min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,634
- 165,009
Hahaha mno rasii yule mwamba kaniuzi sana😂nipo najitafuta nipate 😄 motokaa
Hahaha mno rasii yule mwamba kaniuzi sana😂nipo najitafuta nipate 😄 motokaa
vitu vyako hivi bwasheeSafi sana bwashee , kazi na dawa kijeruaman sana
Mimi nimechoka hata pawa sina 😑Hahaha mno rasii yule mwamba kaniuzi sana😂
Mno, mimi vinakaa karibu nakitanda ,nikijipindua tu naupatia mwili lolote jambo bwasheevitu vyako hivi bwashee
Hautumii ugimbi wewe🍻Mimi nimechoka hata pawa sina 😑
Situmii kabisaHautumii ugimbi wewe🍻
Kuna mahali unafeli sasa😂Situmii kabisa
Kwa hilo acha nipate divishen sifuri tuKuna mahali unafeli sasa😂
Hahahaha pamoja sana , wewe kunywa maji tu ,tukifa usisahau kufunga madirisha ya duniaKwa hilo acha nipate divishen sifuri tu
😅😅😅😅sawa Ras hilo limeishaHahahaha pamoja sana , wewe kunywa maji tu ,tukifa usisahau kufunga madirisha ya dunia
Kibingwa👊😅😅😅😅sawa Ras hilo limeisha
🚶♀️Gudubai nikalale sasaKibingwa👊
Hakuna huyu sio wewe bhanaAm here ngoja ni selfie kidogo hapa
View attachment 3571929
Kughaili kunitumia muhamala au kughaili mambo ya blessing 🫵🫵😋😋😋😋😋Hakuna huyu sio wewe bhana
Mi nitaghaili
VyoteKughaili kunitumia muhamala au kughaili mambo ya blessing 🫵🫵😋😋😋😋😋
Mmmh jamn kweli... 😋😋😋😋Vyote
Ndio tuma hata mkonoMmmh jamn kweli... 😋😋😋😋
Nishaanza pagawa hapa kuskia kuna kublessiwa ....
Natuma natuma si hata mkono tuu
Aniloge 😀😀😀😀😀