Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nina naile mundende sijui ipo kwenye kichupa boksi lake juu lina picha ya mshedede umesimama na zile dawa fulani hivi za kama mizizi myeupe huku uhayani zimejaa sana !! ngoja nikienda dukani nitapiga picha nikuoneshe mjomba kazi ni kwakooo
Enjoy 😉😉✌️✌️✌️!
😊😊😊 Mie na wewe shangazi yangu hamna kinacho haribika
 
Ninunulie na mie, halafu muuzaji alishatest ubora wake? hebu uliza basi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Muuzaji sijui kama katest mie mmiliki wa duka tyu naona muuzaji kajiongeza kuweka hizo dawa na zinaenda kinoma!! Kama hajatest ntakupa moja moja National Anthem mjomba wangu utestie huko kwa maduu zako mjomba 😉Its an offer
🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
😀😀😀Ukiwa na shangazi hamna kinacho haribika
Wazungu nao wana vumbi lao la kizungu, hizi spray una spray kwa pale kwenye kichwa cha familia, una spray kidogo tu, balaa lake sio poa, halafu ina kaharufu flani amazing..

Sasa kabla ya mpambano wa UEFA, unaingia bafuni kidogo unapulizia, mwenzako yupo uwanjani hana hili wala lile kumbe una nyuklia, ukitoka huko what will happen next, i dont need to tell, everyone knows already... Kama hii inaotwa KY Duration, ila situmii na sijawahi tumia, nipo natural...

71CTUWbAclL._AC_SX522_.jpg

71mCGa-LXHL._AC_SL1500_.jpg
 
😀😀😀 Hizi ukiendekeza sana unachoka mwili mapema, nacho onaga kipindi cha sex unatumia nguvu sana.. Sijui watu wanaweza piga hizi mambo non stop.. Mie mchovu nikipata kama leo naweza kaa hata wiki mbili hadi mwezi bila shida, maana nikifikiria ile nguvu nayotumia nachoka
 
Sema ni kama tumeshazoea ni bora kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli..na muda mwingine unajua kuwa husband/Boyfriend amechepuka na labda hata text uliona ila akisema sio kweli tunaridhika na maisha yanaendelea akisema ukweli mfano "ndio nimechepuka na sophy tena sijui kwanini sikumuona mapema kabla yako" unadhani itakuwaje?.hebu pima mauimivu ya uongo na maumivu ya ukweli yapi yanauma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatare sana siss!!
 
Back
Top Bottom