The Radar Scandal: Investigation & Progress

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Mtanzania asante sana kwa kunisaidia .Maana nilikuwa nataka kujua ni mtu wa aina ambaye hana mshipa wa noma kabisa na kusema maneno machafu kama haya .
 
Alaaa. hivi huyu ni Steve?...
Maanake navyomjua Steve kuwa si mtu wa BWM kabisa!....haziivi.
 
Nafikiri huyo jamaa aliyeandika hiyo e-mail si Steve,kama alivyosema Mkandara Steve hawezi kuwa supportive kwa chochote kinachofanywa na Baba yake BM.Hao watu hawana mahusiano ya karibu kama Mtoto/Mzazi.Steve alivurugana na wazazi wake alipomuoa (Kadogoo)Joyce,kwani wazazi walidhani sio hadhi yao,lakini Bwana mdogo akawa kafika!!Hapo ndipo aliposema Bye bye kwa Mkapa na Mkewe.
 
Mwawado
Usibishe kuna ushahidi wa kutosha juu ya Steven .
 
steve is too contravential,well wanasema alikuwa mtu wa mzee sana tu hadi alpoamua kuishi na huyo demu[inasemekana ni mtoto wa aliyekuwa naibu waziri wa fedha awamu ya pili na mbunge wa zamani wa ubungo]if iam right...kwenye uwanja wa taifa siku mkapa anaapishwa steve alikuwa na kamera akipiga picha ,huku kichwani kanyoa upara na kubakishA Neno MKAPA..

so hata kama walikuwa na tofauti kifamilia sintashangaa kusikia anatetea siasa zake,aftreral damu nzito kuliko maji,,
 
Kumpinga Lunyungu kwa maneno ya kukosana na Baba yake hali wwe unayepinga huna ukweli zaidi ya Lunyungu aliyepata habari hizi na kuzileta basi unakosea . Steve ni member wa tanzanet na huko hadi sasa kashambuliwa sana . Kule ni kuna uanachama wa kulipia ambako ia balozi zetu nyingi ni wanachama na watu wengi wa serikalini hadi makatibu wakuu na wakurugenzi . Sasa ukibishana bure wakati tumeona huyu bwana mdogo anashuka kashfa sielewi.

Lazima amtetee Mahalu maana ni kipenzi cha Baba yake na rada anaona Baba yake anadhalililka kwa mwenzo wa 30%, mauaji ya Zanzibar, Rushwa ,Kutuuza Watanzania na uchafu mwingi .
 
Bwana mwawado kukosana na mzee katika masuala kama hayo Haawezi kutofautiana nae hata kwenye siasa zake...na ni babake...lazima kuna kua na uzarendo fulani atakua nao..maana hata huyo demu kama jamaa alivyosema hapo kama nae mtoto wa kigogo kama sio ukigogo wa babake asinge mpata
ndoo kama hvyo bwana mwawado
 
Kwa bahati mbaya simjui huyu Steve kama ilivyo kwa watoto wote wa maraisi baada ya Nyerere. Nilibahatikwa kusoma na Makongoro Nyerere pamoja na watoto w <Mzee Jumbe pale Tabora ikiwa ni pamoja na binti wa Mzee Kawawa aliyekuwa pale Tabora girls.

la muhimu anajua kuwa Steve hawezi kuamua kuwa baba yake Mkapa anyongwe kwa kamba hadi afe kwa makosa aliyofanyia nchi ya Tanzania. Kwa hali hiyo maneno yake siyapi uzito kabisa
 
Makala za Steven kule Tanzanet kwa miaka na miaka ni controversial. Huwa anapotea na kama kuna hoja za kupinga mambo ya Mkapa basi huwa anajitokeza.

Niliona makala zake kwa mara ya kwanmza Tanzanet 1995 wakati wa kampeni za babake na mpaka sasa sioni kama kuna kitu kimebadilika na bado ni yule yule na dharau zake.

Binafsi simfahamu kwa sura kwahiyo huenda labda akiwa mtaani ni tofauti lakini kule Tanzanet yeye muda wote ni kutoa kashfa juu ya watu wanapinga
mambo ya Mkapa.
 
Lakini nasema maji hayapandi Mlima. Mkapa ni mwana kashfa na maneno ya mitaani .Aliwahi kusema wapinzani wana wivu na unuuzi wa ndege .Haya ni matokeo ya sisi wadanganyika kuwa wapole na kila kitu hewala bwana . Mtanzania afadhali umekuja umesema umeniokoa maana nilisha anza kuonekana muongo. Yaani mtu atumie jina la Steven ili iwe nini ? Jamani watu wengine hapa wanaudhi sana . Huyu jamaa huja pale tu anapo guswa Baba yake kule Tanzanet .
 
Kichuguu,
Mimi namkumbuka Steve kama ni Punk boy mmoja wa kiafrika. Miaka ile ya club kawahi kuja pale mbowe kanyoa nywele kama Mr.T na majisifu meengi ya dharau maanake wakati huo US ilikuwa deal kubwa acha kukaa NY. Lakini hata hivyo alikuwa akinipa heshima yangu maanake hapa aligonga mwamba.
Kwa hiyo mimi sishangai huyu bwana mdogo anapo support baba yake maanake hao rolemodel wake Mungu ndio anajua. Nilifikiri kesha badilika na somo zuri kalipata toka kwa baba yake mwnenyewe.

Ushauri wangu wa bure kwa huyo Steve, Ikiwa baba yako atashindwa leo kutambua haki zako za kuchagua mke kisha akufukuze nyumbani kwa matakwa ya mkewe... wewe kweli bado unaona huyu baba ni kiongozi mzuri!...
Zaidi ya hayo Marehemu mwalimu Nyerere alisema akiwa kitandani mgonjwa kuwa. Nchi yetu haiwezi kwenda mbele ikiwa kiongozi anapata ushauri toka kwa mkewe usiku wakilala...

Alokuwa akizungumzia Nyerere yamekukuta wewe mwenyewe na leo hii watoto wa kambo wanavuta vizuri urithi kabla hata baba yako hajaondoka.

Kumradhi Steve, lakini ndio ukweli huo!
 
Maneno mazito Mkandara . Kama ana akili basi atapata jibu kichwani mwake only kama akili yake ina akili maana duh!!
 
Mjadala ambao umewaka sasa hapa na kila kona umepelekea mtoto wa Rais kutamka haya maneno .Nimeogopa sana kwa kweli baada ya kupatia mail hii na rafiki yangu mmoja . Nikaona nije hapa niwape hili nanyi mseme . Maana Tanzania ni yetu sote .Maneno yake hapo hapo chini .



On 1/23/07, S.B. Mkapa
Waste of time and money! How can one hujumu uchumi when what he is accused of swindling money from is still erect? I suggest they sell the building and make up for the difference. It would be a windfall! Biashara za kufurahisha donors hazina sera. Maandamano yanakuja!



A hungry stomach makes a poor political adviser!


I beg to differ with your analysis. Nobody has any proof that the radar was bought under dubious circumstances! Tuacheni ushabiki! If somebody made $12mil as a facilitator we should not blame anyone other than our own ignorance/stupidity for agreeing to the transaction in the first place.

We do not need SFO to tell us how dumb we are. The opposition marching just glamorizes the whole episode. Unafiki mtupu
!

Ninaomba na nyie mseme lenu kuhusiana na matamshi mazito maana mimi sina la kusema
"I beg to differ with your analysis. Nobody has any proof that the radar was bought under dubious circumstances! Tuacheni ushabiki! If somebody made $12mil as a facilitator we should not blame anyone other than our own ignorance/stupidity for agreeing to the transaction in the first place.

We do not need SFO to tell us how dumb we are. The opposition marching just glamorizes the whole episode. Unafiki mtupu!"

Emotions will kill us. Lets take a minute and assume the speaker of the statement made by Steve was someone else like P.J. O'Rouke or Paul Wolfowitz or even Ibrahimu Lipumba and not Steve. Would we have reacted in the same manner or carefully analyze the statement?

Truth of the matter is that he spoke his mind and stated the facts. Just because he is associated to Mkapa who was the President Arrogante ala Miradi mibovu and the fact that Steve himself is arrogant, does not mean that he may be defending his father.

Ukiangalia kwa undani, anachosema Steve wakulaumiwa ni sisi wenyewe kwa Upumbavu wetu, siyo dalali aliyelipwa $12 million.

Watanzania tumebobea sana kukimbilia kununua vitu midhali tumeambiwa ni bei poa au kuna dicount bwelele.

Hatuna mfumo mzuri wa ununuzi wa vitu na mali ghafi ambapo uchunguzi wa kina wa bidhaa na soko unaweza kutusaidia kununua bidhaa nzuri na ambayo inaendana na bei.

Tuanzie na hii Radar. Tujiulize, je wataalamu wa Mawasiliano wa Kijeshi na Idara ya Anga (aviation) walihusikaje katika kutafuta Radar hii? Je ilikuwa ni jukumu lao au jukumu la Waziri kutafuta hii Radar? Je ni viwanda vingapi vinavyotengeneza Radar tulivitembelea tukaangalia bidhaa zote (compare products and prices) tukaamua kuwa Radar ya BAE ni bora?

Je ilikuwa ni umuhimu gani kuwa na Radar babkubwa namna hiyo (Security wise/Political) badala ya Radar nyingine ambazo zingekidhi mahitaji yetu (costs v/s necessity)?

2. Ndege ya Rahisi, Did Mwandosya made a thorough study of costs of plane with Matumizi? or ni ule tumgidie bwege purchase? Je Mwandosya alikuwa anajua kama angeongeza dola Milioni Tano angenunua Boeing 737-400 au Airbus yenye uwezo wa kuhodhi watu 70-90 na kulinusuru taifa gharama za kulipia washamba wanaokimbilia safari za Raisi firts class?

3. Richmond, Kikwete alijitapa mwezi uliopita kuwa kina Gire walitupa bei Powa kabisa $0.046 kwa kila kilowati. Je waliodhinisha Tenda hii, walikuwa na utaalamu wa kiuchumi na fedha (economical and financial)wa mambo ya Nishati? Je walikuwa na Utaalamu wa kiufundi? Je waliwauliza kina Gire nyaraka zionyeshazo kazi walizozifanya pamoja na mahesabu ya fedha ya shirika lao?(Proof of previous succesful energy project perfomences and 5 year financial statements).

So in support of his statement that wakujilaumu ni sisi wenyewe, I agree. I agree with him in 2 ways.

1. Incompetent officials who are faling for stupid deals out of ignorance and stupidity in addition of having corruptive motives.
2. Inability of voters (wananchi wapiga kura) to remove those who have continuously shown us the have high levels of mismanagement that due to lack of business savviness, incompetence, poor judgement, corruptive and just ushamba!

Even if there was corruption as SFO claims and we as Wananchi are crying about it, why during election day December 19th 2005 we gave people like Keenja, Mwandosya, Msabaha and others more than 65% of the votes? Why did Kikwete went on to appojnt some of these thugs into his cabinet?

Tumlaumu nani hapa?
 
Kishoka,
Good to see you back. Lakini sikubali kubeba lawama hizo. Tulichagua serikali na viongozi ili wafanye maamuzi kwa manufaa na niaba yetu. Badala yake wanafanya maamuzi kwa niaba na manufaa ya matumbo yao. Hapo nikubalije lawama? Halafu ujue wakati maamuzi haya yanafanyika ni siri kubwa. Hawakuja kijijini kwangu kuniuliza maoni yangu.Na huyu Steve mwambie anyamaze. Kwa njia moja au nyingine amefaidika na ufisadi huo.
 
Rev Kishoka,

Maelezo yako mazuri kama kungekuwepo na utaratibu kama huo....

Ununuzi wa rada, ndege na hata Richmond umefanywa na baadhi viongozi waliochukua njia za Mkato. JK hawezi kusema kitu mbele ya Mkapa (wakati wa rada) wala leo hii Mkapa hawezi kupinga kitu mbele ya JK (richmond..acha mbali uwezo wa wananchi kwa viongozi hawa,huu ndio utawala wa Wandanganyika.
Kama vile Bush alivyoamua kuivamia Iraq hatuwezi kusimama hapa na kusema Wamarekani inabidi wajilaumu wao wenyewe kwa kumchagua Bush. Kisha wameze hasara zote walizokwisha zipata na wamwache Bush pasipo kutafuta ukweli wa maamuzi yake.
Sheria nyingi ndugu yangu hutungwa kutokana na makosa ambayo inabidi myajadili kwa kina.
Kila hoja uliyoitoa hapo juu inatuonyesha wazi nani mhusika mkubwa na huwezi kutuita sisi wote wajinga kutokana na maamuzi ya wachache.
Mwizi wa benki akiiba huwezi kusema tuilaumu benki kwa kutokuwa na vifaa maalum ama utaratibu wa kuzuia wizi hali mwizi mwenyewe ni meneja mkuu wa benki tena makao makuu!...Hapa isikuchanganye lugha ya ama neno mwizi kisha tuchukue uamuzi bila kuelewa huyo mwizi ni nani?
Pia huwezi kusema kuwa huo wizi ukisha bainika basi tukubali kuchukua kile kilichopatikana na kufumba macho. Mwizi atashughulikiwa hata kama fedha yote imepatikana.

Wananchi wanapowachagua hawa watu ni kabla ya vitendo vyao.. sidhani kama kuna mtu anaweza ku-predict Mbowe atakuwa kiongozi wa aina gani nahivyo wananchi wasimpe kura zake. Pia nafasi nyeti za utendaji kazi hazichaguliwi na raia....
 
Asanteni Jasusi na Mkandara maana mmenipunguzia gadhabu kwa kuambiwa nijilaumu kwa kitu ambacho sihusiki.
Rev. Kishoka kabla ya Radar hiyo na ndege kununuliwa kila aliyekuwa na uwezo wakuchangia maoni yake walifanya hivyo. WOrld Bank, Lipumba, Mbatia, baadhi ya wabunge na NGO fulani fulani. Lakini Mramba akasema hata kama ni Watanzania kula nyasi itabidi wale lakini ndege itanunuliwa. Kuhusu radar jibu lilikuwa ni tunaihitaji. Sasa hapa kwa nini tusiwalaumu hawa walioamua kutumia jeuri ya madaraka kufanya mambo ya kipumbavu?
 
Haya basi tutakuwa wajinga pale tutakapowachagua viongozi hawa hawa waliopo madarakani mwaka 2010 (kuanzia raisi hadi wabunge).
 
Wazee heshima mbele,

Mkandara ninakumbuka wakati ule huyu bwana mdogo akija club na kina Jimmy Sharp, na Elamu, anyway huyu bwana mdogo anatakiwa kuwa mtu wa mwisho hata kuongelea siasa, mana kwanza hajui siasa ni nini? The kid belongs in prison hasa baada ya kuiba gari kule Minneapolis akaenda nayo NY, na kumuazima kijana mmoja Kalumanga ambaye alienda kubeba malaya nayo kumbe yule malaya ni polisi wa NYPD,

Bwana mdogo Kalumanga akashikwa, Steve kusikia akakimbia na kujificha na kumuachia noma huyu bwana mdogo Kalumanga, ikabidi ubalozi uingilie kati kumuokoa. Another incident akataka kum-rape dada mmmoja pale NY ambaye aliwahi kuwa girlfriend wake, lakini akamuacha na kuwa na kijana mwingine, akaamua kutumia nguvu polisi wakaitwa, bahati nzuri ilikuwa ndani ya nyumba ya Diplomat, polisi wakaogopa kuingia, akapona tena huyu bwana mdogo, siku moja akapiga risasi juuu hapa bongo, polisi walipokuja akawaaambia "...hamuwezi kumgusa mtoto wa rais wenu.......", askari mbuzi wakamuacha kweli, Mkapa mwenyewe kwa aibu ya mtoto wake mwenyewe aliwahi kusafiri na kiongozi mwingine wa juuu ndani ya ndege toka Europe mpaka Bongo masaaa manane, bila kumtambulisha kuwa ni mtoto wake na kumuacha yule kiongozi akishangaaa, kule Minnesota alipokataliwa na yule dada wa kihaya akataka kul;eta fujo this time akakutana na vijana wa kihuni akapigwa mahututi, ndipo wale matajiri wa Madagascar wakamuokoa na kumuhamishia huko na kumpa kazi na mansion, Mkapa akawapa deal mbovu wakamfukuza Steve na ikabidi arudi bongo, viza ya kurudi US hana, ndio ikabidi akubali yaishe na kutua bongo, mama akamjengea mansion kule Msasani na mangingi kibao ndio bado wanatesa na michuzi ya ile Charity, sio siri,

With all that said, bwana mdogo anapaswa kuwa jela sio uariani kwenye Civilized World, yeye mwenyewe anajua kuwa kama sio baba yake kuwa rais by now angekuwa pabaya sana, maana maisha yake yote hajawahi kukamata cash mpaka majuzi tu hela za Charity zilipopamba moto, maisha yake yote wamemuuumiza yule mama masikini ya Mungu kule NY, na hata Mkapa alipopata urais hajaonyesha shukrani kwa huyo mama kwa kumtunzia watoto wake wawili katika maisha yao yote toka wakiwa wadogo, the matter of fact mwingine alishaaanza kubwiya unga ni urais ndio uka-save,

Kwanza hata hiyo siasa anayoandika labda anaandikiwa na mtu, man the guy is dumb! I mean completely dumb, hebu niambie kwa wale mnaomfahamu utaongea naye nini? Kijana alifikia mahali baba yake akihutubia wananchi, yeye huchukua kiti na kuukaaa, mbali pembeni ili watu wopte wamuone kuwa ni mtoto wa rais, I mean the kid is a joke na not worthy hata kujadili mawazo yake yaliyojengwa na wizi wa mama yake kwenye ile Charity, please tell the guy to shut up, before hatujasema maovu yake yote ambayo amekuwa akingkingiwa na polisi, the kid belongs to prison!

Naomba mumtumie hiii message huko aliko, ili afunge mdomo wabongo tuko sawa na we will be just fine pamoja na ufisadi wote tunaofanyiwa na kiba baba yake, yaani Dubwi!

Halafu huyu Steve aulizwe kuwa miaka yote karibu 20 aliyokaaa US, akisomeshwa kwa hela za serklai yaani walipa kodi amewahi kupata cheti gani?
 
Back
Top Bottom