Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwisho wa siku anakua karuka mkojo kakanyaga maviiiii anahahaa sio kidogooooo.... full kusumbuanaa mmxxcieeewww ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜!! Peleka huko gonorhoea zenu alaaaahh!!๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ

Bado Napanda maharage mie ๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ
Hao wanaopanga wanawake sio
Dunia imeisha hii dah , magonjwa tele mengine hayatibiki hata .

Panda maharage dear
 
Nimepata Sisy akee. Ntafanya kama najikuna hivi na mimi hahahahahah
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeee ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ๐Ÿคธ
Wabheja sana sis!! โœŒ๏ธ ukijikuna Usiache kututag jamane tunaeza kuwa tunaswampa duniani kwingine hukoo
 
Acha wanaopenda waendeele
Tumeumbwa kutii sie .. utapenda kumbe unapenda peke yako
Au wee unajifanya kupenda Kweri Kweri umbe mwenzio alikutamani tyu jomonee๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ! cocastic shoss akee wherayuuuu?? Miss you dear
Hebu nimalizie kupanda walai๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
Kama mnataka mbususu mnataka ngapi kwa maana hamtulii na moja wenyewe mna kamsemo kenu kwamba mnabadilisha radha๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™€๏ธ
Acha niongee nikiwa na akili timamu ni set dish mahala pake.

Issue sasa hivi ya kutokuwa na uaminifu na hofu kwenye mahusiano mengi inatokana na misingi mibovu ya kiimani, kimaadili ukiachana na yote mengine. Kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kinajengeka kwenye imani na maadili (kwenye maadili tunapata tamaduni )

Niongee kwa ufupi imani ya kweli, inapokosekana si Me au Ke atae kuwa na hofu kwa Mungu, hofu kwa Mungu ikishapotea hakuna uaminifu, mtu hamuogopi Mungu na sio muaminifu kwa Mungu unategema awe na hofu na muaminifu kwa mwanadamu mwenzake?

Tukija kwenye tamaduni, misingi mingi ya kitamaduni imekufa enzi zetu tulipokuwa tunataka kuoa wazee wanafanya vetting kijijini, unaoa unacho kijua na unaolewa na unacho kijua..

Ila sasa hivi nakutana na manzi kidimbwi imenipa mifinyo kesho natangaza ndoa hujui kama jambazi au mchawi
 
๐Ÿ’ฏ๐Ÿ”จFact
 
Back
Top Bottom