Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Akimbie chapAmen! Huyo muombewaji mwenyewe sasa!🤔🤔 Wee Carrasco putin njoo useme amen huku !
June hapo tubebe kachanga 😂
Akimbie chapAmen! Huyo muombewaji mwenyewe sasa!🤔🤔 Wee Carrasco putin njoo useme amen huku !
Mbona me wanifaa kwa chakula hivyo hivyooUsiku mwema wapendwa!!
Nikapumzishe fuvu langu kwa leo
Saint Anne nimeanza kunenepa tena kitambi kimeanza kurudiii jamanii![]()
Halafu kulikuwa na Hulkshare....Hii tulikuwa tunaitumia enzi hizo kupata track mpya, au ngoma kali kali za bongo fleva
Mwee nimepitwa🤣Usiku mwema wapendwa!!😘😘😘😘✌️✌️✌️
Nikapumzishe fuvu langu kwa leo 😴😴😴😴😴😴😴😴
Nitaenda kulala kwenye mapaa?Hao unaona wapo wapi hapo 😁😁View attachment 2347802
Mwee😂😂😂😂Kaka yangu anatafuta mchumba uko tayari 🤷🏼♀️
Kikubwa kulalaNitaenda kulala kwenye mapaa?
Paa la nani naenda kulala?Kikubwa kulala
My wiiiii mkiwa pamoja mtatafuta wote 😍Mwee😂😂😂😂
Natafuta hela kwanza ati.
Hapana weeMy wiiiii mkiwa pamoja mtatafuta wote![]()



Kopa, Songesha, M-Pawa, Mgodi, NMB Mshiko Fasta.. Utapata hela 😊😊😊
Aisee..Nina naile mundende sijui ipo kwenye kichupa boksi lake juu lina picha ya mshedede umesimama na zile dawa fulani hivi za kama mizizi myeupe huku uhayani zimejaa sana !! ngoja nikienda dukani nitapiga picha nikuoneshe mjomba kazi ni kwakooo
Enjoy 😉😉✌️✌️✌️!