UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
6,168
2,000
Mtu SSH anafikiria 2025, maji, ufisadi, rushwa, umeme, ajira, madarasa, matundu ya vyoo, mfumuko wa bei, chakula ujenzi, mafuta, usalama, nidhamu serikalini, kuiunganisha nchi, kujibu hoja bila kutumia mabavu, vyote vimekushinda.

Unagombea kwa record gani, hoja gani? Mimi ni mwanamke?
Yes, mimi ni mwanamke ndiyo hoja kuu!
Asipochaguliwa lawama zinaelekezwa kwenye mfumo dume.
 

ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
3,021
2,000
Yes, mimi ni mwanamke ndiyo hoja kuu!
Asipochaguliwa lawama zinaelekezwa kwenye mfumo dume.

Aulizwe hadi sasa amefanya nini cha kumsaidia Mtanganyika?

Zaidi ya kuongeza madeni, michambo, Ngojera, taarabu.

Mwezake wa Zanzibar ameunganisha nchi huyu anaigawanya nchi kikabila, kidini, kimuungano, Kijinsia, mihimili.

Anawekeza kwenye uoga wa Watanganyika, njaa zao wapo wengi hapo (lemutuz,Zitto na wapuuzi wengine kama yeye waweke kwenye hotel, wape chakula, vijisenti, wanawake)

Pia kukosa uaminifu, uadilifu, kujali ndugu zao, vijana, wazee, watoto, jirani zao, nchi yao mustakabali wa Taifa lao,haki zao, kuiwajibisha serikali.

Democrasia ni nini? Jamhuri ni nini? Misingi ni kushiriki kutawala, kutoa maoni kuchagua serikali, wawakilishi wetu waheshimiwe, mihimili mitatu inayojitegemea.
 

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
94,556
2,000
Dalili zipo wazi kuwa kuna siri kubwa kwenye mikopo inayofanyika chini ya Ccm ya mama Samia. Hasa huu mkopo wa tril 1.3 huenda una mruerue kibao ambayo yana siri kubwa.

Ila mbali na hayo bunge kutaka kudhibiti ufisadi na kumweleza ukweli rais Samia imekuwa kero kwake.

Mwaka 2025 kama Samia akigombea urais, wananchi watamkataa
Hatogombea
 

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
42,118
2,000
"Power is always dangerous, it attracts the worst and corrupts the best" ~ Ragnar (The Vikings)
 

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
10,487
2,000
Tujue kama ilikua ni katiba au ni utashi wake huyo job ndugai nae pia itapendeza kama aitwa na kamati ile ya waua paka kama alivyowafanyia wenzie akiwepo member mwenzetu hapa jukwaani paskal mayalla.

Ili nae aonje utamu wa kutolewa jasho na ile kamati ya vingunge,

Nitafurahi huyo spika ajaye haraka sana amuite tujue alikuwa amelewa au ana akili timamu.

Kumbe ni kweli bunge lilikuwa dhaifu!
 

APA CHICAGO

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
240
500
Tujue kama ilikua ni katiba au ni utashi wake huyo job ndugai nae pia itapendeza kama aitwa na kamati ile ya waua paka kama alivyowafanyia wenzie akiwepo member mwenzetu hapa jukwaani paskal mayalla...
Naunga mkono hoja na akikaidi kuitiki wito afuatwe kama alivyokuwa anawafanyia wenzie.Serikali ina mkono mrefu.
 

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
19,763
2,000
Tujue kama ilikua ni katiba au ni utashi wake huyo job ndugai nae pia itapendeza kama aitwa na kamati ile ya waua paka kama alivyowafanyia wenzie akiwepo member mwenzetu hapa jukwaani paskal mayalla...
Unataka m-CCM mwenzio aanze kulia kwa mtindo wa mayowe?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom