Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

Don Moen

JF-Expert Member
Nov 12, 2020
1,566
2,944
Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea.

Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali.

Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote.

Umepoka nafasi ya Waziri mkuu.

Hii ni aibu. Ndugai aliyafanya haya yote tena kwa vitisha lakini sasa anasugua benchi hata hadharani hataki aonekane.

Nikukumbushe kuwa HAKI HUINUA TAIFA BALI UOVU NI AIBU YA WATU WOTE.

Leo uko hapo kumpendeza Samia na kuiacha kazi yako ya kuisimamia serikali.

Tabia na udhaifu wako umejionyesha pale baadhi ya wabunge walipoonyesha kuukosoa mkataba mchafu wa DWP hasa Mdee, umemwandama na kumtoa kwenye reli.

Tunafahamu Mdee yuko hapo kimakosa lakini linapokuja suala la maslahi ya Taifa tunaweka tofauti zetu pembeni. Taifa kwanza.

Usipojirekebisha AIBU YAKO INAKUJA.
 
Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea.

Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali.

Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote.

Umepoka nafasi ya Waziri mkuu.

Hii ni aibu.
Ndugai aliyafanya haya yote tena kwa vitisha lakini sasa anasugua benchi hata hadharani hataki aonekane.

Nikukumbushe kuwa...HAKI HUINUA TAIFA BALI UOVU NI AIBU YA WATU WOTE.

Leo uko hapo kumpendeza Samia na kuiacha kazi yako ya kuisimamia serikali.

Tabia na udhaifu wako umejionyesha pale baadhi ya wabunge walipoonyesha kuukosoa mkataba mchafu wa DWP hasa Mdee, umemwandama na kumtoa kwenye reli.

Tunafahamu Mdee yuko hapo kimakosa lakini linapokuja suala la maslahi ya Taifa tunaweka tofauti zetu pembeni..taifa kwanza.

Usipojirekebisha AIBU YAKO INAKUJA
Naona umeumia sana baada ya tulia kuonekana yupo smart kwenye sheria kuliko Halima Mdee anaeongea kwa kutumia speculations zake tu na wala sio vitu vilivyopo kwenye mkataba
 
Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea.

Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali.

Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote.

Umepoka nafasi ya Waziri mkuu.

Hii ni aibu.
Ndugai aliyafanya haya yote tena kwa vitisha lakini sasa anasugua benchi hata hadharani hataki aonekane.

Nikukumbushe kuwa...HAKI HUINUA TAIFA BALI UOVU NI AIBU YA WATU WOTE.

Leo uko hapo kumpendeza Samia na kuiacha kazi yako ya kuisimamia serikali.

Tabia na udhaifu wako umejionyesha pale baadhi ya wabunge walipoonyesha kuukosoa mkataba mchafu wa DWP hasa Mdee, umemwandama na kumtoa kwenye reli.

Tunafahamu Mdee yuko hapo kimakosa lakini linapokuja suala la maslahi ya Taifa tunaweka tofauti zetu pembeni..taifa kwanza.

Usipojirekebisha AIBU YAKO INAKUJA
Mkuu hata ungekua wewe ndio madam speaker ungefanya hivyo hivyo (The same)........

NB:
Kwa mamlaka ya Rais Kwa kikatiba iliyopo na mamlaka aliyo nayo Rais wa JMT kikatiba....akitoka MWENYEZ MUNGU anafuatia Rais Samia............

Otherwise utapelekwa Kule AMBAPO WATU WAKIENDAGA HAWARUDI......

So it's your Option.....
 
Mkataba huo hauko specific hivyo unatoa room za speculations...
Hauonyeshi ukomo wala maeneo husika kiufasaha...mkataba umejaa ujanja ijanja sana
Mambo ya Sheria sio ya speculations ndugu.

Speculations waachie waganga wa kienyeji
 
Mkuu hata ungekua wewe ndio madam speaker ungefanya hivyo hivyo (The same)........

NB:
Kwa mamlaka ya Rais Kwa kikatiba iliyopo na mamlaka aliyo nayo Rais wa JMT kikatiba....akitoka MWENYEZ MUNGU anafuatia Rais Samia............

Otherwise utapelekwa Kule AMBAPO WATU WAKIENDAGA HAWARUDI......

So it's your Option.....
Angewaacha watu wachangie kwa uhuru.
Pili ashauri kwa nia njema Mungu angemtetea
 
Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea.

Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali.

Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote.

Umepoka nafasi ya Waziri mkuu.

Hii ni aibu.
Ndugai aliyafanya haya yote tena kwa vitisha lakini sasa anasugua benchi hata hadharani hataki aonekane.

Nikukumbushe kuwa...HAKI HUINUA TAIFA BALI UOVU NI AIBU YA WATU WOTE.

Leo uko hapo kumpendeza Samia na kuiacha kazi yako ya kuisimamia serikali.

Tabia na udhaifu wako umejionyesha pale baadhi ya wabunge walipoonyesha kuukosoa mkataba mchafu wa DWP hasa Mdee, umemwandama na kumtoa kwenye reli.

Tunafahamu Mdee yuko hapo kimakosa lakini linapokuja suala la maslahi ya Taifa tunaweka tofauti zetu pembeni..taifa kwanza.

Usipojirekebisha AIBU YAKO INAKUJA
Kama bado Katiba ni hii hii mtalaumu sana watu !! Kweli watanzania ni wasahaulifu sana !! 😅🙏
 
Back
Top Bottom