Ukiweza tuwekee hayo majamboz please. Ila pamoja nakuwa anamkandia Mkapa sasa hivi, inakuwaje alipokuja TZ hakuwa na ubavu wakufanya hivyo bali alirudi Uingereza nakuanza kushabikia huo ufisadi? Huyu mama ni kigeugeu. Mzee Mwanakijiji hebu fanya vitu vyako umpate huyu mama halafu akueleza huu ukigeu geu wake ni sababu ya nini?
Clare Short (aliyekuwa International Dev Minister..then) anabinua pua...kwa style ya kujisikia raha kabisa maana wakati ule alipinga sana hili dili lipitishwe na UK Gov.
Thanks Dr WHO japo part ya huyo mama na ile message ya Wtz wenye uchungu na taifa nimeikosa. Naamini utaweza pata link hizo somewhere na kutuwekea hapa.
Hata kama hawataadhibiwa manyang'au hawa lakini ujumbe unafika kwamba wanapoingia mikataba yao ya kiendawazimu wajue kuna watu hawaridhishwi na mambo yao ya ovyo. Pia itawafanya wajue kuwa kina Mkapa na JK siyo smartest people Tanzania na ki halisia ni jeuri tu ndiyo inayowasumbua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.