cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,056
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah nimecheka hatari!
Au anaoa kabisa.
Hela zikiisha na mke mdogo anaondoka anabakia na wake wakubwa waliohangaika kulima hiyo pamba aliyoolea. Wasukuma bana dah!