Ujue tyu Mapenzi yana seasons mdogo wanguuu! Jiandae kwa yote na usiwe na lots of expectations kwa Mwenzio sometimes mambo hubadilikaa huyohuyoo anoonesha malovee kama yote hapo mwanzo anaeza kugeuka ukabaki unajiuliza bila majibuuu!! Hii inaapply kwa wotee yeyote aeza badilika
Ni kujiandaa kwa yoteee pia!! Na Sometimes Ni Kupambana kama mlivosema hapo juu na mamaa lipss
Tinsley nawengine ikifika Crisis ndio balaaa ifike crisis afu no resolutions ndobasi tenaaaa til we meet again

Note that pia!
Nipo Naendelea kusoma tena

