cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,106
- 181,182
Asinitese kabisa.Poker utadhani alitulipia ada
Saint Anne au ulipanda gari la njano na huniambii😂
Malizia na selfie yako ya mguu🤗
Wote mlioko singo muuwaweNyie motivation speakers wa mahusiano mmeshindaje![]()
Ukishapata mzazi unachagua,usafirishe au uache🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sema ni kama tumeshazoea ni bora kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli..na muda mwingine unajua kuwa husband/Boyfriend amechepuka na labda hata text uliona ila akisema sio kweli tunaridhika na maisha yanaendelea akisema ukweli mfano "ndio nimechepuka na sophy tena sijui kwanini sikumuona mapema kabla yako" unadhani itakuwaje?.hebu pima mauimivu ya uongo na maumivu ya ukweli yapi yanauma
Wewe Poker wewe,hiki Kiingereza wapelekee akina shangazi,I've got you Saint Anne to make me feel alive and alright 🥰😍 baby you know how much ineed you!
Unataka nianze kupokea zile msg za vitisho kama wanazomtumia ankoo donlucchese ?Kopa, Songesha, M-Pawa, Mgodi, NMB Mshiko Fasta.. Utapata hela 😊😊😊
Ngoja nisagule majina hapa kwa raha zangu🥰
Ngoja nikakutag shousNitag mie.
Halafu hapa kwenye "Sijaachilia" Niliparuka kumbe🤣Hahaha nimekumbuka mtu wa kwanza kuniacha hadi bp ilishuka aisee .. baadae nikamove on
Yaani anajua kabisa nina kinyongo naye 😂😂 .
Juzi tumefundishwa kusamehee na kuachilia ... Nimesamehee maana we still chat Ila sijaachilia .
Ngoja nikakutag shous
Uone watabe wa maths wanavyoparuana.
Utacheka .






khaaaahNdiyo yenyewe chief tena inafanana na heleni zake🤣🤣Hyo ring shingoni ndyo aliyokununulia Mjep
Marahaba best yanguShikamoo Best
Niko poa na wwMarahaba best yangu
Uko poa?
Niko poa bestNiko poa na ww
Goodnight
Diwani litapendeza 😊😊Ngoja nisagule majina hapa kwa raha zangu🥰
Selfika sasa bestNiko poa best
Ahsante sana
Na wewe uwe na usiku mwema
Ila mimi bado nipo nataka kuselfika live bila chenga
Good morningSelfika sasa best