Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Na ni denti haswaaa!! Itabidi Mnifundishe kila kitu wapendwa [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji12][emoji12]!!Strawbella unaitwa huku na denti
Na ni denti haswaaa!! Itabidi Mnifundishe kila kitu wapendwa [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji12][emoji12]!!Strawbella unaitwa huku na denti
Vumilia zikue shos usizing'ate ng'ate sasa!!Yaan wee acha tyuuh, kwa mfano nikianza kufuga leo, ili nije kuwaringishia humu ni November au December.
Mama ananambiaga ungepewa kucha wee, tusingepumua mtaani,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu akasema wee kucha nakunyima.
Ila nikiwa mvumilivu zinakua bombaaa, tatizo kusubiri aaaah.
Mwalimu mkuu ni StrawbellaNa ni denti haswaaa!! Itabidi Mnifundishe kila kitu wapendwa [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji12][emoji12]!!
Eeeeeeh hata mie kuna mtu aliwahi nambia henna hata kwa ngozi inaharibu, tangu nichore tattoo na ifutike, sitaki tenaaaah.Inaharibu sana kucha ukipaka muda mrefu
Inabidi upate ile og la sivyo kucha zinakuwa mbaya hasa za miguuni .
Mimi pia sijaweka tena ,nipo napaka zangu rangi tu ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje yaan, nikijiziuka bas kidole mdomoni nazing'ata kuchaa,Vumilia zikue shos usizing'ate ng'ate sasa!!
Hahahaaa!! Wengine wenye kucha fupi huwa wanapenda kuzing'ata shos![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuaje yaan, nikijiziuka bas kidole mdomoni nazing'ata kuchaa,
Si unajua tuliozoea kunyonya vidole utotoni, uwiiiiiiih.
Na shangazi Nasubiria mnielekeze mamboz mie!😉Mwalimu mkuu ni Strawbella
Kweli kabisaEeeeeeh hata mie kuna mtu aliwahi nambia henna hata kwa ngozi inaharibu, tangu nichore tattoo na ifutike, sitaki tenaaaah.
Aunt coca ndo umefutaUsipake kucha nzima, haiwi na show nzuri, paka nusu kuchaa bhana.
😄😄 sijawai kuwa na kucha ndefu .. zinaliwa hatari.. kuna kipindi hadi najitoa damu kwa namna nilivyo zoea kula kuka kuchaHahahaaa!! Wengine wenye kucha fupi huwa wanapenda kuzing'ata shos!
Mimi niko poa sis namshukuru munguNimeamka vyema nashukuru Mungu
Vipi wewe ?
Natumai umemaliza chai.. umenishindisha hapa Alicia Keys.. fanya mambo basi nilaleMimi niko poa sis namshukuru mungu
Bado tufupi[emoji4]Nywele zinakua balaa hongera ndugu
Itakuwa ulikuwaga hushibi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1] sijawai kuwa na kucha ndefu .. zinaliwa hatari.. kuna kipindi hadi najitoa damu kwa namna nilivyo zoea kula kuka kucha
Wengi hawajui kuweka way.[mention]Antonnia [/mention] View attachment 2259323
View attachment 2259324
Hizi ni nzuri sana ukipata anaejua kukata utapendeza sana weaving zake zipo uliza wasusi wanajua
Vyema sanaMimi niko poa sis namshukuru mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeehHahahaaa!! Wengine wenye kucha fupi huwa wanapenda kuzing'ata shos!