Tanzania ya enzi hizo katika picha | Page 36 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ya enzi hizo katika picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by King Kong III, Dec 9, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  TES.jpg Ikarusi Posta.jpg Tanganyika Packers 1960.jpg Salander Bridge 1947.jpg DSM 1975.jpg Seaview Upanga Mawingu House 1960.jpg Arusha Clock Tower.jpg Dodoma 1974.jpg Bokba 1972.jpg Ujenzi CCm.jpg Korogwe Hotel.jpg Same Hotel.jpg Same Hotel.jpg Musoma.jpg Handei Mikono Juu.jpg DA Girls Secondary school kisutu 1975.jpg Iyunga sec 1966.jpg TES.jpg
  Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947

  Ikarusi Posta.jpg
  Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front

  Tanganyika Packers 1960.jpg
  Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s

  Salander Bridge 1947.jpg
  Salender Bridge 1960s

  DSM 1975.jpg
  Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!

  Seaview Upanga Mawingu House 1960.jpg
  Seaview-Mawingu House 1960

  Arusha Clock Tower.jpg
  Arusha-Clock Tower 1966

  Dodoma 1974.jpg
  Dodoma City Center 1974

  Bokba 1972.jpg
  Bukoba City Center 1972

  Ujenzi CCm.jpg
  Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo

  Korogwe Hotel.jpg
  Korogwe Hotel

  Same Hotel.jpg
  Same Hotel

  Musoma.jpg
  Musoma 1960

  Handei Mikono Juu.jpg
  Handeni Bomani Enzi Hizo

  DA Girls Secondary school kisutu 1975.jpg
  Shule Ya secondary Kisutu 1975

  Iyunga sec 1966.jpg
  Iyunga Secondary 1966

  Tupia Nyingine na wewe kama Unazo za Enzi Hizo za Popote pale ndani ya Tanzania::::Kumbukumbu ya Miaka 51 ya Uhuru::09 Dec 2012
   
 2. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #701
  Apr 3, 2016
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 23,552
  Likes Received: 11,926
  Trophy Points: 280
  Kwalipi hasa
   
 3. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #702
  Apr 3, 2016
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,089
  Trophy Points: 280
  Umeanza!
   
 4. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #703
  Apr 5, 2016
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Baadhi ya majengo bado yapo Dar. Lakini miaka 10 ijayo yote yatakuwa yamevunjwa kabisa. Yatabaki hayo makanisa tu ya St. Albani, St. Joseph na Azania Front.....! Tumeshindwa ku preserve history!
   
 5. MOTOCHINI

  MOTOCHINI JF-Expert Member

  #704
  Apr 9, 2016
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 23,552
  Likes Received: 11,926
  Trophy Points: 280
  Nimeanza nini
   
 6. h

  hamicbaja Member

  #705
  Apr 29, 2016
  Joined: Oct 8, 2015
  Messages: 78
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Hahahaha....kitamboolo
   
 7. wambura marwa

  wambura marwa JF-Expert Member

  #706
  May 13, 2016
  Joined: Mar 7, 2015
  Messages: 2,187
  Likes Received: 1,097
  Trophy Points: 280
  Kumbukumbu tosha vizazi hivi na vijavyo
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #707
  Dec 9, 2016
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Umofia Kwenu Wana JF,

  Leo tunasherekea miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika.Nina mawazo tofauti na kitendo cha magufuli kuruhusu kufanya sherehe wakati mwaka jana alizuia na fedha akazipeleka kwenye barabara.

  Tulikuwa tunalalamika sana kwamba mzunguko wa fedha hakuna hii inatokana na serikali kuondoa hela kwenye mzunguko na hivyo sector zinategemea serikali katika kufanya kazi nyingi zimeathirika.Nina imani watu wameshauri raisi kuhusu hiyo hali naona ameanza kuachia safi sana.

  Nina imani hiyo bilioni 4 imeingia mtaani na imeenda kwa watu wengi kwakuwa majeshi,watu wa protocol,vikundi vya ngoma etc vimepata mgao wao,tofauti na mwaka jana bilioni walipata watu wachache tu waliopata tenda ya ujenzi kwahiyo walifaidika wao na familia zao tu.

  Leo Thread ina Miaka minne Tangu ianzishwe hapa JF...Tijikumbushe Kidogo.
  Moringe.jpg
  Nyerere.jpg
   
 9. ukhuty

  ukhuty JF-Expert Member

  #708
  Feb 15, 2017
  Joined: Oct 9, 2016
  Messages: 12,833
  Likes Received: 31,190
  Trophy Points: 280
   
 10. ukhuty

  ukhuty JF-Expert Member

  #709
  Feb 15, 2017
  Joined: Oct 9, 2016
  Messages: 12,833
  Likes Received: 31,190
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda
   
 11. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #710
  Feb 15, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Hizo picha ni baada ya uislam au kabla uislam haujaondoka? Mohamed Said :D:D:D
   
 12. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #711
  Feb 15, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Umefurahi nini? au we ni Happy girl
   
 13. Mohamed Said

  Mohamed Said Verified User

  #712
  Feb 16, 2017
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 10,735
  Likes Received: 5,680
  Trophy Points: 280
  Mlaleo,
  Hebu nifafanulie swali lako.
   
 14. bbc

  bbc JF-Expert Member

  #713
  Mar 10, 2017
  Joined: Jan 18, 2016
  Messages: 2,128
  Likes Received: 2,330
  Trophy Points: 280
  Tulisimama kuchimba dawa! Picha nzuri sana, shukran kwa uliyezitunza.
   
 15. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #714
  Apr 7, 2017
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  MKUU UMENIKUMBUSHA JENGO LA MWALUGANJE SASA HIVI NI VODA SHOP DODOMA.
   
 16. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #715
  Apr 7, 2017
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  ALIKUWA ANAITWA MAKAPTURA
   
 17. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #716
  Apr 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 15,107
  Likes Received: 35,872
  Trophy Points: 280
  Sadiki na Chitemo
   
 18. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #717
  Apr 19, 2017
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 15,107
  Likes Received: 35,872
  Trophy Points: 280
  Ukistaajabu ya JF utaona ya historia.

  Let me keep on learning
   
 19. Omar Lugendo

  Omar Lugendo JF-Expert Member

  #718
  Jul 5, 2017
  Joined: Jun 19, 2016
  Messages: 543
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 180
  Safari bado ni ndefu,tumetoka mbali.
   
 20. 1kush africa

  1kush africa JF-Expert Member

  #719
  Jul 5, 2017
  Joined: Dec 13, 2016
  Messages: 822
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 180
  Heeee hivi morogoro mbona sizioni? Inamaana hamna alipga picha?
   
 21. Sigara Kali

  Sigara Kali JF-Expert Member

  #720
  Jul 5, 2017
  Joined: May 28, 2017
  Messages: 1,047
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Hawa wanafunzi wa kisutu wanavaa hivi hadi sasa au wamebadilishiwa?
   
Loading...