The Radar Scandal: Investigation & Progress | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Radar Scandal: Investigation & Progress

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Game Theory, Nov 14, 2006.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kutokana na taarifa zilizoingia kwenye wires this evening hapa London ni kuwa ile skendo ya Mtambo wa rada imeibuka umpya na kuna INVESTIGATION on the way na hawa jamaa wa SFO au serious fraud office wanaweza kuwatia mbaroni walio pewa pesa na BAE systems

  Nadhani mnakumbuka kuwa CLAIRE SHORT alipiga kelele weee lakini ile TENDA iliendelea sasa hii ya Tanzania inaunganishwa na ile ya Saudi Arabia ambako for strategic reasons inaweza ikamalizwa kiaina lakini kwa Tanzania things are not rossy na balozi naye hayu8po sasa nadhani ubalozi hapa London wajiweke katika position yakujibu hizi shutuma nzito maana kuna na MP ambao washajiposition kutoliachia hili ili kuendana na hizo recomendation za TONI BLAIR's COMMISSION FOR AFRICA na mojawapo ilikuwa ni good governance

  By the way hii mess sio ya JK bali ilikuwa na Ben Mkapa lakini still JK inabidi a clear hii mess


  All attachments over this scandal are here: Attachments - JamiiForums |The Home of Great Thinkers
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Nov 14, 2006
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  haya labda wazungu wakisema tutasikiliza
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ok nishaipata hiii link lakini kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Guardian,FT na The Times wanaweza kuirun hii story lakini hiyo kamati ya bunge nasikia kuna hao ma self appointed messiahs of Africa wako all out and fuming about this deal  http://www.exacteditions.com/exact/browse/381/412/1751/3/13

  will keep u posted as time goes by
   
 4. M

  Mwanagenzi JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 11, 2006
  Messages: 690
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Bongo nao washaidaka...

  Ununuzi wa mtambo wa kuongozea ndege wa Tanzania kuchunguzwa

  2006-11-13 16:20:55
  By Radio One Habari

  Viongozi wa Uingereza wameanzisha uchunguzi kuhusu utata wa uuzaji kwa Tanzania mtambo mmoja wa kuongozea ndege miaka minne iliyopita.

  Wizara yao ya Mambo ya Ulinzi imesema kwa kushirikiana na polisi inachunguza jukumu lililofanywa na kampuni yake ya ulinzi BAE Systems kuhusu tenda hiyo iliyogharimu dola milioni 50.

  Habari kutoka London zilizosikika mjini Dar es Salaam leo zinasema Tenda hiyo iliidhinishwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bwana Tony Blair.

  Gazeti la Times la Uingereza limesema uchunguzi unaangalia madai ya rushwa yaliyolipwa na kampuni ya BAE Systems kwa serikali ya Tanzania.

  Kampuni hiyo imesema inashirikiana kikamilifu na wachunguzi lakini imesema haikufanya jambo lolote baya.


  SOURCE: Radio One
   
 5. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  now this is interesting...
   
 6. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2006
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Mzee Nani,

  Bravo kwa hizo data, yaani ngoja tule data zaidi weka mwanangu!
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Nov 14, 2006
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Waa!!! this is killing me!

  Nadhani hao watatupatia angalau punje tu ya jinsi viongozi wa serikali yetu walivyopewa rushwa ili kusukuma hili dili.
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  by the way hii mes sio ya JK lakini itabidi aiclean up

  nashangaa kwa nini hawakureview hii contract na BAE SYSTEMS au at least kuifanyia amendments

  Yaani of all people sielewi Mkapa aliingia vipi kwenye hii trap
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Nov 14, 2006
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Mtego wa 10% una accuracy ya juu sana; mara nyingi huwa haukosi target yake.
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  sasa ubalozi London sijui utatoa statemenr gani au ndio tutegemee kumuona Bwana Ambukile akitoa msimamo wa serikali yetu kwenye BBC NEWS 24 maana balozi hayupo au ndio tena Mama Radhia Msuya atachukua uskani kwani hii ni BAD PR kwa nchi especially katika muda ambao sisi hatuna umeme na hayo ma skendo ya Richmond,IPTL,madini etc etc
   
 11. m

  mTz JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2006
  Joined: Aug 20, 2006
  Messages: 283
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Patamu hapo! yaani what a coincidence, nategemea kuhudhuria talk ya Clare Short sometimes this week. I was just about to ask wanabodi details za hii radar maana nilisikia kuwa imekuwa kimeo, je ni kweli kuwa haifanyi kazi? Any one with a suggestion of what I should ask her?
   
 12. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2006
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Huuu ubalozi wetu unahitaji kukaa kimyaa tu, maana watasema nini? Hao wazungu tayari wanazo data zote iliyobaki ni kuzimwaga tu, hii issue ilemwa weeee, mpaka kidogo ilete ngumi bungeni, tukaambiwa kuwa serikali imesha aamuwa, rada inayohitajika na Israeli tukainunua masikini wabongo,

  Hapa Mwandosya, Mramba, na Sumaye, ambao waliipigia kelele sana hii kitu ni lazima wajibu maswali hayo, sio ubalozi, tena hao watu wa ubaloozi hapo London wawafahamishe hao viongozi wawili wajibu haraka sana!

  Tena hii na Kibelloh/Shariff, ni lazima wajibu maswali pia, kama hao wengine hawapatikani hao maofisa wa ubalozi wamtafute Kibelloh/Shariff, waanze kujibu maswali ya awali wakisubiri wengine kupatikana, this is great labda sasa viongozi wetu wataanza kuogopa kuchukua mgawo kwa wazungu!
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  nahisi hii posti ya London kama ina nuksi haishi maskendo kila kukicha

  Bwana ES kama unajua namna ya kuendesha PR campaign basi ujue kuwa hii haitoisha leo wala kesho na nakumbuka skenda lilipotoka kwa mara ya kwanza ilikuwa justa small article kwenye gazeti la FT lakini hayo mengine yakafuata t=in the end ikawa very bad for a country ambayo ilionekana CORRUPT na ni same token with KENYA and NIGERIA


  Kwa taarifa yako this is not good na nasikia hata huyo mama Radhia Msuya is not around ...na hili suala no matter what inabidi jamaa wa DAR watoe instruction cha kusemwa ambacho at least kitaclarify mambo ...hili sasa litatuleta katika SCENARIO number 2 ambayo ni nani katika staff waopo sasa ataface the media???????????

  katika shortlist ninaye Bwana AMBUKILE as the obvious choice lakini je Bwana ambukile anao ubabe wa kuwa bullyish mbele ya British media kama Mkapa alipokuwa kwenye QUESTION TIME with JONATHAN DIMBELBY (wa ITV)

  Watch this space
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Nov 14, 2006
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Wengine wanadhani kuwa bullish ndio sifa kumbe ni dalili za ukilaza.


  Mtu bullish huwa hataki kuulizwa maswali, na lazima ni mtu siyejua kujibu maswali ndiyo maana anakuwa bullsih kusudi asiendelee kuuulizwa maswali zaidi.
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Kwa waandishi wa hapa UK bila hivyo watakuua sasa kukaa kimya watakufanya poster boy wao na mfano mzuri ni jinsi ubalozi wa malwi ulivyo kuwa bullish na jamaa wa sky news ambao walikutana na ma bullish wenzao

  au hata jamaa wa ubalozi wa Zimbabwe wako very impressiove when it comes to masuala ya kupambana na jamaa wa Broadcast TV
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Nov 14, 2006
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  DrWho, are you really serious kushangaa serikali kuingia mkataba huo?
   
 17. Z

  Zanaki JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 1, 2006
  Messages: 544
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyo Claire Short si ndiye pia aliyepiga kelele sana kuhusu ununuaji wa ndege ya raisi,na akafanya ziara hapa.Serikali ikampakia kwenye gari kwenda Dodoma kujionea Bunge letu likifanya kazi,hio barabara ya Dodoma ilivyorusha 'nido' zake,akarudi Dar na kutetea uamuzi wa kununua ndege,kwamba anaelewa kwa nini raisi wa Tanzania anahitaji ndege mpya!
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2006
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  sasa hivi Claire short anaweza sema kuwa hayuko serikalini lakini kama kuna watu wa Birmingham wanaweza kuonananaye then muulizeni

  Mtu wa kumbana ni Hilary Benn, mie nilishwahi kubana kuhuku conracts za DAWASA na CITY WATER akajidai eti mambu wa wao kama DFID wako innocent after all kesi iko mahakamani hivyo kuna mamabo hawezi kuyaongelea

  jamaa naye ni rogi tu kama claire short lakini claire short ana tatizo la kuwa shoti kiaina
   
 19. C

  Chief JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2006
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mtz.
  Ni kweli hii rada ni kimeo. Tetesi nilizosikia ni kuwa ilifanya kazi miezi mitatu tu ikafa. Muulize vile vile kuhusu Land Rover Defender za jeshi.
   
 20. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2006
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kichuguu,
  For Mkapa it was not 10%. It was 30%
   
Loading...