cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,019
Ila hapo sehemu jaman, nikikumbuka huwa sitaki kupasikia, japo napitaga mda wote na sina namna.15 ° c - njombe View attachment 2259487
Ila hapo sehemu jaman, nikikumbuka huwa sitaki kupasikia, japo napitaga mda wote na sina namna.15 ° c - njombe View attachment 2259487
Selfika na #halotel#
*104*5984805146871#
cocastic shos wahi fastaaa
Yani weewe kha!!🤔🤔🤔Too late 😅
Nenda shangazi bhana.Nilitaka niende km ndo Ivo nimeghairi
Nilichokua nacheka.Kipi
Kikushekeshasho[emoji1787][emoji848]
Na ni denti haswaaa!! Itabidi Mnifundishe kila kitu wapendwa [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji12][emoji12]!!
Bas sawa,Unedumaa vidole mdogo wetu.
Usiwe unang'ata kucha,,zitakua.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nitafutie msukuma m1 shangaziii.[emoji23][emoji23]hapo kwenye pamba usiongelee Yan mnajikutaga mabosi mnasahau shida zote
Msimu ukiisha sasa
Ina maana madogo akina Wige hawajachangamkia hili jimbo? Hii aibu sasa kwa Wasukuma hii wallahi [emoji85][emoji85][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2259453
Wee 1St class ndo pigo zangu mlongoo, mie Genius.Pagumu first class??mlongooo
Yani weewe kha!!🤔🤔🤔
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida sio msuli brother shida ni hyo first class[emoji23][emoji23]
" utasikia mko wengi sana hadi mwisho wa course naondoka na watu 50[emoji23][emoji23]"
Aaa wapi!Bagheshi
PM yako leo
Lazima itetemeke
[emoji1787][emoji1787]
Sema wee babuu yangu, ndyoooooooh!!!Hii ndiyo roho mbaya ya Kibongo niliyoizungumzia hapo. Kila mtu ni mbabe kwenye eneo lake....Eti darasa la wanafunzi 300 wanapata first class watano. Prof. mwenyewe si anapaswa kufukuzwa kazi? [emoji706][emoji706][emoji706]
Asante mjomba...Mjomba umemisika salama lakini?
Puliiiiiz hii ya Engineering babuuuh, nifanyie mpango serious.Acha utani bosi [emoji16][emoji16]
Tena ukuje kbisa na iyo rangi mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nitafutie msukuma m1 shangaziii.
Dogo km Dogo.