The Jets mwaka 1974 kabla ya kuwa STC Jazz na baadae kuwa Biashara Jazz

Jets1+972.jpg
 

Yaliwezekana haya kipindi kile watu waliopita university wa kuhesabika kwanini leo mipango haipangiki maana zamani train mtu anajua itapita saa ngapi morogoro, Dodoma na tabora mpaka mwanza na kama inafika saa kumi na moja basi ni kila siku kwa muda wa mwaka mzima inapita around mida hiyo na haizidi saa 12 lakini siku hizi leo ikipita saa 2 siku nyingine saa 6, kasoro train ya Mpanda ndio ilikuwa haina kanuni kutokana na miundombinu ya kule
 
OLDIE.JPG


Wanamichezo bora wa mwaka 1978. Kutoka kushoto ni Filbert Bayi ( World 1500m Champion) ; Gidamis Shahanga ( Commonwealth Marathon Champion); Emmanuel Mlundwa (Africa Flyweight Champion); Lucas Msomba (Africa Light Welterweight Champion ); Suleiman Nyambui (Africa 10,000m Champion ). Picha zote na Super D
 
Tanzania-Top-DJs.jpg


Ma DJs waliowahi kutamba sana enzi hizo (nadhani picha ya black and white inaweza kukwambia ni enzi zipi hizo). Itazame kwa makini na kisha ujaribu kama unaweza kuwatambua wangapi. Kama ulisakata dansi/disco enzi hizo, hebu waambie wadogo, tofauti ya enzi hizo na leo ni ipi au zipi? Weekend ilipokuwa inawadia,mambo yalikuwaje? Thanks Bongo Celebrity: Weekend Special - BongoCelebrity
 
Back
Top Bottom