reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,426
- 29,306
Pagumu first class??mlongoooMmmmh hapo sasa pagumu. Duuh ila nwei tutajua hiyo mbeleni.
Pagumu first class??mlongoooMmmmh hapo sasa pagumu. Duuh ila nwei tutajua hiyo mbeleni.
Haha teki iri izi auntyHuu ubize huu uncle nimeona nipo na mshtuko hapa
Mkuu naweza kukucheck unipe muongozo?Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.
Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja mbona inawezekana kabisa?
Ila kama ni postgraduate hakikisha una angalau first class kwenye Bachelor yako na uwe na barua zako za recommendation ziandikwe vizuri.
Nilishawahi kukaa kwenye selection committees za baadhi ya hawa sponsors naweza kukupa mwongozo wa kiundani kama uko siriazi mjukuu.
Mkuu nipe codesKujua jimbo gani lipo wazi
Angalia miandiko
First class??Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.
Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja mbona inawezekana kabisa?
Ila kama ni postgraduate hakikisha una angalau first class kwenye Bachelor yako na uwe na barua zako za recommendation ziandikwe vizuri.
Nilishawahi kukaa kwenye selection committees za baadhi ya hawa sponsors naweza kukupa mwongozo wa kiundani kama uko siriazi mjukuu.

washapita na kichwa changuNikitupia tena nitakutag WigeNilikukosea nini
Sijawahi kukujua
Sijawahi kuona selfii yako
Huwa nakuta sifa zako lukuki
Inaumaa
Fanya mambo rafiki mzuri
Sijui hawa vijana wana waza nini🤣Hivi wamama shangazi ndio hatupewi zawadi kwani anko??????!!!
Same hereNikitupia tena nitakutag Wige
Hapa naongea na wazee wenzangu mie anko fanya kuniulizia huko big boy wa mchongo!Sijui hawa vijana wana waza nini🤣
Huna maana aunty...wa mchongo😂😂Hapa naongea na wazee wenzangu mie anko fanya kuniulizia huko big boy wa mchongo!
First class ndiyo. Maana elimu yao ni msuli hasa siyo mchezo. Na hizo first class ni ngumu kuzipata kwetu tu Wabongo na roho mbaya zetu. Huko Kenya, Nigeria na South Africa sidhani kama ni ngumu kama kwetu na wao ndiyo huishia kuzipata hizi scholarships. Ukiona Mbongo ni kwa kubahatisha sanaFirst class??washapita na kichwa changu

Nawaaminia hamjawahi niangusha kabisa!Big boys hufanya vitu kimya kimya aunty mama J
Big boys hawafanyagi Harmonize style bhana🤣🤣🤣Hapa naongea na wazee wenzangu mie anko fanya kuniulizia huko big boy wa mchongo!
Sijakuelewa wa mchongo !Hunabmaana aunty...wa mchongo😂😂
Siku hizi wameshakuruhusu kuwa unaaga tu kavukavu namna hii?usiku mwema wapendwa!!

Iiiiiiiiigggggweeeeeeeeeeeeeehhhh 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸!!! Nawakubare sana wa mchongo!Big boys hawafanyagi Harmonize style bhana🤣🤣🤣