Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mdogo wangu huu mwaka utakua TAJIRI WA MAWE lazma uvute lc300,,gairo nakuja ntakuchek namna tuhack michongo
😄😄😄😄 huu unyama sanaaa naenda kuweka camp huko
images.jpeg
 
Pole tuuu shangazi .. atawapa.mrejesho na kitu chake kama atachagua.. acha kabisa kucheza na team nshomile 😄😄😄 tupo serious tuna maanisha
Nshomile ni nukseeeeeeeeee
Kasingeee munoooo mjomba kwa kumbariki mrembo wetu Alicia!!!!

Wapi team sukumas
Shimba ya Buyenze Wigelekelo
Nshomiles Vs Sukumas

😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom