Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

unakulaje hasara wakati tumeshakubaliana vizuri hapa!
Ngoja nikupe kisa, Huwa nasherekea h birthday kila mwezi wa kumi sasa nili harika wadau TikTok, Kuna dada tuliKua washikaji sana, akadai ooh mi ningekuja, sema Nini mshahara umechelewa, Fanya kusimamia show nije nikasema sawa, sababu nimefanya nae biashara sana kumtumia vitu huko mkoani, bhana siku inafika anadai ana kuja baadae naona mtu mwingine mjamaa, namuuliza vipi anadai ye kabanana ila huyo ni kaka yake eti afikie pale nilipo mpangia yeye, dah nilichukia nikampiga block mikasepa, nimekuja kutafuta badae lawama ka Nini, changamoto sana
 
Siku zote kwenye msafara wa mamba na kenge wapo ila ningekuwa ni mwanamke watu kama hao nawapenda sana kwasababu wananirahisishia kujua nyeusi na nyeupe ni ipi kuliko unakutana na mtu anajifanya ni nice kwako baada ya muda kashakula sana anakuwacha kwenye mataa
Unaakili sana, mimi huwa nawaambia watu kuwa nina kawaida ya kumkubalia mwanaume bila kumzungusha, unajua lengo ninini? Ukimkubalia anaweka karata zote (nyingi) mezani… usipomkubaliana mapema he will be playing along, na sipendi mtu atumie muda wangu vibaya.

Unaakili sababu we ni mwanaume unawajua wanaume vizuri.

Mwanamke/msichana atakayesurvive vizuri kwenye dunia ya kiume ni yule anayefikiri kama mwanaume, anayeact kama mwanaume… However wanaume ni wajanja sana huwezi kuwa win siku zote kuna mahali tu wataleta silaha za kivita wakushinde, mbinu mbadala ni kuwapunguza… usishughulike sana na wanaume.
 
Ngoja nikupe kisa, Huwa nasherekea h birthday kila mwezi wa kumi sasa nili harika wadau TikTok, Kuna dada tuliKua washikaji sana, akadai ooh mi ningekuja, sema Nini mshahara umechelewa, Fanya kusimamia show nije nikasema sawa, sababu nimefanya nae biashara sana kumtumia vitu huko mkoani, bhana siku inafika anadai ana kuja baadae naona mtu mwingine mjamaa, namuuliza vipi anadai ye kabanana ila huyo ni kaka yake eti afikie pale nilipo mpangia yeye, dah nilichukia nikampiga block mikasepa, nimekuja kutafuta badae lawama ka Nini, changamoto sana
Jamani sasa kwanini uchukie kwani ulikuwa na mpango nae kabambe?😅
 
Nimekumbuka biblia ilitabiri kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka. Na pia ilitabiri kuwa kwa sababu ya kuongezeka maasi upendo wa wengi utapoa.

Siamini kama wanaume wa zamani walikua hawaombwi hela na wanawake, walikua wanaombwa sana, ila walikua hawana maarifa mengi ndo moja ya kilichofanya hadi sisi tukazaliwa.

Miaka ya zamani mwanaume anamfukuzia mdada miaka hata 2 huku anahonga na haambulii chochote ndani ya kipindi hicho, mwishowe huyo mdada anakuja kuwa mke wake, miaka hii wanaume wangapi wanafanya hivyo, mwanaume sahivi ukimzungusha wiki ashapotea, akikufata leo kesho ukimuomba elf 5 anafuta namba, wengine tunaenda mbali zaid tunakuja jf kukufungulia uzi..😁😁

Wanaume wa sahivi wanafanya ivo kwa sababu gani "maarifa" na "kuongezeka maasi" binti kiziwi
Haaaa tumefika siku za mwisho? mi sitaki bwana nahitaji miaka mingine mingi ya kuishi 😀
 
Umeongea mpaka nimewaza week kadhaa hapa nilikuwa zangu mtandao hivi, na-accept watu, mara mtu kanipigia nikakata, baadae akanielewesha kwa msg kuwa ni mtz mwenzangu wala hana shida nimtext back, baadae alivyojenga trust niakona sio mtu mbaya na pia ni mtu mzima kdg,basi nikamsikiliza sikuona shida kwakuwa hajanitamkia maneno mabaya, nikaongea naye kwa call aisee, kumbe jamaa yuko marekani anataka kurudi Tz soon ila anatafuta mwanamke wa kuwa naye week nzima na anamlipa kwa siku pesa nzuri tu, ila gharama zote za outings sijui nini ni juu yake! nilijiuliza maswali sana, huyu mtu hanijui simjui, akifika tu day uno tunavuana nguo, halafu ananilipa🤔 kuna kuchinjwa aisee nilishangaa ila sikumuonesha negativity, nikawa namuuliza tu maswali kawaida, katika kuongea akasema unajua huk tz ni rahisi sana kupata mwanamke, ukiwa na pesa tu hukosi mwanamke sijui vitu gani, mimi nikamuuliza kwahiyo imekuwaje mimi hata hunifahamu unaniunganisha kwenye hii biashara? akasema profile yangu haina mambo megi sijui anataka utulivu na bla bla bla kibao, huku kwetu pesa tu unampata mwanamke unayemtaka!. kwakweli simu ilivyokata niliwaza nikaogopa, sijaongea naye tena mimi pia nina tabia ya kujiuliza hayo maswali kama wewe! yaani like kanionaje huyu mtu? why anichague mimi, yani huwa ninachukizwa na hizi mindset za wanaume sio siri! siku nikipata nafasi ya kudeal na viumbe vya kiume sitocheka na kima!😀
Rudi kwenu nyamagana, bado huujui mji wewe😅😅😅
 
Unaakili sana, mimi huwa nawaambia watu kuwa nina kawaida ya kumkubalia mwanaume bila kumzungusha, unajua lengo ninini? Ukimkubalia anaweka karata zote (nyingi) mezani… usipomkubaliana mapema he will be playing along, na sipendi mtu atumie muda wangu vibaya.

Unaakili sababu we ni mwanaume unawajua wanaume vizuri.

Mwanamke/msichana atakayesurvive vizuri kwenye dunia ya kiume ni yule anayefikiri kama mwanaume, anayeact kama mwanaume… However wanaume ni wajanja sana huwezi kuwa win siku zote kuna mahali tu wataleta silaha za kivita wakushinde, mbinu mbadala ni kuwapunguza… usishughulike sana na wanaume.
Wanaume sio kwamba Wana mbinu sana ni vile tu mkipenda Kuna redflag mnapuuzia ndio mnapigwa na vitu vizito.Ukiwa kwenye mahusiano ya muda na mtoto wa mtu lazima Kuna vitu uangalie ili kupime committed ya mwenza wako.

1. Lazima utambulike kwa watu wake wa karibu hasa ndugu zake

2.Yeye mwenyewe ataomba ukae nae muishi pamoja

3. Mambo yake binafsi ataanza kukushirikisha

4.atagusia malengo, maendeleo ya mahusiano ni yapi au yaweje

NB: Ukiona hakuna vitu ka hivi kwenye mahusiano yenu ujue hakuna future hapo sijui kwanini wanawake hawanote vitu kama hivi huwa wanaangalia kuhudumiwa basi umemmaliza
 
Wanaume sio kwamba Wana mbinu sana ni vile tu mkienda Kuna redflag mnapuuzia ndio mnapigwa na vitu vizito.Ukiwa kwenye mahusiano ya muda na mtoto wa mtu lazima Kuna vitu uangalie ili kupime committed ya mwenza wako.

1. Lazima utambulike kwa watu wake wa karibu hasa ndugu zake

2.Yeye mwenyewe ataomba ukae nae muishi pamoja

3. Mambo yake binafsi ataanza kukushirikisha

4.atagusia malengo, maendeleo ya mahusiano ni yapi au yaweje

NB: Ukiona hakuna vitu ka hivi kwenye mahusiano yenu ujue hakuna future hapo sijui kwanini wanawake hawanote hivi kama hivi huwa wanaangalia kuhudumiwa basi umemmaliza
Eti tunasema Red ni rangi yetu pendwa 😂😭
 

Hii ni biashara ya kijinga kwa sababu kudinyana wote mnapata utamu na wanaume wakigoma kulipia mbunye wanawake watapata wapi mahitaji yao ya kudinywa?
Ndo hivyo mkuu, mahitaji ya kimapenzi yapo pande zote ila ndo yashageuzwa kama chanzo cha pesa. Wanawake wamegeuza ni biashara kwamba upande wao unathamani ya kutoa na upande mwingine ndo wakulipia huduma.Mi nadhani Kugoma nako kuna shida mkuu hadi tubadirishe mtizamo wa kijamii kwanza cause jamii zetu hizi mila na desturi zimejengwa kwamba mwanaume ndo huwa wakwanza kunzisha mahusiano kwenye kuonyesha hisia au hata kutongoza. Sasa hili limewafanya wanawake wengi waonekane kama hawana haja kubwa ya kuwafata wanaume ilihali hata wao wanahitaji na hili ndo linawapa thamani ndo maana mijamaa inahonga mihela mingi kwamba anampa thamani kubwa mwanamke na jamii ndo inamuona mwanaume kweli na shababi,atasifiwa kila kona.Kama jamii ingeruhusu wanawake pia kutongoza na kueleza hisia zao bila kuhukumiwa, ingekuwa wazi kuwa mapenzi na mahusiano ni hitaji la wote, si la wanaume pekee lingetupunguzia sana kupingwa mizinga maana tusingewekwa upande wa wanunuaji huduma.
 
Sijatetea, nimevalidate. Sababu naelewa nini kimetokea hadi wanawake wa kisasa wakawa hivyo.

Kuna siku nilikwambia hivi…. Mimi na wewe hatutengenezi rules, zinatengenezwa!

Mimi naelewa sana, kwanini kinachoendelea kinaendelea, kwanini jamii ipo ambavyo ilivyo, nini kimetufikisha hapa, and stuffs.

Kama mwanamke nina wajibu 2.

1.Kuwaeleza upande wa pili wa shilling, ulimwengu wetu wa kike.

2. kutetea gender yangu kwa kitu nachokiona kiko valid.

Leo Kiranga amenifundisha kitu, kuwa wakisemwa wanawake usilete wanaume, it is whataboutism inayocreate unnecessary gender wars. Jana kwenye ule uzi umenielewesha kuwa nitabishana na kila mtu lakini kimsingi suala la uzazi ni la mwanamke, i get you all, na wengine na wengine.

As a women hatufaidiki na kukaa kimya, hatufaidi na kujitetea vile vile.

Lengo la wanaume ni kuwin katika kila kitu which is okay, we don’t ask much we ask mbadili tabia ili na sisi tukibadili tabia tukutane na nyie mkiwa wema, mnataka tubadili tabia halafu tuwe na akina nani wakati tunaendelea kuharibu kila mtu kwa mentality za kipuuzi?

Kumbe lengo lenu nini, ni kutusema tuuuuu na sio kubadili chochote.

Mmetoa mapendekezo kibao, wanawake tubadilike tuwe independent, tusitake hela za wanaume, tusitoze ushuru kwenye mahusiano na mengine mengi. Walahi sijaona wala sijawahi ona mtu yeyote akishauri wanaume chochote positive, The fact that you people embrace your toxicity instead of trying to get better is seriously alarming!
Topic inahusu tabia mpya ya wanawake kuwa ombaomba na sisi tume-flow nayo. Ikija topic inahusu makondakando ya wanaume tutawachana live pia. Kuna member anajiita hanzs kama sikosei. Threads zake mara nyingi huwa zina element za upinde. Ukipita comments utaona wanaume jinsi wanavyomshambulia.

Kwahiyo tuta-flow tu vile topic imekuja. Nafikiri wanawake sio wazuri kwenye kuandika na kuwasilisha mawazo yao ndio maana mashambulizi mengi unaona yanatoka kwa wanaume, kwa sababu ndio wawashirishaji wakuu wa topics za kuchangamsha kidogo akili. Waandishi wenu wa threads ndio wakina binti wa zamani. Mambo ya kuzogoa. Sio topic za kupanua mjadala
 
Kuna siku niliwatolea mfano hapa, nikawaambia waulizeni wanaotembea na mashugamami/mishangazi kama hawalipwi…!

Tumefikaje katika mabadilishano ya sehemu za siri na pesa ndio unapaswa kuwa mjadala wa msingi.
Mkuu nadhani tumefika hapa pale ngono ilipoanza kuonekana kama bidhaa badala ya hitaji la pande zote ndo maana hapo umesema kuna mishangazi au mishugamami inalipa masela kwa kazi ya kuwarishisha kingono tu. Yupo jamaa naona anaduka na anatembelea mpira mkali tu mtaani ila anamshangazi kutoka serikalini anafanya mambo yatokee.
 
Back
Top Bottom