Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Uzuri mie sio muongo kaa mkao wa kuipokeaHaki naisubirii 🙏
Uzuri mie sio muongo kaa mkao wa kuipokeaHaki naisubirii 🙏
🔥🔥🔥🔥 ni hatari
hiki kipengele .. wanaume tuna miyo ya uvumilivu na tupo na majaribu mengi sana, hapa kusaliti penzi jipya nje nje 😄🥲🥲🥲🥲🥲
Daddy shkamooNaam!![]()
Halafu kuna ma bachelor humu hawaoi. Why?
Ifike mahali tusherehekee harusi ya wanaselfika sasa! Bros, let's do this![]()
Unasema???hiki kipengele .. wanaume tuna miyo ya uvumilivu na tupo na majaribu mengi sana, hapa kusaliti penzi jipya nje nje🥲🥲🥲🥲🥲
Asante my dear nitakutafuta unifundishe mapoz 😃Shost mzureeee weuweee,
![]()
Nshomile ni nshomile tu unaambiwa. Huko ulikokimbilia ndiko kwenye pesa sasa kwa sababu ndiko dunia inakoelekea. Hata kwa ujuzi ulionao sasa hivi ukifika hapa na kujipiga msasa kidogo haki ya nani makampuni watakugombania na pay ni kuanzia $150K+/year plus performance bonuses.Mie napenda kusoma, ipo kwenye damu. Mwaka huu narudi kusoma, MIT sijawai papenda kama Standord. nilikuwa nafanya tu professional course ila sasa hivi nataka kufanya Msc..Uhandisi ni kama nimeupotezea kwakweli.. nilisoma Me Eng, nikaja badae nikaja Fanya Bsc IT, na ndio nina focus nayo zaidi na nili base sana na issue za Penetration testing pamoja na Forensic .. hata MSc nataka nifanye pure computer secuty ila nipo certified kama pro nataka tu ni add vyeti
Jimbo lako lina mbunge kwani aunty?Daddy shkamoo
😀😀 wafanye namna tupate mialiko jamani
Hi! 👋👋 jirani wa nguvu.. toka asubuhi hatujasalimianaUnasema???
Hahahaaa!! Fanyeni wepesi selfika tusherehekee siee jamanii humu totoz zimetulia hatareeee!!hiki kipengele .. wanaume tuna miyo ya uvumilivu na tupo na majaribu mengi sana, hapa kusaliti penzi jipya nje nje 😄🥲🥲🥲🥲🥲
😀😀 nakuaminia baba pastaUzuri mie sio muongo kaa mkao wa kuipokea
Mama J pambe sana weweHahahaaa!! Fanyeni wepesi selfika tusherehekee siee jamanii humu totoz zimetulia hatareeee!!
😀😀😀 madam weee
Ewaaa, no wonder ni jirani yangu😂😂Mie napenda kusoma, ipo kwenye damu. Mwaka huu narudi kusoma, MIT sijawai papenda kama Standord. nilikuwa nafanya tu professional course ila sasa hivi nataka kufanya Msc..Uhandisi ni kama nimeupotezea kwakweli.. nilisoma Me Eng, nikaja badae nikaja Fanya Bsc IT, na ndio nina focus nayo zaidi na nili base sana na issue za Penetration testing pamoja na Forensic .. hata MSc nataka nifanye pure computer secuty ila nipo certified kama pro nataka tu ni add vyeti
Marahaba binti yangu.Daddy shkamoo
wafanye namna tupate mialiko jamani
Hahahahaaaa!!!Mama J pambe sana wewe
🙏🙏🙏 Nashukuru Mungu nilipata mwanga, nikaona nijikite huko.Nshomile ni nshomile tu unaambiwa. Huko ulikokimbilia ndiko kwenye pesa sasa kwa sababu ndiko dunia inakoelekea. Hata kwa ujuzi ulionao sasa hivi ukifika hapa na kujipiga msasa kidogo haki ya nani makampuni watakugombania na pay ni kuanzia $150K+/year plus performance bonuses.
Stanford wanakula sahani moja tu na hao big boys wengine sema tu kila chuo kinajipambanua zaidi kwa program moja mashuhuri.
Stanford ndo kimetuletea akina Sergey Brin (?) waanzilishi wa Google...