TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

Sidhan kama hao TBC wanapitia huu Uzi maana mengi yameshauriwa vzur lakn bado wapo vilevile hawatak kubadilika nadhan wao kama wafanyakaz na utawala kwa ujumla wanapenda kubadilika ila tatzo wanaendeshwa na wanasiasa wanaogopa vibarua vyao kuviweka rehani kumbuka ya CEO aliyepita ambaye huko azam sasa yaliyomkuta na kesi zinazo mkabili jingne watangazaji wengi wanasubir teuzi za mkuu hvyo kwenda kinyume ni kama kujipalia kaa La moto mfano waliolamba teuz n Msemaji wa ikulu na msaidiz wake na baadh walifkia vyeo vya ukuu wa wilaya hayo yote n mambo ambayo yanawapa uoga watumishi wa hii taasisi
 
Utangazaji ni kipaji na sio mavyeti tu..hawashangai clouds media wanaendelea kuwa relevant kwa kiasi fulani kutokana na kuweka watu wenye vipaji na sio tu degree ya mass communication na journalism..

Sehemu ukichajazaa wazee wengi hata ubunifu unakuwa hamna..refer taasisi nyingi za serikali kama Ttcl na nyingine..
Mkuu umetoa wazozuri but inaitajika tutambue kuwa TBC nichanel ya taifa so lazima ijitahidi kufata na kutunza misingi ya habari na heshima kiujumla vile vile tusije kutegemea kwamba TBC itakuja kuwa Chanel pendwa km ilivyo kuwa clouds au eatv coz TBC haiwezi kutangaza habari zinazo tupendeza sisi vijana kwamfano Leo tunataka kusikia habari kuhusu skendo za mastaa ambazo kwaasilimia kubwa zinaibomoa jamii na kuharibu tamaduni zetu km watanzania, na hata tukiangalia hizo Chanel tunazo zisifia vipindi vyake pendwa na vinavyo sifika nivipindi ambavyo nivigumu Sana kusikika katika Chanel km TBC.
 
Ni kweli unayoyasema lakini hata vipindi kama habari vinakosa mvuto kabisa..Sasa mkuu unataka kusema kisa mtu tu anaweza kufata miiko ya utangazaji basi awe mtangazaji??
Mkuu umetoa wazozuri but inaitajika tutambue kuwa TBC nichanel ya taifa so lazima ijitahidi kufata na kutunza misingi ya habari na heshima kiujumla vile vile tusije kutegemea kwamba TBC itakuja kuwa Chanel pendwa km ilivyo kuwa clouds au eatv coz TBC haiwezi kutangaza habari zinazo tupendeza sisi vijana kwamfano Leo tunataka kusikia habari kuhusu skendo za mastaa ambazo kwaasilimia kubwa zinaibomoa jamii na kuharibu tamaduni zetu km watanzania, na hata tukiangalia hizo Chanel tunazo zisifia vipindi vyake pendwa na vinavyo sifika nivipindi ambavyo nivigumu Sana kusikika katika Chanel km TBC.
 
Ni kweli unayoyasema lakini hata vipindi kama habari vinakosa mvuto kabisa..Sasa mkuu unataka kusema kisa mtu tu anaweza kufata miiko ya utangazaji basi awe mtangazaji??
Hahahahaha umeongea point Sana kiongozi lakin vile vile na sisi watazamaji tubadilike ifike wakati tukatae habari ambazo hazina faida ktk maendeleo ya taifa leo kwamfano leo hii nivijana wachache wanaotazama taarifa ya habari wengi tunapoteza time zetu kutazama vipind visivyo kuwa na maana kabisa
 
Nimeona tofauti kwenye picha, zipo na uangavu tofauti na huko nyuma.
 
TBC
1. Boresheni ubora wa mwonekano wa picha na sauti
2. Vipindi vingi vilenge kuinadi Tanzania na sio siasa za chama tawala (kama italazimu kunadi vyama kuwe na balance ya chama tawala na upinzani kama kipindi cha uongozi wa Tido Mhando nilijishangaa wakati wa taarifa ya habari nahama channel kwenda TBC maana habari zilikuwa na mvuto mkubwa sana...na kwa mwendo ule nilikuwa nadhani vyombo vingine vingefifia....KUSEMA UKWELI TIDO MHANDO ALIIFUFUA TBC kutoka ilivyokuwa TVT)
3. Kuwepo na subchannels za miziki ya zamani (zilipendwa) pamoja na ya kizazi kipya (NB: zichaguliwe nyimbo za kuelimisha na zenye maadili zilizopigwa kwa mtindo wa kizazi kipya badala ya kupiga nyimbo za mapenzi tu na zisizo na maadili....kama chombo cha taifa kiwe "sensitive" kulea kizazi kipya kwenda kwenye mwelekeo sahihi kimaadili).
4. TBC itumike kuitangaza Tanzania kimataifa....uongezwe ubora wa picha/video kuonesha vivutio vya utalii
5. Vipindi vya kuelimisha watoto wajue kuandika, kusoma na kuhesabu ni vizuri viendelezwe

NB
Kwa sababu taifa la Tanzania linawajumuisha wanachama wa CCM, wanachama wa upinzani na wasio na vyama mi ningeshauri TBC iache kabisa kuonesha shughuli za chama chochote bali ijikite zaidi na masuala mapana ya kitaifa yanayogusa makundi yote kwa mfano michezo, elimu, afya, kilimo, muziki, utamaduni, n.k (maendeleo ya taifa kwa ujumla wake na sio maendeleo ya chama....viongozi wa CCM wanapotumia TBC kunadi sera za chama kunasababisha makundi ambayo ni "neutral" na "non-CCM" kukereka na kuichukia TBC....I wish TBC iwe ni kioo cha taifa na sio kioo cha chama.
 
tbc mmezidi kuwa tv ya serikali.... hadi kipindi cha mahaba ya familia mnazungumzia uzalendo wa nchi....Mchawi wenu ni nyinyi wenyewe
 
yule jamaa aliyetajwa na konki master kwamba anananilio nilimuona kwenye kipindi akiwa ameshika ILANI YA CCM mtu yule nilimdharau sana kwani hata kama anatafuta uteuzi lakini alipaswa kutanguza weledi mbele. bwana SAM MAHELA
 
Huu Upuumzi mamlaka husika ziuchukulie hata kali
IMG-20181214-WA0028.jpeg
 
Hovyo kabisa, Badala ya kumtafuta Tido Muhaondo awape ushauri, mmemfungulia kesi, yaani hovyo, namaanisha hovyo kwa kweli, hovyo mara hovyo, mmegeuka tawi la CCM, Yaan namuangalia Ryoba mpaka namshangaa, utadhani shuleni alienda kusomea ujinga
 
Chaneli yenu mpya ya "Tanzania Safari" iwepo katika Ving'amuzi vyote. Itawaongezea pointi nyingi mkiisimamia vizuri.
 
chanel mpya iiteni kilimanjaro achaneni na mambo ya tbc 3, ni lini mtatumia jina la kilimanjaro jamani
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom