Na aliyemuua Chacha Wangwe?Hivi ni mwana ccm yupi alimpa sumu Mangula?
Na aliyemuua Chacha Wangwe?Hivi ni mwana ccm yupi alimpa sumu Mangula?
Ni vizuri sana ili ukweli na kama kila siku wanamsikilizaHapa nilipo pamejaa hakuna hata sehemu ya kutema mate ,
Wananchi wanamuangalia kiongozi wao.
Uzuri hata Kanda ya ziwa upepo sio mzuri kwake.Kwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.
Sasa. Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzqni, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake ktk kampeni sipati picha itakuwaje.
Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?
Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.
Wewe sijui ni mtu wa namna gani unashabikia CCM kwa hiari au hujitambui.Tundu atafute pa kwenda sijui atakula nini, ruzuku zetu kwa chadema anazotumbua sasa hivi hakuna tena, uwakili kibali chetu hakuna, Ulaya viza hapati, anamuiga Fatuma, mwenzake mtoto wa raisi, ...
Watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yetu, tutaishi na kuyasimulia Matendo makubwa ya awamu ya tano. Kama ni kufa, jiongeze tu kamanda, maana Magufuli ni Tano tena.Kwa namna mambo yanavyokwenda hali si shwari ndani na nje ya chama chake.
Sasa. Sasa, ikitokea amechaguliwa baadhi ya maeneo yanayoshabikia Sana upinzqni, wanaCCM ambao mkubwa huyu anawaona kama wasaliti na wapinzani wanaomsumbua akili yake ktk kampeni sipati picha itakuwaje.
Si mnamfahamu kwa kulipa visasi na visasili?
Kuliepuka balaa hili sote kwa pamoja tuseme NO kwa mkubwa huyu.
Hili haliwezekani....Hahaaa yaani wao wameajiriwa then wanataka Graduate wapewe elimu ya ujasiriamali wajiajiri, hiki ni kitukoView attachment 1582849
Hahaaa yaani wao wameajiriwa then wanataka Graduate wapewe elimu ya ujasiriamali wajiajiri, hiki ni kitukoView attachment 1582849