Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Hapana MkuuHuyo ni mnyonge wako sio?![]()
Namkubali
Toka enzi za C.c
Halafu haringi wala nini
Halafu ni li zuriii
Hapana MkuuHuyo ni mnyonge wako sio?![]()
Ulikua wapi wee msukuma nimetupia twice ujue!!😉Ewe
Mnyamahanga
Unaniacha achaje
Chap kwa haraka bhas
Chap bhasUlikua wapi wee msukuma nimetupia twice ujue!!![]()

Leo naona kooni umeniganda😅Kwani naongea na simu anko??????!!!!!
Chief hii ni serious usininyime fursaCollege of Engineering University of Tokyo nitawabebea mbeleko gani mkuu
Kaa hapa usitoke madam napika kama mweweMjep mr Vocha Nimeona nyayo zako ebu selfika basi mkuu!?
Acha utani bosiChief hii ni serious usininyime fursa
Naomba nije kwa majaaliwa


Nilikuwa kimasihara hukoMjep mr Vocha Nimeona nyayo zako ebu selfika basi mkuu!?


Sitoki hapa 🙇Kaa hapa usitoke madam napika kama mwewe
Hawakujazi wala nini.Nijazeni tu na wige wako![]()






🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja mr Vocha atupie kwanzaNilikuwa kimasihara huko
Nikaona mahondaw is typing..
Nikaja fasta
Kumbe hujaweka![]()
Mimi sikufahamu mama J.Nijazeni tu na wige wako🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Ewaa big boy hapo juu ameunga mkono hoja kuwa wewe ni lizuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja mr Vocha atupie kwanza
Unifahamu ili ugundue nini 😏😏!!Mimi aikufahamu mama J.
Nimeona miguu tu jmn