Zilizovuja: Serikali ilifungua akaunti mpya ya siri ya Escrow yenye harufu ya kifisadi

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
  • Hii ni tofauti na ile ya kwanza ya Tegeta Escrow, kuna harufu ya wizi wa zaidi ya Tshs Trillioni 1.25 kupitia akaunti hii.
  • Akaunti hii mpya ya Escrow ilifunguliwa Stanbic Bank-Tanzania siku chache mara baada ya mkopo wenye harufu ya kifisadi wa zaidi ya Tshs 1.2 Trilioni kusainiwa mwaka 2013.
  • Kuna usiri mkubwa kutoka kwa Maafisa wa Serikali kwa nini akaunti hii ilifunguliwa, nani anaishikilia akaunti hii na ni kiasi gani kiliwekwa kwenye akaunti hii.
  • Mkataba unaonyesha zaidi ya Tshs Trillioni 2.45 zilitolewa na Wachina kwa ajili ya ujenzi wa bomba la mafuta na mitambo ya kuchakata gesi, lakini zaidi ya Trillioni 1.2 inasemekana ziliishia mikononi mwa wajanja, wengi wakiwa vigogo wa Serikali.
  • Hazina na BoT zilitoa baraka zote juu ya uanzishwaji wa akaunti hii ya Escrow.
  • Mpaka leo haijajulikana ni kwanini Serikali iamue kufungua akaunti na beki binafsi ya biashara wakati Benki Kuu(BoT) ipo.
  • Vigogo wa Serikali washikwa kigugumizi kuizungumzia akaunti hii.
  • Kuna kila dalili Kitilya katolewa kama mbuzi wa kafara kulinda vigogo wengine wengi walio nyuma ya sakata hili.
==============================================

THE government authorised Stanbic Bank Tanzania to open and maintain an escrow account in US dollars for the 532-kilometre Mtwara natural gas pipeline project in the same week that the same bank enabled Tanzania to borrow $600 million in a private placement contract deal.

Details of the escrow account have remained shrouded in secrecy with senior government officials either declining to comment or openly dodging questions about why it was opened, who controls it and how much money was deposited.

According to findings by The Guardian, the account was established through a letter from the Bank of Tanzania (BoT), dated 8 March 2013 and signed by two senior officials in the central bank's department of foreign payments and settlement, S. Mwakalukwa and M. Kahamba.

An escrow account is a temporary pass-through account held by a third party during the process of a transaction between two parties.

The pipeline and accompanying gas processing plants, all financed by a $1.225 billion Chinese loan, were initially expected to be completed in 2014 but reportedly faced technical glitches.

The actual cost of the project has recently been an issue of controversy with some opposition members of parliament claiming it was inflated by over 100 per cent and at least $600 million was allegedly spent on paying kickbacks to some key government officials.

The state-run Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is on record as saying the pipeline itself was built at a cost of $875.715 million and the balance from the Chinese loan was used to construct the gas processing plants.

Sources close to the government told The Guardian that the opening of the escrow account at Stanbic Bank was officially approved by the Treasury through BoT just days after the fishy-looking $600m loan deal between the bank and the government was concluded.

It remains something of a mystery why the government opted to open the account with a privately-owned commercial bank and not directly with the central bank, as was the case with the Independent Power Tanzania Limited's (IPTL) Tegeta escrow account.

The Guardian also couldn’t independently verify whether there was any hidden motive behind the opening of the Stanbic escrow account. So far, there is no suggestion of wrongdoing in either bank transaction despite the secrecy involved.

But for the past month or so, The Guardian has tried unsuccessfully to get proper clarification from the Treasury, BoT and TPDC – all of them being key government institutions involved in the Stanbic Bank transactions.

Top officials with these institutions have not been willing to discuss the matter in detail.

When contacted for comment, TPDC managing director Dr James Mataragio acknowledged the existence of the escrow account, but said he could not immediately explain why it was opened or how much money has been deposited in it.

Mataragio last month asked for time for TPDC to work on inquiries from The Guardian about the escrow account.

STANBIC ‘MUM’ ON ESCROW ACCOUNT

Stanbic Bank Tanzania officials have also not responded to The Guardian's requests for comment on whether there are any links between the escrow account, the pipeline project, and the $600m loan disbursed to the government.

The bank is already at the centre of controversial revelations that a $6 million bribe was allegedly paid to senior government officials in connection with work on the same private placement contract deal in 2012 and 2013.

The bank had put forward a proposal which would mandate them to raise those funds for former president Jakaya Kikwete's government by way of a sovereign note private placement.

Investigations by Britain's Serious Fraud Office (SFO) have established that the Tanzanian government in November 2012 formally granted Stanbic Bank and Standard Bank the mandate to raise the $600m funds.

The London-based Standard Bank agreed to pay nearly $37 million and enter into a British financial regulator's first deferred prosecution agreement to end probes into bribery of government officials in Tanzania over the private placement.

According to SFO findings, Stanbic and Standard Bank had initially quoted a fee to the Tanzanian government of 1.4 percent of gross proceeds raised from the private placement, but matters did not progress until that went up to 2.4 percent.

Evidence gathered by SFO showed that the additional 1 per cent, worth $6 million, was paid to a "local partner," a Tanzanian company called EGMA, for supposed consultancy services.

EGMA's chairman and one of its three shareholders and directors was Harry Kitilya, the then commissioner general of the Tanzania Revenue Authority (TRA).

Standard Bank recently changed its name to ICBC Standard Bank Plc following the acquisition of a 60 per cent stake by China's ICBC.

The London-based bank agreed to pay the SFO a $16.8 million fine and about $500,000 to cover costs, disgorge $8.4 million of profit, and pay $7.05 million to the Tanzanian government.

It also agreed to pay $4.2 million to settle related civil charges by the US Securities and Exchange Commission.

The $600m loan transaction was completed in March 2013 to raise funds for the construction of the Mtwara-Dar es salaam natural gas pipeline under the government's five-year development plan.
In the same week that the loan transaction was being concluded, the government opened the escrow account at the same Stanbic Bank Tanzania.

Kitilya, along with two ex-Stanbic Bank Tanzania officials, have since been formally charged in a Dar es Salaam court over massive corruption allegations linked to the same $600m private placement deal.

Those charged with Kitilya were the bank’s former head of corporate and investment banking, Shose Sinare, and former head of legal affairs, Sioi Solomon. The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) accused the trio of conspiracy to obtain money by false pretences, fraud, and money laundering.

They have denied the charges and the case is now awaiting a formal hearing date.

Source:
The Guardian
 
Inaelekea awamu ya nne 'walitumia vizuri' kipengele cha rais kutoshitakiwa.
Bomba la gesi ukweli wake ukijulikana hata nusu ni lazima mambo yanayotokea Brazil majuma machache yaliyopita yatokee hapa pia hata tukiwa wajinga kiasi gani!
Kwa wenye kumbu kumbu tujulishane kama huu ulafi wa kupindukia umeanza leo au ni wa siku nyingi. Tuulizane kama na ujenzi wa TAZARA, TAZAMA nk waliokuwepo walikuwa walafi kama hawa 'wasomi na madokta' wetu wa leo.
 
CCM tena...imemake Headliness...Hongereni sana CCM....asee mmetisha sanaaa

Hahahahaha

Nawataka CCM wampeleke lowasa mahakamani haraka sana...La sivyo nitaongoza maandamano ya VIWAVI JESHI kuelekea ilkulu ndani ya muda wa wiki moja
 
Inaelekea awamu ya nne 'walitumia vizuri' kipengele cha rais kutoshitakiwa.
Bomba la gesi ukweli wake ukijulikana hata nusu ni lazima mambo yanayotokea Brazili majuma machache yaliyopita yatokee hapa pia hata tukiwa wajinga kiasi gani!
Kwa wenye kumbu kumbu tujulishane kama huu ulafi wa kupindukia ujmeanza leo au ni wa siku nyingi. Tuulizane kama na ujenzi wa TAZARA, TAZAMA nk waliokuwepo walikuwa walafi kama hawa 'wasomi na madokta' wetu wa leo.

Cost ile ya bomba inasemekana iko Infated sana...tena kwa makusudi...infact Mh. Magufuli angedeal na haya mambo mazito sio zile petty issues
 
Inaelekea awamu ya nne 'walitumia vizuri' kipengele cha rais kutoshitakiwa.
Bomba la gesi ukweli wake ukijulikana hata nusu ni lazima mambo yanayotokea Brazil majuma machache yaliyopita yatokee hapa pia hata tukiwa wajinga kiasi gani!
Kwa wenye kumbu kumbu tujulishane kama huu ulafi wa kupindukia umeanza leo au ni wa siku nyingi. Tuulizane kama na ujenzi wa TAZARA, TAZAMA nk waliokuwepo walikuwa walafi kama hawa 'wasomi na madokta' wetu wa leo.
Mkuu hii kitu inasikitisha sana, kwa nini serikali fiungue akaunti kwenye benki binafsi wakati benki kuu ipo??

Kama watu wanaweza kuiba zaidi ya Trillioni 1.2 ndani ya mwaka mmoja, hii nchi tulikofika ni hatari aiseee
 
Cost ile ya bomba inasemekana iko Infated sana...tena kwa makusudi...infact Mh Magu ange deal na haya mambo mazito sio zile petty issues
Ni kweli, haya ndio mambo Rais anatakiwa kuzaa nayo perpendicularly.

Ishu kama hizi ndizo zinawaumiza wananchi kwa miaka zaidi ya 20 wakisikilizia maumivu yake tu
 
Zitaibwa tu mpaka tupate katiba ya maana.
Sisi ni wastaarabu sana. Wapinzani wakipiga kelele wakatoka bungeni kazi yetu kuwaponda tu kwenye mitandao. Halafu tulivyo wavivu wa kufikiri tunadhani Magufuli ni Mungu anaweza kila kitu.
Mi naomba waendelee kuiba ili tupate akili.
 
Ooooh! Lord of mercy .....lord have mercy on us..our children ,parents and relatives are staving while some few goons loot,dine and vomit in our expense .
Mkuu hii nchi inatia kinyaa aiseee.

Kama unaweza kushughulika na wezi wanaoijilipa milioni 40 kwa mwezi kwa nini usishughulikie mambo makubwa kama haya??
 
gharama ya bomba world standard ni 1.2bil kwa kilometer sie tumepigwa 2 bil per kilometer.....



haya yote yanatokea tz tu.
Naanza kuelewa kwa nini wakubwa walikingia kifua sana bomba lije Dar na sio kiwanda kujengwa kule kule Mtwara.

Sababu zilizotolewa hazikuwa kwa sababu ya maslahi ya taifa, ila wajanja wachache kupiga mihela tu
 
Back
Top Bottom