Baada ya Samweli Sitta spika wa viwango! Sasa ni Tulia Ackson Mwansasu homa ya jiji

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Bila unafiki, ushambenga, uchawa na ukurung'unzu wowote. Nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa Samweli Sitta mzee wa viwango! Lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia Ackson Mwansasu.

Huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata hazina mpya ya kujivunia! Huyu ni zaidi ya homa ya jiji kwa maana hakuna kiunzi Wala mtego ambao unaweza kumnasa kwa urahisi. Ni spika Bora kuwahi kutokea na chenji inabaki.
Labda Kuna mtu atanuna lakini hata kama yupo aliyenuna basi ni uzembe tu wa kufikiria sio kosa lake!

sugu na akson.jpg


Nawaambieni tujifunze kuheshimu tulichopewa kabla ya kufikiria ambacho hatunacho. Tujifunze kutunza hazina zetu.! Spika Samweli Sitta bunge lake halikuwa na upendeleo wowote na alihimili vishindo vyote na dhoruba ngumu bila kuumiza upande wowote.

Na bunge lilikuwa na furaha sana ! Naamini bunge hili tungeanza na dk Tulia tangia mwanzo tungekuwa tumepiga hatua kubwa zaidi ya hapa na mengi yaliyotokea yasingetokea.

Kelele nyingi zinasikika kwamba awaondoe wabunge 19 bungeni nikama yeye ndiye aliwaweka mle ndani ya bunge . Nachokumbuka Mimi aliyewaapisha akina mdee sio dk Tulia aksoni ni job ndugai .

Hata yeye naamini yale yalikuwa maagizo Toka juu .lakini ngoja ni waambie kitu hata chadema upande wao Kuna mahali waliyabananga .

Halima Mdee na Esther Bulaya wasingeamua kukisaliti chama kilichowalea na ambacho wanahistoria kubwa ndani yake ikiwa mchakato wa kupata wawakilishi wa viti maalumu ungefuatwa'.

Kilichokuwepo ni uongozi kupendekeza majina ya wake zao na wapenzi wao na ndio maana mdee na ether na wenzao wakaliamsha. Spika Tulia hahusiki popote na chochote kuhusu wabunge 19 .

Jambo la pili katika historia ya uumbaji kwa mara ya kwanza dunia nzima Iko chini ya mikono ya spika hodari mwana mama kutoka milima ya rungwe. ! Eeh kwani nani anabisha ? Yeye ndio Rais wa mabunge duniani IPU,. maana yake nchi imeaminiwa sio tu spika Tulia .

Najua nabii hakubaliki nyumbani lakini dk Tulia kafanya mengi . Ana moyo wa pekee na ni mtu asiye yumbishwa .Kwa sasa tunashuhudia utulivu wa Hali ya juu sana kwenye mhimili wa bunge!

Tutarajie bunge la viwango zaidi 2025 - 2030 chini ya mwamba huyu, mwanamama shupavu ! Dada na rafiki yetu mkubwa dk Tulia aksoni ! Homa ya jiji !!

sugu na akson.jpg
 
Bila unafiki ,ushambenga ,uchawa na ukurung'unzu wowote nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa samweli sitta mzee wa viwango! .lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia ackson mwansasu . ,huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata hazina mpya ya kujivunia ! Huyu ni homa ya jiji kwa maana hakuna kiunzi Wala mtego ambao unaweza kumnasa kwa urahisi ! Ni spika na chenji inabaki ! Labda Kuna mtu atanuna lakini hata kama yupo aliyenuna basi ni uzembe tu wa kufikiria sio kosa lake!View attachment 2908893nawaambieni tujifunze kuheshimu tulichopewa kabla ya kufikiria ambacho hatunacho !
Actually uko sahihi
 
Hii tabia ya kuanzisha thread ya vioja halafu mnaitana kuunga mkono maigizo yenu, mliiacha muda mrefu, naona mmeirudia tena. Lumumba FC.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Umenena mkuu, huyo mama ametaka bunge liipe sekekali mpaka mwezi wa sita kumaliza tatizo la umeme, wakati serekali inasema tatizo litakwisha mwezi wa tatu. Yaani kwake yeye kero na hasara tunazopata kwa mgao wa umeme ni sawa tu. Halafu mtu anaamka usingizini anasema huyu ndiye raisi ajaye.
 
Bila unafiki ,ushambenga ,uchawa na ukurung'unzu wowote . nasimama kusema katika umri wangu spika Bora niliyewahi kumuona na kumkubali alikuwa samweli sitta mzee wa viwango! .lakini kwa sasa nchi ipo mikono salama chini ya spika Tulia ackson mwansasu . huyu mtu sio tu ni spika bali tumepata hazina mpya ya kujivunia ! Huyu ni zaidi ya homa ya jiji kwa maana hakuna kiunzi Wala mtego ambao unaweza kumnasa kwa urahisi. Ni spika Bora kuwahi kutokea na chenji inabaki . Labda Kuna mtu atanuna lakini hata kama yupo aliyenuna basi ni uzembe tu wa kufikiria sio kosa lake!View attachment 2908893nawaambieni tujifunze kuheshimu tulichopewa kabla ya kufikiria ambacho hatunacho. tujifunze kutunza hazina zetu. ! Spika samweli sitta bunge lake halikuwa na upendeleo wowote na alihimili vishindo vyote na dhoruba ngumu bila kuumiza upande wowote . na bunge lilikuwa na furaha sana ! Naamini bunge hili tungeanza na dk Tulia tangia mwanzo tungekuwa tumepiga hatua kubwa zaidi ya hapa na mengi yaliyotokea yasingetokea. Kelele nyingi zinasikika kwamba awaondoe wabunge 19 bungeni nikama yeye ndiye aliwaweka mle ndani ya bunge . Nachokumbuka Mimi aliyewaapisha akina mdee sio dk Tulia aksoni ni job ndugai . Hata yeye naamini yale yalikuwa maagizo Toka juu .lakini ngoja ni waambie kitu hata chadema upande wao Kuna mahali waliyabananga . Halima mdee na esther bulaya wasingeamua kukisaliti chama kilichowalea na ambacho wanahistoria kubwa ndani yake ikiwa mchakato wa kupata wawakilishi wa viti maalumu ungefuatwa'. kilichokuwepo ni uongozi kupendekeza majina ya wake zao na wapenzi wao na ndio maana mdee na ether na wenzao wakaliamsha. Spika Tulia hahusiki popote na chochote kuhusu wabunge 19 . Jambo la pili katika historia ya uumbaji kwa mara ya kwanza dunia nzima Iko chini ya mikono ya spika hodari mwana mama kutoka milima ya rungwe. ! Eeh kwani nani anabisha ? Yeye ndio rais wa mabunge duniani IPU,. maana yake nchi imeaminiwa sio tu spika Tulia . Najua nabii hakubaliki nyumbani lakini dk Tulia kafanya mengi . Ana moyo wa pekee na ni mtu asiye yumbishwa .Kwa sasa tunashuhudia utulivu wa Hali ya juu sana kwenye mhimili wa bunge! Tutarajie bunge la viwango zaidi 2025 - 2030 chini ya mwamba huyu ,mwanamama shupavu ! Dada na rafiki yetu mkubwa dk Tulia aksoni ! Homa ya jiji !!
20240219_111900.jpg
 
Umenena mkuu, huyo mama ametaka bunge liipe sekekali mpaka mwezi wa sita kumaliza tatizo la umeme, wakati serekali inasema tatizo litakwisha mwezi wa tatu. Yaani kwake yeye kero na hasara tunazopata kwa mgao wa umeme ni sawa tu. Halafu mtu anaamka usingizini anasema huyu ndiye raisi ajaye.
Uwe na akili yeye hajazuia kukamilisha kwa muda waliopanga ,ila anewapa mwisho wa visingizio mwezi wa sita !
 
Pale hakuna kitu.
Lile ni galasa tu.
Yaani serikali inasema mgao wa umeme utaisha March, 2024, yeye Spika anasema anataka serikali imalize mgao wa umeme mwezi juni, 2024. Dr. Tulia ana akili timamu kweli?
 
Akilizenu ni kiduchuu,hamna kumbukumbu na hamuwezi kufikiria.
Huyu anaendesha bunge la chama kimoja ngoja mwakani kina LISSU,Heche,Mnyika,Lema etc warudi bungeni utamwona atavyopagawa nakulipasua bunge!
Unaweza kuwa baba booora ukiishi na wanao,ngoja uletewe watoto wawenzioo...
 
Uwe na akili yeye hajazuia kukamilisha kwa muda waliopanga ,ila anewapa mwisho wa visingizio mwezi wa sita !
Anawapa Kama nani? Wenyewe wamejicommit mwezi wa tatu, yeye anaongeza Hadi mwezi wa SITA. Very stupid speaker
 
Back
Top Bottom