min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,632
- 165,003
Hahaha sema mimi sio mfuasi wapilauHapo Ilikuwa jana rafikiiii saii nshavimbiwa pilau la Easter ni napumulia juu juu tu hapa! Ntakubles Easter Monday
Hahaha sema mimi sio mfuasi wapilauHapo Ilikuwa jana rafikiiii saii nshavimbiwa pilau la Easter ni napumulia juu juu tu hapa! Ntakubles Easter Monday
Walevi na pilau kusi na kasiHahaha sema mimi sio mfuasi wapilau
Mno , halipandi kabisa labda ndizi za nyama nyingiWalevi na pilau kusi na kasi
Hapo kwenye nyama awwwwww!!!Mno , halipandi kabisa labda ndizi za nyama nyingi
Hahahaha , uje uchagani utaoga na nyama kila siku😅Hapo kwenye nyama awwwwww!!!
Ukija tunajifungia ndani , ni kula tu😊Kwa nyama tu nakuja fastaaaaa
Navopenda kula sasa mwenyeji utajuta kunialika!!Ukija tunajifungia ndani , ni kula tu😊
Mim mvivu kupika hatari nilisha kaa miezi miwil sijapika na kwenye frij kuna mazaga yote😅Navopenda kula sasa mwenyeji utajuta kunialika!!
Sasa mimi kwenye kupika sitakagi mzahaa ni kupika nakula tu stakagi jua vingine!Mim mvivu kupika hatari nilisha kaa miezi miwil sijapika na kwenye frij kuna mazaga yote😅
Irudiwe ccy
Hiloooo umepitwa😁Irudiwe ccy
Ccy atanitumia hata kwa watsap hanaga bayaHiloooo umepitwa😁
Bintislow bt sure