Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sahihi
Yeah za mjini huko kwa wajanja
Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah
 
Mshauri akamuone Dermatologist
 
Hahahaaa... hapo kweli una kucha za kubip!
Yaan wee acha tyuuh, kwa mfano nikianza kufuga leo, ili nije kuwaringishia humu ni November au December.

Mama ananambiaga ungepewa kucha wee, tusingepumua mtaani,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu akasema wee kucha nakunyima.

Ila nikiwa mvumilivu zinakua bombaaa, tatizo kusubiri aaaah.
 
Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah
Inaharibu sana kucha ukipaka muda mrefu
Inabidi upate ile og la sivyo kucha zinakuwa mbaya hasa za miguuni .

Mimi pia sijaweka tena ,nipo napaka zangu rangi tu ..
 
Back
Top Bottom