Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Saint Anne Tinsley sophy27 sikuhizi kwa huu ulimwengu tunaoishi kuolewa / kuwa katika mahusiano hakujustify Kwamba mumeo/mtu wako ndio haruhusiwi au hatapenda wengine huko nje hilo halipo!!

Nimesema tu mie msinipinge wala kunipopoa banduguu!!😉 note that!
It is the real life situation!
Yeah upo sahihi dear
Sasa hizi kushare sana tu , japo mtu akienda kwa wengine asikudharau au kukuonyesha .. wanasema wenyewe mmoja inachosha wanatafuta ladha huko kwingine.
 
Saint Anne Tinsley sophy27 sikuhizi kwa huu ulimwengu tunaoishi kuolewa / kuwa katika mahusiano hakujustify Kwamba mumeo/mtu wako ndio haruhusiwi au hatapenda wengine huko nje hilo halipo!!

Nimesema tu mie msinipinge wala kunipopoa banduguu!! note that!
It is the real life situation!
Sasa sijui ndio tamaa zenyewe sijui ndio nini.. Anajisemea Carrasco putin .mtajua wenyeweee
Hakuna cha peke yako
Leo upo nae kesho yupo kwa Amina
Maisha ni mzunguko .
 
Kupangwa si poa
Na umenena vyema Kama hujazoea ndo kabisa utaachia ngazi .

Huwa naimagine eti nitoke na mume wa mtu najiwekea position ya mkewe nasema hapana .. nikija kwa watoto ndo kabisaa nakataa .
Mie najiondoa mwenyeweee sitakagi hekahekaaaa !! Yani unanipanga live yesuuuu!! Nakuacha mchana kweupeeee... hata kama una hela kiasi gani sipendagi dharau especially za rejareja kabisa mie!!

"Bora uzima maisha ni matokeo"
 
Hakuna cha peke yako
Leo upo nae kesho yupo kwa Amina
Maisha ni mzunguko .
Tuishi humohumo ausiooo!!
Wabheja sana!! Hii ni tofauti na kupangwa huku mtu anakudanganya ilhali unaona kabisa unadanganywaaa unabaki tu kujiuliza Kwahio huyu ananiona mie zuzuu amaa??
Aiseeehhh mahusiano 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!
 
Mie najiondoa mwenyeweee sitakagi hekahekaaaa !! Yani unanipanga live yesuuuu!! Nakuacha mchana kweupeeee... hata kama una hela kiasi gani sipendagi dharau especially za rejareja kabisa mie!!

"Bora uzima maisha ni matokeo"
Yeah bora kujitoa , wanaume hawa
Hata kama wanataka utamu ndo wawapange wanne na inauma ile mbaya .
Hela si kitu
 
Yani huu uzi haupoi hauboi asubui usiku alfajiri watu mpoo..mm nasoma tuu sharauti kwa wadogo zangu Saint Anne ,Antonnia Tinsley sophy27 cocastic na kaka zenu "et all"wanajijua
Karibu sana dadaa kipenzi.... badi mida ya nakeeedd tunakukaribisha sanaaaa utaenjoy na kufurahi sweetsiss😘😘😘!
Warmly welcome 🫂😘
 
Back
Top Bottom