Mkuu umetoa wazozuri but inaitajika tutambue kuwa TBC nichanel ya taifa so lazima ijitahidi kufata na kutunza misingi ya habari na heshima kiujumla vile vile tusije kutegemea kwamba TBC itakuja kuwa Chanel pendwa km ilivyo kuwa clouds au eatv coz TBC haiwezi kutangaza habari zinazo tupendeza sisi vijana kwamfano Leo tunataka kusikia habari kuhusu skendo za mastaa ambazo kwaasilimia kubwa zinaibomoa jamii na kuharibu tamaduni zetu km watanzania, na hata tukiangalia hizo Chanel tunazo zisifia vipindi vyake pendwa na vinavyo sifika nivipindi ambavyo nivigumu Sana kusikika katika Chanel km TBC.Utangazaji ni kipaji na sio mavyeti tu..hawashangai clouds media wanaendelea kuwa relevant kwa kiasi fulani kutokana na kuweka watu wenye vipaji na sio tu degree ya mass communication na journalism..
Sehemu ukichajazaa wazee wengi hata ubunifu unakuwa hamna..refer taasisi nyingi za serikali kama Ttcl na nyingine..
Mkuu umetoa wazozuri but inaitajika tutambue kuwa TBC nichanel ya taifa so lazima ijitahidi kufata na kutunza misingi ya habari na heshima kiujumla vile vile tusije kutegemea kwamba TBC itakuja kuwa Chanel pendwa km ilivyo kuwa clouds au eatv coz TBC haiwezi kutangaza habari zinazo tupendeza sisi vijana kwamfano Leo tunataka kusikia habari kuhusu skendo za mastaa ambazo kwaasilimia kubwa zinaibomoa jamii na kuharibu tamaduni zetu km watanzania, na hata tukiangalia hizo Chanel tunazo zisifia vipindi vyake pendwa na vinavyo sifika nivipindi ambavyo nivigumu Sana kusikika katika Chanel km TBC.
Hahahahaha umeongea point Sana kiongozi lakin vile vile na sisi watazamaji tubadilike ifike wakati tukatae habari ambazo hazina faida ktk maendeleo ya taifa leo kwamfano leo hii nivijana wachache wanaotazama taarifa ya habari wengi tunapoteza time zetu kutazama vipind visivyo kuwa na maana kabisaNi kweli unayoyasema lakini hata vipindi kama habari vinakosa mvuto kabisa..Sasa mkuu unataka kusema kisa mtu tu anaweza kufata miiko ya utangazaji basi awe mtangazaji??
hiv kwann wale wazee wasiondolewe wawekwe vijana pale jmn!!!!Huu Upuumzi mamlaka husika ziuchukulie hata kaliView attachment 967987