Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha weeeee!! Mapee yamewapata wenyeweee weraaaaaaaaaq in cocastic voice![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]. Hongera sanaaa[emoji3577]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaa!!!! Khaaaah
 
Nasindikiza na quote mie Madam [emoji23]

"Love does not begin and end the way we seem to think it does. Love is a battle, love is a war; love is a growing up.” – James Baldwin
Tatizo lughaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikimbia umande mweeeeeh!!!
 
Ndioooooooooo!! Unajiua huku wenzio wanaendeleza kuikatikia wanakula maishaa maninaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Hivi nilisema sitii nenoo eee[emoji6][emoji6][emoji2960][emoji2960]!!
Hapaa nasoma komenti tyuuu[emoji144][emoji144][emoji144][emoji1787][emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechachuka vibayaaa mnooo. Uwiiioh
 
Miee??? Nijinyonge kisaa dyudyuuu ama?? Heheheheeee Sitaki kutia neno puliiiiizzzzzz!![emoji2960][emoji6]
Harafu wee Anne unaongelea ningejinyonga kwenye ishu gane rabda??[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]!( kwa tone ya ki nshomiles [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!)
Hhhhihiiiiiiiiiii
Nasoma koments tyuuuu sitii nenoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuweziiiiiiiii shougaaaaa angu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye battle...
Purukushani za watu aisee dada wa watu wakakugeuza kumalizia hasira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mpanaaaaa, khaaaaah
 
Mimi mwenyewe nilishawahi kutofautiana na rafiki ambaye alikuwa kama Ndugu,,kwa ugomvi wa kijinga tu.
Nilikosa amani.
Ila kama Mungu alidhamiria muwe karibu mtakuwa tu bila kujali Chochote..
Alininunia baadaye alijirudi mwenyewe.

Kitu kama ni Chako basi ni Chako tu,hata kama kwa sasa hakipo mikononi mwako ila inakuja siku kitarudi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha sana nyie uwiiiiiih.
 
Back
Top Bottom