Jamaa alilewa madaraka, akajiona mtu fulani asiyegusika, wapinzani wote walikuwa kama takataka kwake."Cheza na kitu nyingine yoyote lakini sio Ndugai" by Jobo Yustino Ndugai
Sukuma gang mna roho ya paka au ?Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda u a mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.
Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.
Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa
Sukuma gang mna roho ya paka au ?
Samia amesema hamtoboi..
Turudishe majeshi ndg zang.
Vivaaa!!! sukuma gang.
Huyo ni Ndugai mwenyew, hapa JF ana ID kama 5 hivi. Kwahiyo akianzisha thread kama hivi huwa anaandika na kujijibu mwenyew ili kupima upepo unakwendaje.Jidanganye hivo hivo
Akili yenyewe niitoe wapi dective wa polisi copral wetu.Tumia akili basi mama
Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda u a mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.
Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.
Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa
Hatuhitaji Kura za mwananchi kumpata rais.Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda u a mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.
Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.
Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa
Malizia mwenye jinsia ya ................Mtu SSH anafikiria 2025, maji, ufisadi, rushwa, umeme, ajira, madarasa, matundu ya vyoo, mfumuko wa bei, chakula ujenzi, mafuta, usalama, nidhamu serikalini, kuiunganisha nchi, kujibu hoja bila kutumia mabavu, vyote vimekushinda.
Unagombea kwa record gani, hoja gani? Mimi ni mwanamke?
Hilo lipo wazo,Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda una mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.
Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.
Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa
Malizia mwenye jinsia ya ................
Yes, mimi ni mwanamke ndiyo hoja kuu!Mtu SSH anafikiria 2025, maji, ufisadi, rushwa, umeme, ajira, madarasa, matundu ya vyoo, mfumuko wa bei, chakula ujenzi, mafuta, usalama, nidhamu serikalini, kuiunganisha nchi, kujibu hoja bila kutumia mabavu, vyote vimekushinda.
Unagombea kwa record gani, hoja gani? Mimi ni mwanamke?
Yes, mimi ni mwanamke ndiyo hoja kuu!
Asipochaguliwa lawama zinaelekezwa kwenye mfumo dume.