Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mm zamani nilikuwa kma Anne kulia Lia tu alafu unachokiliansasa na kile kisogo najiulizaga nilikwama wapi mm lakn sahiz roho imekuwa ngumu tutafuteni Hela jamn 😂
Ameeeennn!! "Tutafute pesa"📝
Mie nanote tyu jamaneeee sitii nenoo ilaa nna ka swalii auntie sophy27 Mjomba National Anthem ukitafutaa tafutaaa weeee na pesa hazikuji tafutaaa weee wapi unafanyeje hapo sasa auntie madame na venye you know life sometimes fucks!!😉😉
Majibu kwako sweetmadame sophy27 National Anthem
Tupeni mbunuu tupeni mbunuu tutoboe wapendwa
 
Sauwasauwaa Anne!!😉
Ila ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.

Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.

Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.

Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
 
Ninachokitafuta nitakipata
Mtu upo single unahangaika na vipimo ili iweje
20220906_160229.jpg
 
Ila ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.

Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.

Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.

Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
Amiin
Anne muombee na wangu asiwe kivuruge🤣🤣🤣
 
Ila ninayempenda na nimeingia naye kwenye mahusiano kamili akifanya mambo ya ajabu haki nitasima mchana kweupee.

Tafadhali tu mtoto wa watu niliyempenda asiniumize.

Hili hadi Mungu nimemwomba sana na Nina amini anajibu.

Watu huwa wananiambia kuwa wanaume ni wasumbufu,Mimi nasema wa kwangu hata kuwa msumbufu.
Wanasema karibia wote wasumbufu,,wachache sana walipona.
Nasema katika hao wachache basi na wangu atakuwepo hapohapo.
Ujue tyu Mapenzi yana seasons mdogo wanguuu! Jiandae kwa yote na usiwe na lots of expectations kwa Mwenzio sometimes mambo hubadilikaa huyohuyoo anoonesha malovee kama yote hapo mwanzo anaeza kugeuka ukabaki unajiuliza bila majibuuu!! Hii inaapply kwa wotee yeyote aeza badilika
Ni kujiandaa kwa yoteee pia!! Na Sometimes Ni Kupambana kama mlivosema hapo juu na mamaa lipss Tinsley nawengine ikifika Crisis ndio balaaa ifike crisis afu no resolutions ndobasi tenaaaa til we meet again 👋
Note that pia!

Nipo Naendelea kusoma tena 🙇🙇🙇
 
Ameeeennn!! "Tutafute pesa"📝
Mie nanote tyu jamaneeee sitii nenoo ilaa nna ka swalii auntie sophy27 Mjomba National Anthem ukitafutaa tafutaaa weeee na pesa hazikuji tafutaaa weee wapi unafanyeje hapo sasa auntie madame na venye you know life sometimes fucks!!😉😉
Majibu kwako sweetmadame sophy27 National Anthem
Tupeni mbunuu tupeni mbunuu tutoboe wapendwa
Lazima zije Mungu anaweka njia Kwa watu wanaojishughulisha always na hakuna miracles sehemu ambako hukuweka juhudi
 
Back
Top Bottom