Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
[emoji23][emoji23]hapo kwenye pamba usiongelee Yan mnajikutaga mabosi mnasahau shida zoteWasukuma siyo wabahili. Tena umfume ameuza ng'ombe zake au pamba mbona utafaudu. Sema tu labda pesa zao ni za msimu. Zikiisha ndo zimeisha mpaka tena msimu ujao [emoji16][emoji16]
Msimu ukiisha sasa