nakushauri. Ukitaka kujuwa mafundisho ya kweli ya Muumba wako basi isome Qur'an. Kitabu cha Allah pekee ambacho hakijachakachuliwa wala kuongezwa ya binaadam humo.

Qur'an is a miracle indeed.
MUHAMMAD ndio maana Wayahudi walimpinga , Yupo tofauti na Mitume wengine wote kimafundisho, The way alivyoupata huo utume


Quran Ni KITABU cahake Muhammad,

Nitakujuza mengi kuhusu Muhammed ambayo huyajui na wengine wayajue

Wewe dini umezaliwa umejikuta humo, umemezeshwa uongo

MUHAMMAD KAPEWA UTUME NA MKEWE KHADIJA USHAHIDI HUU HAPA

✔️Swali Nipe Aya Mimi Mwenyezi Mungu nimekuchagua Muhammad uwe mtume wangu ndani ya Quran?

➖➖➖➖➖

Muhammad anasema Najikhofia nafsi yangu kuchezewa na shetani katika pango la Jabar Hira na kuniharibu akili zangu Mimi Muhammad na kunizuga akili zangu, lakini mkewe khadija akasema huwezi kuchezewa na shetani na shetani Mtu kama wewe bali Mimi kadija Naapa kuwa UMESHAKUWA MTUME WA UMA HUU. (KITABU CHA WAKEZE WAKUBWA NA WANAE MUHAMMAD UKRASA WA 13-14

SWALI

✔️ JE NANI MKWELI KATI YA MUHAMMAD NA KHADJA MKEWE ? Muhammad anasema najihofia kuchezewa na shetani na kuharibiwa akili mke anasema naapa umeshakuwa mtume wa Umma huu:

✔️ WAPI KHADIJA ALIKUWAKO PANGONI ILI TUMWAMINI maana Muhammad KASEMA nilitokewa na shetani pangoni?

👆👆👆👆👆👆👆🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂

MKEWE MUHAMMAD NDIYE KAMPA UTUME MUHAMMAD AKIWA AMEJIFICHA HUYU MKEWE KWA JINA LA NASI TUMEKUTUMA

✔️SWALI NASI WALOMTUMA MUHAMMAD NI WAKINA NANI NA WANAISHI WAPI?

✔️Quran 4: 79) Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.

,➖➖➖➖➖ ASSALAM ALEIKUM
 

Attachments

  • FB_IMG_1653334458088.jpg
    FB_IMG_1653334458088.jpg
    62.8 KB · Views: 29
Nakushauri. Ukitaka kujuwa mafundisho ya kweli ya Muumba wako basi isome Qur'an. Kitabu cha Allah pekee ambacho hakijachakachuliwa wala kuongezwa ya binaadam humo.

Qur'an is a miracle indeed.
QUR'AN ILIKOPI SEHEMU ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA [YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI ]

➖➖➖➖➖➖➖➖

SWALI LETE ANDIKO MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA HAMJAKOPI BIBLIA

✔Mwanzo 1 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁹ Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.

¹⁰ Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

MUNGU WETU ALIZIPA BAHARI MIPAKA YAKE USHAHIDI HUU HAPA KABLA YA MUHAMMAD KUZALIWA NA KABLA YA QUR-AN YENU KUANDIKWA

✔”Mithali 8:29 “Alipoipa bahari mpaka wake, Kwamba maji yake yasiasi amri yake; Alipoiagiza misingi ya nchi;

✔Zaburi 24 (Biblia Takatifu)

¹ Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.

² Maana ameiweka misingi yake juu ya bahari, Na juu ya mito ya maji aliithibitisha.

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

PAUL NDIYE WA KWANZA KUFIKA HAPO KABLA YA MUHAMMAD WENU KWENYE BAHARI CHUMVI NA BAHARI TAMU USHAHIDI HUU HAPA KASOMA MATENDO 27:1-44😁😁

✔Matendo ya Mitume 27:41 “Lakini wakafikia mahali palipokutana bahari mbili, wakaiegesha merikebu, omo ikakwama ikakaa isitikiswe, bali tezi ilikuwa imefumuliwa kwa nguvu za mawimbi.

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

QURAN IMEKOPI BIBLIA NA IMEKOPI ALIPOFIKA PAULO KWENYE BAHARI MBILI ZIZILOKUTANA YAANI BAHARI CHUMVI NA BAHARI ISIYO NA CHUMVI USHAHIDI HUU HAPA

✔SWALI AYA IPI MIMI ALLAH NIMEUMBA BAHARI NDANI YA QUR-AN YENU KAMA SI KOPI YA KUTOKA KWA PAULO MATENDO 27:41

✔Quran 55:18-20

18. Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?

19. Anaziendesha bahari mbili zikutane;

20. Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane

✔Quran 25:53. Naye ndiye aliye zipeleka bahari mbili, hii tamu mno, na hii ya chumvi chungu. Na akaweka baina yao kinga na kizuizi kizuiacho

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ASALAAM ALEIKUM
 

Attachments

  • FB_IMG_1653712020662.jpg
    FB_IMG_1653712020662.jpg
    25.5 KB · Views: 26
Unataka kuujuwa Uislam halafu unakwenda kuwauliza Islam Haters wenzako? Utachokielewa ni nini zaidi ya kujazwa ujinga tu?
MM nilishakuwa muislamu Tena wa Kuzaliwa , Naitwa Khamis Hussein

Nimesoma madrasa na kuimaliza Quran yote, na hadithi yakutosha

Ila nilipokutana na Yesu wa Nazareth Nilimuelewa na Kuamua kumkubali

Na Sasa nimempokea Nina aman moyoni


Uislamu Ni dini ya mchongo, hivo siendi kumuuliza mtu yeyote ,Ni mm mwenyewe nakushuhudia
 
Kwa kukujuza kiduchu; Mtume uhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam hajapokea ujumbe tofauti na Mitume yeyote, kilichoongezeka katika aliyopokea yeye ni kufundishwa wazi wazi na Allah ndani ya Qur'an jinsi Walivyokuwa Mitume kbala yake na yaliyotokea wakati wao, iliiwe ni fundisho kwake na kwetu bila porojo zilizoingizwa kwenye vitabu vya zamani na kutiwa mikono ya watu (corrupted",
KILA KUDI LA KIISLAMU NAMSIMAMO WAKE
➖➖➖➖➖➖➖

✔️Wafuasi WA Malik wanasema MUHAMMAD alirogwa QURAN 15:15

➖➖➖➖➖➖➖

✔️Wafuasi WA shafi wanasema waislam ni makafir WAKUBWA QURAN 22:72 QURAN 6:40-41

➖➖➖➖➖➖➖➖➖

✔️Wafuasi WA hambar wanasema MUHAMMAD hakupewa utume na Allah Bali mkewe QURAN 4:79, QURAN 46:9 QURAN 72:21 QURAN 10:108

➖➖➖➖➖➖➖➖

Wafuasi WA hanafi wanasema Allah anaumbo na ataonekana siku ya kiyama QURAN 39:67

➖➖➖➖➖➖

Wafuasi wa Ahmad Yaani ahmadiya MUHAMMAD alipinga Allah QURAN 66:1 na MUHAMMAD SI MTUME wa MWISHO

➖➖➖➖➖➖ Assalam Aleikumu
 

Attachments

  • FB_IMG_1653712549811.jpg
    FB_IMG_1653712549811.jpg
    57.5 KB · Views: 26
unakuta mwafrika kakaa hapa anang'ang'ania dini kishabiki kabisa utadhani simba na yanga!

huyo ISSA hilo sio jina lake, na wala YESU sio jina lake. Aliitwa Yehshua kwa kiebrania. Mambo ya YESU, ISSA, JESUS, YESUS ni majina yaliyotokana na jamii tofauti tofauti na lugha wanazotumia.
Ndo maana utakuta wengine wanaita YOHANNE, wengine, YOHANA, wengine JOHAN, wengine JOHN etc.

sasa unaposema wa kule ni mwingine uwe na uhakika na unachokisema na uwe na points sio mihemko ya dini, maana hata hawa wawili mnaowagombania haya hayakua madhehebu yao.
 
Hivi unajua kuwa Luka matayo,Marko hawakuwepo kipindi Cha yesu ?
Na hawajawahi kumuona yesu Wala hawajawahi kuwa wanafunzi wa yes unajua hilo
ACHA kudanganya watu, Mathayo Ni mwanafunz wa yesu kama Yohana

Hivi kwann Quran inawadanganyeni hivo
 
Naam. Huyo ndiyo Mhammad> kwa huo upofu wake luuono wewe/ leo anwafuasi zaidi ya billion mbili dunia nzima na wanazidi kuongezeka kila siku.

Wewe usiye kipofu ni nani anaekufuata?
MUNGU SIO WA DEMOKRASIA

ACHANA NA KAULI ZA CHADEMA ," SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU"

MUNGU haangalii wingi, anaangalia ukweli

Alishaangamiza mamilion kipind Cha Nuhu na Lutu , waliopona hawazidi hata 10

Mt 7:13-27 SUV


Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.

Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.


Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti?
 
Qur'an is a miracle indeed.
Yah Ni uchawi ndio maana kina Sharifu majini wanaitumia kuagua hata waganga wa kienyeji wanaitumia ,huwez kukuta Wanatumia Biblia

6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri.

Jamani Quran ya makaratasi ni uchawi
 

Attachments

  • FB_IMG_1653718923635.jpg
    FB_IMG_1653718923635.jpg
    34.7 KB · Views: 27
Issa bin Maryam ndiye huyo huyo Yesu wa kwenye Biblia lakini alivyoelezewa kwenye Qur'an ni tofauti kabisa na alivyoelezewa kwenye Biblia. Kwenye Qur'an inaleta maana pana na uelewa wa Issa bin Maryam alikuwa nani, babake nani, ndugu zake nani, asili yake ipi, asili ya mamake ipi. Yote hayo yapo kwenye Qur'an pekee.
ACHA KUDANGANYA WATU

ISA SIO YESU, HUYO ISA NI TAPELI WA KWENYE QURAN,

. Jina la Yesu ni Yasu na si Isa kama ilivyo andikwa kwenye Koran ya Kiislam. Na hata leo, jina la Yasu linatumiwa na zaidi ya 99.99% ya Wakristo wote wa Kiarabu. Tembea katika kanisa lolote la Kiarabu huto sikia wanatumia jina la Isa, Sikiliza matangazo ya Wakristo wa Kiarabu katika Radio na Televisheni (za Kiarabu) huto sikiwa Mkristo anatumia jina la Isa, bali wanatumia jina la Yasu. Matangazo yote ya Kikristo katika Uarabu wanatumia jina la Yasu. Kamwe huto ona jina la Isa kama lilivyo kwenye Koran ya Waislamu.
Katika jadi ya Kiarabu na utoaji wa tafsiri wa jina, jina sahihi la Kiebrania (Yeshua) ni Yasu katika Kiarabu. Kila uchaguzi wa tafsiri ya jina la kigeni katika lugha tofauti ni uvumbuzi wa binadamu.
Kiisimu ipo wazi jinsi jina la Yeshua Kiebrania lilivyo tafsiriwa na kuwa Yesu Kiswahili na Jesus Kiingereza:
Yeshua '(Kiebrania) -> Ιησους (Kiyunani) -> Yesu (Kilatini) -> Jesus (Kiingereza) -> Yesu (Kiswahili).
Mpito muhimu ni kutoka Kiyahudi kwenda Kigiriki. Hatua hii ilifanyika miaka 200 kabla ya Yesu kuzaliwa. Watafsiri wa Septuaginta (LXX), classical Kigiriki tafsiri ya maandiko ya Kiyahudi, kutokaa Yeshua Kiebrania jina kama Ιησους katika Kigiriki.

Kulingana na sheria za lugha na mahusiano kati ya Kiyahudi na Kiarabu, Yasu 'ni sahihi kwa Kiarabu na kwa Kiebrania ni Yeshua:
Yeshua '= Yod + + Shin Waw +' Ain
Yasu '= + Ya + Sin Waw +' Ain


Tena, katika lugha sahihi, jina la Yasu ni Kiarabu sawa na Yeshua Kiebrania. Hivyo, katika utamaduni na jadi ya Kiarabu jina la Yasu ndilo sahihi na pekee kutokana na kiisimu. Mpito kutoka Yeshua kwa Yasu inafuata sheria ya kawaida ya mabadiliko fonetiki kutoka Kiyahudi na Kiarabu. Yasu ni jina la Kiarabu la Yesu. Kinyume chake, Yasu ndio jina lenye asili ya Yeshua.
Early Hebrew (long form):

Yehoshua' = Yod + He + Shin + Waw + 'Ain
Later Hebrew (short form): Yeshua' = Yod + Shin + Waw + 'Ain
Arabic (Christian): Yasu' = Ya + Sin + Waw + 'Ain
Arabic (Muslim): 'Isa = 'Ain + Ya + Sin + Ya


“Ya” na “Waw” ni maneno dhaifu, katika lugha ya Kiarabu, hufundisha kwamba mtu anaweza kurejea katika maneno mengine kama kuchukua juu ya aina mbalimbali (declension, inflection). Hivyo, mtu anaweza kuona kwamba fomula ya Kiislamu 'Isa kimsingi ni ya bandia/kutungwa na binadamu (inversion) (pamoja na mabadiliko ya Waw ili Ya) kwa Mkristo wa Kiarabu jina la Yesu ni Yasu na si Isa kama ilivyo andikwa kwenye Koran ya Kiislamu.
 
Utapigwa🤣🤣🤣
Huo ndio ukweli, ndio maana Papa anaingia hata MSIKITINI anaswali ,

Kwasasa wanafanya jitihada waunganishe dini moja , Uislamu ni Pando la UKATOLIKI

Hawa wa chini wafuasi Ni wafia dini tu wenye misimamo mikali ila hawaelewi chochote ,wanatawaliwa kifikra tu

UKATOLIKI NDIO ULIOMPA MUHAMMAD UTUME KUPITIA PADRI WARAQA
 

Attachments

  • FB_IMG_1653297373554.jpg
    FB_IMG_1653297373554.jpg
    45.3 KB · Views: 34
  • FB_IMG_1653297359054.jpg
    FB_IMG_1653297359054.jpg
    39.9 KB · Views: 33
Soma Qur'an uielewe, haina shaka ndani yake. Hayo maneno uliyoweka umeyaweka nje ya maudhui (out of context) na aya uliyoiweka haimtaji Mtume Muhammad (umepachika wewe katika yako), hicho ni kisa Cha Musa na Firaun na waliyoyamini aliyopewa Mussa na waliyoyapinga. Usizushe kwa ujinga wako tu
QURAN Ni kitabu Cha Ujanja ujanja , HAKINA msaada kwa mwanadamu


Angalia Biblia inakupa Raman ya Ulimwengu had mwisho

Nabii Daniel alioneshwa historia ya Tawala zote za Ulimwengu

Vitu Kama hivi huwez kuvipata kwenye Quran

Zaid utaikuta Quran kwa waganga wa kienyeji
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    22.9 KB · Views: 31
MM nilishakuwa muislamu Tena wa Kuzaliwa , Naitwa Khamis Hussein

Nimesoma madrasa na kuimaliza Quran yote, na hadithi yakutosha

Ila nilipokutana na Yesu wa Nazareth Nilimuelewa na Kuamua kumkubali

Na Sasa nimempokea Nina aman moyoni


Uislamu Ni dini ya mchongo, hivo siendi kumuuliza mtu yeyote ,Ni mm mwenyewe nakushuhudia
Ungeisoma Qur'an ungeleata kisa Cha Mussa Alayhi Salaam ukasema Mtume Muhaammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam?

Hata haya huoni? Au umesahau juu huko nilivyokuumbua uongo wako?
 
Ungeisoma Qur'an ungeleata kisa Cha Mussa Alayhi Salaam ukasema Mtume Muhaammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam?

Hata haya huoni? Au umesahau juu huko nilivyoikuumbua uongo wako?
 

Attachments

  • FB_IMG_1653712616068.jpg
    FB_IMG_1653712616068.jpg
    25.7 KB · Views: 36
QURAN Ni kitabu Cha Ujanja ujanja , HAKINA msaada kwa mwanadamu


Angalia Biblia inakupa Raman ya Ulimwengu had mwisho

Nabii Daniel alioneshwa historia ya Tawala zote za Ulimwengu

Vitu Kama hivi huwez kuvipata kwenye Quran

Zaid utaikuta Quran kwa waganga wa kienyeji
Hujakosea kabisa, Qur'an ni janja kweli kweli tena. Ni kitabu pekee kinacho/kilicho challenge watu na majinni mkusanyike mufaya japo sura moja tu kwa mfano wake, mmeshindwa kwa miaka zaidi ya 1400 mpaka sasa na hamtoweza. Somaa...

Please sit comfortably, lend me your ears and your heart and let me tell you why no human being can ever replicate the Qur'an.

The Qur'an is built around a fascinating and mind blowing structure that cannot be attributed to coincidence. This design or structure is built around mathematics. When most people think of the Qur'an's challenge of producing the like of the Qur'an, their mind usually fixate on the poetic structure of the Qur'an. Some people will focus mainly on the scientific structure. But there is a numerical structure that goes against all odds. Another thing about this challenge, the Qur'an keeps making the challenge easier. In one place, it says produce the like of the Qur'an. In another place, it says produce half of the Qur'an. It keeps making the challenge easier. In one other place it says, produce one chapter(the shortest chapter of the Qur'an is 3 verses long). Just one. It is not asking for a whole Qur'an. Now here's the brilliance of the Qur'an. It knows for one to accept this challenge, one must be a professional or a native speaker of the Arabic language, hence the Qur'an makes Another challenge. It says, point out a contradiction in the Qur'an. For this challenge, anyone can play. And the kind of contradiction we are talking about is like the one you find in the Bible, whereby for a single event for example like the census in the Bible, two different numbers were given. But let's move on from all of this and let us focus on the numerical structure of the Qur'an.

There are numerous instances in the Qur'an where the Qur'an mentions a word and also a contrasting word, and though these words are in different places of the Qur'an, it turns out the two words, i.e the word and it's contrast is used in equal number of times. For example:
  • Hot and cold is used 4 times each.
  • Man and woman is used 24 times each.
  • The Qur'an says in Surah 3:59, the example of Jesus with God is like Adam. It turns out Jesus and Adam is each mentioned 25 times in the Qur'an.
  • The devil is mentioned 68 times and the Angel is mentioned 68 times. This is assuming we are using the word itself.
  • If we take all of the various forms by which the devil (s) and the angel(s) are mentioned, they are each mentioned 88 times. It is balanced again.
  • The Qur'an contrast this world with the next world or hereafter. They are each mentioned 115 times. How does this coincidence come about?
  • The word for Month- singular- occurs in the Qur'an 12 times.
  • The word for Day(singular) without any suffixes occur 365 times. How does that come about. What are the odds?
The Qur'an is comprised of 114 chapters and each chapter carries with it the chapter number and the number of verses in the chapter. It turns out there is a mathematical relationship between these two numbers- the chapter number and the number of verses. Formula:
  1. Add them across. That is to say you add the chapter number with it's total number of verses. This will give you as you would expect 114 results comprising of even and odd numbers.
  2. Here's the first shock. Half of those numbers (57) is even and the other half is odd. What created this fine balance? What book on this planet with chapters and verses that can be added to produce this balance of even and odd? This formula has been tried with the Bible, all of its books and non pass the test.
  3. Now take the 57 even number result and add them up together. You get the grand total of 6236. 6236 (hold your breath) is the total number of verses in the entire Quran.
  4. Now let's add all of the 57 odd numbers. You should get 6555. You remember I told you there are 114 chapters that makes up the Qur'an. Well 6555 is what you get if you add up all the chapter numbers of the Qur'an. Simply put, if you add from 1 to 114, you get 6555.
First, what these numbers show really is that not a word have been added to the Qur'an, nor a word removed since adding one word or removing one will break all of the patterns that we have talked about so far. This is the system by which Allah has chosen to preserve the Qur'an.

The number 19:

Studies about the Qur'an have revealed that things in the Qur'an measure up to 19. That is to say there is a pattern of 19 in the Qur'an. Now, I did not just pick this number out at random. The number 19 itself is mentioned in the Qur'an and Allah in the Qur'an gives reason for mentioning this number.

Qur'an 74:30–31
30. Over it are nineteen [angels].

31. And We have not made the keepers of the Fire except angels. And We have not made their number except as a trial for those who disbelieve - that those who were given the Scripture will be convinced and those who have believed will increase in faith and those who were given the Scripture and the believers will not doubt and that those in whose hearts is hypocrisy and the disbelievers will say, "What does Allah intend by this as an example?" Thus does Allah leave astray whom He wills and guides whom He wills. And none knows the soldiers of your Lord except Him. And mention of the Fire is not but a reminder to humanity.
Pay special attention to verse 31 and especially the part in bold. Those are the reasons given for the number 19. Not only that, but the very reaction towards this post I'm writing is already predicted. That, the Muslims will see this and it will increase them in their faith. And for the people of the scripture, this will convince them in a way. And then there will be those who are disbelievers who will deride this answer and shrug it off as nothing. Either response is welcomed.

Now let's examine this number.
  • The verse that details the purpose of the number 19, i.e, the 31st verse contains 57 words(Arabic words-not the translation) which is 19 times 3.
  • The words in this chapter, chapter 74, up to the 30th verse are 95 words which is 19 times 5.
  • If we count the words within the first 19 verses of this chapter we get a total of 57 words, which is 19 times 3.
  • If we count all of the letters from the very first verse of this chapter coming all the way down to the mention of the number 19 while excluding the number 19 itself, there are 361 letters. 361 is 19 times 19 or 19 squared.
  • Let's go to one of my favorite Surahs, Surah 96(Alaq). As you know, the first five verses of this Surah was the very first verses revealed to the blessed Prophet Muhammad in the cave. These first five verses is made of 19 words.
  • Count the letters in the first five verses of Surah 96 you get 76 letters which is 19 times 4.
  • Count all the letters in this entire chapter, there are 19 times 15 letters which is 285.
  • The number 285- a multiple of 19 occurs in other places of the Qur'an, like in the 72nd chapter. This chapter by the way ends by saying that “God has taken into account everything NUMERICALLY”. The last word in this chapter is numerically. This chapter has 285 words a multiple of 19 as we've said.
  • If we check the last word of every verse of the Qur'an and we add up all of the letters, we get a total of 114 letters. We've seen this number before, haven't we? It is the total number of chapters of the Qur'an, which again is a multiple of 19 (19x6). Can you seriously attribute the occurrence of 19 to mere coincidence?
The disjointed letters:

Some chapters of the Qur'an begins with disjointed letters. The meaning for which no Muslim claims to know. Here we go again:
  • The 50th chapter of the Qur'an begins with the letter ق (qaf).
  • The number of times the letter ق is used in chapter 50 of the the Qur'an is 57, which is 19 times 3.
  • The 42nd chapter has the letterق as a disjointed letter in the beginning of the chapter. And here too, the letter appears 57 (19 x 3) times.
  • Do you see how both chapter 50 and 42 that begins with the disjointed letter ق or qaf has the letter appearing 57 times in each chapter? And do you also remember how we said in the begining that there is a relationship between the chapter number of the Qur'an and the number of verses? It turns out similar pattern plays out for both chapter 42 and 50.
  • In both cases for these two chapters (50 and 42), the chapter number plus the number of verses totals 95. 95 is 19 times 5. How?
  • Previously I stated that both Jesus and Adam is mentioned 25 times each in the Qur'an. Mind you the Qur'an was revealed in bits and pieces hence the mentions occur in different places of the Qur'an. Also the Qur'an was only finally compiled after the passing on of the Prophet. The question becomes, who was counting these occurrences to make sure they check out to be equal. Anyways let's leave it at that. But Jesus and Adam is mentioned in Surah 2 and Surah 3 first together. In Surah 3:59, is where the actual quotation that “Jesus in the eyes of God is like Adam” is taken from. From Surah 3:59(the 7th mentions of both Jesus and Adam) onwards, the two names do not occur in the same chapter (they were mentioned separately in other chapters) until in Surah 19 where they both appear again together. Hold your hat. Surah 19 is the 19th time Jesus is mentioned and the 19th time Adam is mentioned.
  • If we count the number of verses from the 7th mention of Adam(not with Jesus) in Surah 3:59 to the 19th mention in chapter 19, we get a total 1957 verses. 1957 is 19 times 103.
  • If we do the same for Jesus, we also get 1957. On what planet can this be attributed to coincidence.
Before I conclude let me say this, I have not scratch the surface of the numerical and mathematical patterns of the Qur'an. We can speak about the number 19 all day. And not just the number 19. There are other numbers too, like the number 7 and it turns out when the Qur'an explicitly mentions a number, it tends to build a consistant pattern around that number.

In conclusion, if you ever intend to take up the challenge of the Qur'an, this is what you are going up against. First you will have to provide a book or a chapter that has a consistent equal number of contrasting words. You will choose your own number and model your book around that number. Your book must provide new knowledge that people in the 21st century cannot fathom. You know like the way the Qur'an has the audacity to tell us before modern Science that in fact even the sun moves in it's own orbit or that fire can occur under the ocean. Then your book must be poetic, dazzling and captivating to the reader. And now, most importantly, your book must make sense or have a clear goal. For now we will just ignore the impossible feat of having 2 billion people read your book more than once.

Now I've read some of the answers here and mostly from the so called ex-muslims. They try to be condescending while trying to maintain a scholarly decorum about Islam. I'll say this, no one, not a human being nor a computer can produce the like of the Qur'an. There's nothing I'm not willing to bet on this. If you think you have managed to replicate the Quran or part thereof, bring it forward, give us a good laugh.

Credits:

Dr. Shabir Ally.

Dr. Ally has done an incredible research into the numerical structure of the Qur'an and my answer relies heavily on his research.
 
Back
Top Bottom