Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

First class ndiyo. Maana elimu yao ni msuli hasa siyo mchezo. Na hizo first class ni ngumu kuzipata kwetu tu Wabongo na roho mbaya zetu. Huko Kenya, Nigeria na South Africa sidhani kama ni ngumu kama kwetu na wao ndiyo huishia kuzipata hizi scholarships. Ukiona Mbongo ni kwa kubahatisha sana
Shida sio msuli brother shida ni hyo first class
" utasikia mko wengi sana hadi mwisho wa course naondoka na watu 50"
 
Big boys mambo yao chini ya carpet.
Hawatumii nguvu kubwa kutengeneza mvuto kwani wana ulimi laini, hawakurupuki na wakirusha ndoano lazima ije na samaki mnono😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭!!
Big boys wa mchongo ni nukseeeeeeeeee 🤸🤸🤸🤸🤸🤸😛😛
 
Shida sio msuli brother shida ni hyo first class
" utasikia mko wengi sana hadi mwisho wa course naondoka na watu 50"
Hii ndiyo roho mbaya ya Kibongo niliyoizungumzia hapo. Kila mtu ni mbabe kwenye eneo lake....Eti darasa la wanafunzi 300 wanapata first class watano. Prof. mwenyewe si anapaswa kufukuzwa kazi?
 
Hata kwetu siku hizi zinapatikana chief nifanyie mchongo, mimi ninayo

Back
Top Bottom