singida 60,s
7046003485_9a708943d3_b.jpg

Mazingira ya zaman mazuri sana..sa hivi sijui wanakwama wapi kwa sasa singida hamna eneo zuri hivo wala sipajui hapo palikuwa sehemu gani
 
367429180_140d61d7fe_z.jpg
367429180_140d61d7fe_z.jpg

Babati -Tanganyika enzi hizo..hizo zilikuwa mbio za magari zilikuwa zinajulikana kamaCoronation Safari Rally....hapo gari kiongozi likiwasili kutoka Hanang karibu kabisa kwenye junction ya Arusha - Dodoma road. Pembeni mwa gari kushoto unaweza kuona shule na kati kati ni nyumba ya chifu 'Amri Dodo's' kulia ni ofisi za serikali

picha ilipigwa kwenye 1950's
Hii nyumba mpaka na Leo ipo. Ndipo alipozikwa chief Dodo, ni karibu na office ya RPC kwa sasa
 
Mwenye Picha za stand ya daladala Ubungo, Kimara na Mbezi Mwisho(Louis) kabla hakujavujwa
 
Kwa kweli kama tungeendelea na kasi hii ya maendeleo, tungekuwa mbali sana. sasa hivi umbakia wizi na usanii tu!
Ujamaa ulituponza,, siasa za ujamaa ziliwakimbiza wenye uchumi na Mipango, na kutugombanisha na wenye mitaji ,angalia wenzetu Kenya na Botswana kwamfano, nchi karibu zote zikizokuwa za kijamaa zilipata anguko kubwa sana la kiuchumi na kistaarabu ukiacha uchina, angalia kuanzia USSR (urusi) yaan Russia ya sasa, Cuba, nchi zote za mashariki Poland, Romania, Ukraine, Yugoslavia nk
 
Unapojisifu uwe unajilinganisha nani ?!.

Tunaambiwa na ndiyo ukweli. Wakati tunapata uhuru Tanzania ilikuwa sawa Korea zote mbili, Indonesia , China , Kenya nk . Lakini Leo wote hao ni wahisani wetu.

Mfumo wa u communist tulioujaribu , umetupoteza mazima. Dar hiyo utailinganisha na mji gani wa kistaarabu ?!
Unakosea yani mke wako wewe unataka ujilinganishe na jirani yako? Utasaidiwa kazi tu

Kila taifa lina strategy yake ya kujikwamua, huwezi uka copy from other side, simply kuna attitudes, behavior na characters tofauti za citizens huwezi uka copy na kupaste.

Tunazo approach zetu za ku move according to the nature of our nation.
Chaguo ni CCM, Chaguo ni Magufuli
 
159 Reactions
Reply
Back
Top Bottom