ck1.jpg


Kongwa House mwaka 1950
 
Mkuu picha za Tabora enzi hizo ziko nyingi tuu. Kuna familia fulani ya kizungu nafikiri walikuwa wanaendesha kilimo cha karanga huko miaka ya 1950 wana re-collection ya picha nyingi za Tabora. Picha nyingi wanazipublishi wajukuu wao.

Inanikumbusha those day tunasafiri na train mkifika Tabora wanaingia wanafunzi wa Tabora boys na Mirambo huku kila shule imeandika behewa lao mfano utakuta behewa limeandikwa Mazengo Complex hapo ukiingia kama sio member ni issue. hapo train kama vile moja ipo njia moja ya kuelekea Kigoma alafu nyingine ya kuelekea Mwanza na kulikuwa na train ya Mpanda ambayo ilikuwa inatumia injini ndogo kutokana na reli ilikuwa kwenye mbuga yenye unyevu mwingi.

Picha kiukweli zinakumbusha mbali ndio maana kuna watu pale Mwanza huwa wanawashangaa watu wanaopiga picha pale kwenye roundabout yenye samaki anaetoa maji kiukweli baadae itakuwa kumbukumbu nzuri kipindi hicho hapo panakuwa na structure nyingine
 

Wabunge wetu wanaweza kwenda bungeni kwa style hii kweli though karibu wote wanakaa Dodoma, siku hizi hata kwenye mabasi tu hatugongani nao kama miaka ya 80 unakuta familia zao zinatumia train na mabasi. kweli nimeamini kauli ya Kitila Mkumbo alikuwa anahijiwa hivi karibuni pale aliposema "KAMA WAZIRI UNAESIMAMIA SERILIKALI HUZIAMINI SHULE ZA SERIKALI NA KUMPELEKA MWANAO PRIVATE AU HUZIAMINI HOSPITALI ZETU NA FAMILIA YAKO INATIBIWA NJE YA NCHI, SASA SIJUI UTAWAAMINISHA VIPI WATZ KWAMBA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NI NZURI"
 
Back
Top Bottom