Tanzania ya enzi hizo katika picha

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
11,124
Points
2,000

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
11,124 2,000
around 2006 - 2008
Mkuu haman around 2006 au 2008 hivi unafahamu namba za magari zilipokuwa zinaanzia na TZ kabla hazijawekwa herufi mbele kama TZA AU TZB nakuendelea ? Acha kubahatisha kwa kiwango hicho.

Hapo Pichani Kuna Gari zenye registration za Kitambo TZL huo Mwaka2006 namba za T---AAA zilikuwa Tayari
 

Lucky Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Messages
883
Points
1,000

Lucky Star

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2017
883 1,000
Nchi hii yumeihsribu kwamikono yetu. Mambo yalikuwa kwenye mstati tokea zama za uhuru lakini leo tunapiga kelele utafikiri tunaelekea kuadhimisha miaka mitano ya uhuru.
 

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Messages
694
Points
500

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2018
694 500
Azimio la Arusha hilo ndilo lilitudumaza kimaendeleo baada ya kutaifisha nyumba, shule na viwanda vya kina Patel
Unajua msingi wa Azimio la Arusha au unaongea tu?

Huwezi kujenga nchi yenye usawa ikiwa tabaka moja wanamiliki mali na tabaka lingine wanabaki kama Watazamaji alafu bado mkajiita jamii iliyo huru, na mbaya zaidi tabaka linalomiliki mali ni wa jamii fulani na Wanyonge ni jamii nyingine.

Mwalimu alifafanua vizuri sana hili, sijui ingekuwa wewe unataka kujenga jamii yenye usawa ungefanyaje?

Ungekaa pembeni tu na kuangalia Wahindi na Wazungu wakiwa na shule zao, hospitali zao, mitaa/makazi yao n.k na Walio wengi wabaki tu pembeni?
 

Forum statistics

Threads 1,382,409
Members 526,366
Posts 33,827,639
Top