Tanzania ya enzi hizo katika picha | Page 35 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ya enzi hizo katika picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by King Kong III, Dec 9, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  TES.jpg Ikarusi Posta.jpg Tanganyika Packers 1960.jpg Salander Bridge 1947.jpg DSM 1975.jpg Seaview Upanga Mawingu House 1960.jpg Arusha Clock Tower.jpg Dodoma 1974.jpg Bokba 1972.jpg Ujenzi CCm.jpg Korogwe Hotel.jpg Same Hotel.jpg Same Hotel.jpg Musoma.jpg Handei Mikono Juu.jpg DA Girls Secondary school kisutu 1975.jpg Iyunga sec 1966.jpg TES.jpg
  Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947

  Ikarusi Posta.jpg
  Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front

  Tanganyika Packers 1960.jpg
  Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s

  Salander Bridge 1947.jpg
  Salender Bridge 1960s

  DSM 1975.jpg
  Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!

  Seaview Upanga Mawingu House 1960.jpg
  Seaview-Mawingu House 1960

  Arusha Clock Tower.jpg
  Arusha-Clock Tower 1966

  Dodoma 1974.jpg
  Dodoma City Center 1974

  Bokba 1972.jpg
  Bukoba City Center 1972

  Ujenzi CCm.jpg
  Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo

  Korogwe Hotel.jpg
  Korogwe Hotel

  Same Hotel.jpg
  Same Hotel

  Musoma.jpg
  Musoma 1960

  Handei Mikono Juu.jpg
  Handeni Bomani Enzi Hizo

  DA Girls Secondary school kisutu 1975.jpg
  Shule Ya secondary Kisutu 1975

  Iyunga sec 1966.jpg
  Iyunga Secondary 1966

  Tupia Nyingine na wewe kama Unazo za Enzi Hizo za Popote pale ndani ya Tanzania::::Kumbukumbu ya Miaka 51 ya Uhuru::09 Dec 2012
   
 2. i

  ibanezafrica JF-Expert Member

  #681
  Jun 15, 2015
  Joined: Oct 23, 2014
  Messages: 1,581
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Na wajomba wanasimuli Ilikua pia hakuna haja ya kutumia mipira ya kiume
   
 3. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #682
  Jun 20, 2015
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  [​IMG]
  Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947

  [​IMG]
  Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front

  [​IMG]
  Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s (DK)


  [​IMG]
  Salender Bridge 1960s

  [​IMG]
  Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!!

  [​IMG]
  Seaview-Mawingu House 1960

  [​IMG]
  Arusha-Clock Tower 1966

  [​IMG]
  Dodoma City Center 1974

  [​IMG]
  Bukoba City Center 1972

  [​IMG]
  Jengo La CCM Likiwa Linajengwa Enzi Hizo

  [​IMG]
  Korogwe Hotel

  [​IMG]
  Same Hotel

  [​IMG]
  Musoma 1960

  [​IMG]
  Handeni Bomani Enzi Hizo

  [​IMG]
  Shule Ya secondary Kisutu 1975

  [​IMG]
  Iyunga Secondary 1966
   
 4. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #683
  Jun 20, 2015
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Mkuu..baadhi ya picha na miaka haviendani.
   
 5. Mwana

  Mwana JF-Expert Member

  #684
  Jun 21, 2015
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 4,804
  Likes Received: 1,291
  Trophy Points: 280
  Uko sahihi kabisa Mkuu. Enzi hizo za UDA, DSM Muda wa basi kupita kituoni tulikuwa tunaufahamu kwa hiyo wanafunzi tunajiandaa muda wetu nakumbuka basi Uwanja Taiakwetu lilikuwa linapta saa kumi na mbili na nusu Juu ya alama. Na hilo basi ilikuwa likichelewa 5 minutes tena kwa nadra. lakini sasa hivi kila mtu na lake. Ukiuliza ooh siku hizi foleni ilimradi shaghalabagala.
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #685
  Jun 21, 2015
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,631
  Likes Received: 2,055
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu, kumbe uzi bado upo hai pamoja na kwamba umetolewa na King Kong III kitambo kidogo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #686
  Jun 21, 2015
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Daah! chalinze nafikiri
   
 8. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #687
  Jun 21, 2015
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  Halafu tulipo simama tukarudi nyuma..
   
 9. mgosi9

  mgosi9 JF-Expert Member

  #688
  Jun 27, 2015
  Joined: Jun 17, 2014
  Messages: 1,585
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 133
  Na tulipoanza kurudi nyuma ghafla tukateleza.
   
 10. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #689
  Jun 27, 2015
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  Mbaya zaidi ni baada ya kuteleza na kuanguka tumeshindwa kusimama...
   
 11. mapipando

  mapipando JF-Expert Member

  #690
  Jul 8, 2015
  Joined: Jun 8, 2015
  Messages: 1,285
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Zamani ilikuwa raha sana,population ndogo,mazingira safi,mwonekano mzuri wa mazigira,watu walijiheshimu hali kadhalika hapakuwepo na mchanga kwenye vitumbua na watu walivitafuna pasipo kutumia mifuko.
   
 12. i

  issangowe New Member

  #691
  Jul 29, 2015
  Joined: Jul 28, 2015
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hupande mwingine bora sasa mijini nipazuri
   
 13. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #692
  Jul 31, 2015
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha ha. Enzi hizo! Mabitozi (beetles) hao. Bila shaka hapo ni disco la mchana lililoitwa Boogie.
   
 14. s

  sailo de Qt Member

  #693
  Sep 13, 2015
  Joined: Aug 28, 2015
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aiseeee
   
 15. Kesa

  Kesa Member

  #694
  Sep 17, 2015
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabasi ya Ikarus yalikuwa marefu kama haya ya mradi wa mabasi yendayo kasi!! yatakapo anza kazi yatatukumbusha enzi hizoooo!!!
   
 16. eddo

  eddo JF-Expert Member

  #695
  Sep 30, 2015
  Joined: Mar 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  old is gold
   
 17. Ighombe

  Ighombe JF-Expert Member

  #696
  Oct 4, 2015
  Joined: Feb 12, 2014
  Messages: 892
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Jamii forum never boring!!!
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #697
  Oct 6, 2015
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Japo sio Bongo ila nimeipenda
   
 19. m

  mselenga Member

  #698
  Oct 7, 2015
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ili kuwa poa sana
   
 20. K

  Kadela Lufwanka Member

  #699
  Oct 16, 2015
  Joined: Apr 10, 2014
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  watu wa zamani walikuwa wastaarabu kuliko sasa, safi sana kwa kuturudisha wakati ule
   
 21. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #700
  Apr 1, 2016
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Nimekaa zaidi ya masaa matatu Ktk uzi huu! Hongera sana Wakuu!

  Ilikua fahari kujiita Mtanganyika Enzi hizo kuliko kujiita Mtanzania Kwa Sasa!
   
Loading...