Dr.WHO,
Yote tisa..kumi ni kwamba wachunguzi toka nje huja TZ mara kwa mara kuchunguza mambo kibao na mengi yanahusiana sana na mikopo ama misaada yao!..it doesn't matter huwa wanakuja kabla ya utoaji wa fedha yoyote ile. Chini ya mikataba yao ya misaada kila nchi imetuma wawakilishi wake kufanya uchunguzi nchini tena mara nyingine kwa gharama yetu sisi (walipa kodi).
Pili, sielewi kwa nini bado unadai kuwepo kwa charitable organisation hali swala hili lilifka hadi bunge la Uingereza kabla kabisa rada haijanunuliwa. na ilikuwa scandal kubwa kwa Blair right from the start na hata baadhi wabunge wachunguzi walikuja TZ na kuzungumza na baadhi ya viongozi wetu -Wakiwemo hao uliowataja hapo juu.
Sasa kuandikwa kwa barua hii kutasaidia sana kwa vyama vya upinzani Uingereza kupata sababu na msukumo toka kwa wananchi wa Tanzania na kizuri zaidi ni kwamba upelelezi uliokwisha fanyika kabla na baada ya ununuzi umepitia vyombo vya juu. Hii ni sauti ya wananchi ambayo hawajawahi kuisikia kabisa!
Kumbuka pia ile scandal ya Iran-Contra ilivuma sana kutokana na wapepelezi wa nje na hasa waandishi wa habari ambao walikwenda huko South kupeleleza na kuziweka wazi.
Who knows, Dr.WHO kujaribu kitu ni bora kuliko kukaa kimya tukitegemea kuwa na maelezo yote ambayo hayawezi kupatikana. Scandal za watergate na kadhalika zote zimetokana na viamsho vidogo sana lakini baada ya uchunguzi mkubwa mambo mengi yalikuja bainika tena kortini.
Mimi naamini kabisa kuwa vyama vya upinzani Uingereza vinahitaji kiamsho sio lazima tuwe na ukweli wote lakini ikiwa madai yetu yatakuwa na nguvu ya kumwangusha Blair they will go for it. Fedha, Power, na sheria zote wanazo wao. haiwezekani kabisa fedha za ununuzi wa rada kuwa ni charitable org. kwani bunge la Uingereza wenyewe walipinga sana wakisema rada hiyo ina-cost Tanzania zaidi ya USd 40/m, nchi ambayo ni maskini kupindukia.