Bunge letu lote Majangaaaaaa
okelo.jpg
Mapinduzi Dima Oyeee
Na Waziri Mkuu atajiuzulu lini Vile!!!!!!
 
Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda u a mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.

Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.

Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa
Sukuma gang mna roho ya paka au ?
Samia amesema hamtoboi..
Turudishe majeshi ndg zang.
Vivaaa!!! sukuma gang.
 
Sukuma gang mna roho ya paka au ?
Samia amesema hamtoboi..
Turudishe majeshi ndg zang.
Vivaaa!!! sukuma gang.

Wewe hivi ni bora utawaliwe na mgeni kuliko mweyeji, mtu atayekupa maji, umeme,kudhibiti inflation, kusomesha watoto wako bure, nidhamu serikali, kujenga barabara, madaraja, mikopo inayoeleweka ya kimkakati.

Lazima uwagawanye watu kwa kuwaita majina ya ajabuajabu?

Ndio jukumu lako duniani? utoto mtupu.
 
Watanganyika wanyonge sana.

Fikiria mtu kapewa kazi ya Ubunge na wananchi, lakini akishashinda anahamia kuwa mpambe wa Rais kana kwamba ameupata Ubunge kwa mkono wa Rais.

Au tujue katiba yetu ni mbovu kiasi cha
kuwa Rais kupitia chama tawala ndio mwenyekiti wa chama tawala
na
ndiye mteua majina ya wabunge wagombea.

Na sio kuwa box la kura litampitisha mtu kuwa Mbunge?

Ukerewe tawala Mwanza
 
Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda u a mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.

Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.

Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa

Mtu SSH anafikiria 2025, maji, ufisadi, rushwa, umeme, ajira, madarasa, matundu ya vyoo, mfumuko wa bei, chakula ujenzi, mafuta, usalama, nidhamu serikalini, kuiunganisha nchi, kujibu hoja bila kutumia mabavu, vyote vimekushinda.

Unagombea kwa record gani, hoja gani? Mimi ni mwanamke?
 
Hatuhitaji Kura za mwananchi kumpata rais.
 
Mtu SSH anafikiria 2025, maji, ufisadi, rushwa, umeme, ajira, madarasa, matundu ya vyoo, mfumuko wa bei, chakula ujenzi, mafuta, usalama, nidhamu serikalini, kuiunganisha nchi, kujibu hoja bila kutumia mabavu, vyote vimekushinda.

Unagombea kwa record gani, hoja gani? Mimi ni mwanamke?
Malizia mwenye jinsia ya ................
 
Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda una mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.

Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.

Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa
Hilo lipo wazo,
 
Malizia mwenye jinsia ya ................

Mwambie SSH maisha sio magumu kivile. Fanya vizuri kuliko yote niliyoyaeleza post number 10. Mtangulizi wako.

Utapendwa zaidi, sana tu, Kusiwe na visingizio.

Kuwa serious na maisha ya Watanganyika kama ulivyo na maisha ya Wazanzibar.

Weka watu sahihi kwenye wizara sahihi. Kama nishati, maji, elimu, watu sahihi kukupigania.

Unamtoa Polepole, Dr Bashiru. Unawaweka watu wenye na uwezo mdogo.

Polepole uwezo wa kueleza sera zako na kueleweka, kutafiti, kukupigania, kupambana, kupambanua, kukubalika ni mkubwa sana kuliko huyu Choko.

Umemtoa Ndugai kisa huna uwezo wa kujibu hoja kwa hoja, kusamehe, umemdhalilisha mbele ya Watanzania wote. Mhimili wake umeuua.

Umeshasahau nafasi hii umeipata kwa sababu ya JPM kukuamini.

Hujawahi kushinda Uchaguzi wowote Tanganyika. Ulibebwa.
 
Mtu SSH anafikiria 2025, maji, ufisadi, rushwa, umeme, ajira, madarasa, matundu ya vyoo, mfumuko wa bei, chakula ujenzi, mafuta, usalama, nidhamu serikalini, kuiunganisha nchi, kujibu hoja bila kutumia mabavu, vyote vimekushinda.

Unagombea kwa record gani, hoja gani? Mimi ni mwanamke?
Yes, mimi ni mwanamke ndiyo hoja kuu!
Asipochaguliwa lawama zinaelekezwa kwenye mfumo dume.
 
Yes, mimi ni mwanamke ndiyo hoja kuu!
Asipochaguliwa lawama zinaelekezwa kwenye mfumo dume.

Aulizwe hadi sasa amefanya nini cha kumsaidia Mtanganyika?

Zaidi ya kuongeza madeni, michambo, Ngojera, taarabu.

Mwezake wa Zanzibar ameunganisha nchi huyu anaigawanya nchi kikabila, kidini, kimuungano, Kijinsia, mihimili.

Anawekeza kwenye uoga wa Watanganyika, njaa zao wapo wengi hapo (lemutuz,Zitto na wapuuzi wengine kama yeye waweke kwenye hotel, wape chakula, vijisenti, wanawake)

Pia kukosa uaminifu, uadilifu, kujali ndugu zao, vijana, wazee, watoto, jirani zao, nchi yao mustakabali wa Taifa lao,haki zao, kuiwajibisha serikali.

Democrasia ni nini? Jamhuri ni nini? Misingi ni kushiriki kutawala, kutoa maoni kuchagua serikali, wawakilishi wetu waheshimiwe, mihimili mitatu inayojitegemea.
 
Back
Top Bottom