Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wagawie watu saba hata wanane sehemu yako,
maana, hujui balaa litakalofika duniani.

Mawingu yakijaa maji, mvua hunyesha;
mti ukiangukia kusini au kaskazini,
hapo uangukiapo ndipo ulalapo.

Anayengoja upepo hatapanda mbegu,
anayesubiri mawingu yatoweke, hatavuna kitu.
Tupate pambio kidogo..😂
kwako Saint Anne🎶🎼
 
Hukulala Kwamba kilio au
Hauna kavideo nikuone😂😂
Nililala Lakini late kwa sababu pia nilikuwa na mtihani kesho yake.


Niliumia tu kwa kuwa mstarajio ya kuanzisha urafiki yalikuwa ni makubwa na mambo yakaenda tofauti hata kabla muda haujafika .. Mwenzangu akaona asiendelee kuteseka ,,akawahi mambo yake.
 
Sijui ndo sijamaliza utoto😂
Mnifundishe kufanya irrigation of heart
IMG_20220906_143732.jpg
 
Back
Top Bottom