Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Kudanganywa inauma mno asikwambie mtu 🤣Anakuona zuzu wa mwisho
Wewe unajichekelesha tu eti hello ,nimekumiss kwanza hajajibu hata .
Kumbe yupo main chick , huko wewe huyo wa hauna taarifa yoyote



