Kufuatia kuwepo tatizo la mfumo wa kununua luku, suluhu kwa siku hizi zenye matatizo ni ku achia umeme utumike na watu watakutana na bill zao mfumo ukitengema
Mkuu, nunua umeme hata wa 20,000/= kisha zile number za token uzihifadhi kwenye begi/kabati lako kama unavyohifadi maji katika tank.
 
Mtanikumbuka kwa mazuri

Mr stone Magufuli ndio chanzo Cha haya yote!lazima tuweke Mifumo ambayo kwayo nchi itaendeshwa la sivyo hili linchi maendeleo tutayasikia kwa wenzetu tu!!

Suala dogo Kama hili linasumbua hivi!!! TANZANIA,TANZANIA,mwendazake alikomaa na SGR kumbeee........
 
NMB wao wameungana nao kwa mfumo upi!!...🙋🏽‍♀️🙋🏽‍♀️🙋🏽‍♀️
 
Waziri Kalemani sijui kama unajua kwamba tangu jana watu nyumba zao zipo Giza kutokana na mfumo wa Luku kutofanya kazi,hii unapaswa kujiudhulu haraka.sana
kosa la waziri liko wapi?

ungesema menejiment nzima ya tanesco sawa.
 
TANESCO kwa muda mliokwamisha huduma ya LUKU, tunaomba pia Serikali itangaze Hasara iliyotokana na Uzembe huo. Na TANESCO muwajibike kuilipa Serikali.
 
Hilo vurugu na foleni na shida kiukweli, tutatumia mishumaa mpaka system itengemae, labda nipate kishoka wa kuninunulia kwa hao mawakala.

Everyday is Saturday............................... :cool:
Tumia nmb mkononi au nenda kwa wakala wa nmb utapata
 
License expire hadi ulipie na Waziri hataki kurenew anataka software program made in Tanzania... Patamu hapo
 
Nchi hauwezi kuishi hivi. Lazima tujifunze....

Haya hii tu hivi ingekuwa lockdown je????

Lazima tufikirie nje ya mwanvuli. Nchi yetu imesimama mahala.....tunaposhindwa kufanya Uvumbuz tutaish kijimasana.


Ona wakati unahangaika kujenga barabara za juu, hivi nani amekwambia anataka apite juu..nchi hii ni Pana sana..

Fanya horizontal expansion,tandaza barabara chini..achana na mareli ya magharama...tumia traditional and geographical advantage yako uishi humo.


Leo hatuna umeme nchi ipo gizan wataalam au watanzania Wana creativity ipi kulingana na mazingira haya..

Nisawa kama tunaweza kununua kwenye vyanzo hivyo mawilayani na mikoani lakini watanzania tuwavivi sana. Nchi hii ina amani tulipaswa kutumia amani hii kufanya Kazi kwa shift..hivi kwanini tunakuwa hivi. 60 mil population tunalala wote usiku...dah
Mtanikumbuka kwa mema na mazuri....ujinga huu kamwe usingetokea kama mwendazake angekuwa hai, siku karibu tatu leo ndio tunamuona akifoka kwenye runinga,je siku zote alikuwa wapi? mara mfumo kwenye TRA. mara Bandari. shughuli ipo. watu wameanza kudemka.
 
Back
Top Bottom