Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,326
- 40,593
You are screwed.Ela isipopatikana je?
You are screwed.Ela isipopatikana je?
Kwamba wanawake wanaingia kwenye mahusiano ili ku-survive, sio emotional connection?Wanawake wakiacha kuomba na kujitegemea ni hasara kubwa sana kwa wanaume wengi.
Ni ngumu sana kumpata binti anaejiweza kiuchumi na kujitegemea kirahisi
Duhh haya mahusiano ni ya matajiri, itabidi mmatch wenye vipato sawa.. 26 ultra?? hapana..Ndio. Birthday yako umepewa zawadi i phone 17,na wewe ikifika birthday yake mpe zawadi galaxy s26 utra

Sikuhizi wanaume wengi wamejanjaruka..unizungushe ivo ili baadae ukikubali nijisome bila kujijua kwenye confession page ya raphee kule insta ukisema ooh mume anahudumia, hana mapungufu makubwa ya kitabia, ila ana sura mbaya naona aibu hata kuongozana nae, kwenye sex ni kama ananibaka SeranWa zamani tulienjoy that in our prime, basi tu haukuwa wakati sahihi kuingia ndoani kabla hatujakutana na haya mashaitan ya sikuhizi! unamzungusha mtu na shombo la kutosha ila yumo tu! hawa mbwa sikuhizi siku 5 nyingi anahamia kwingine! ana kazi ya kuhama hama kama wa-barabaig!😏
Alafu mtu anasema kuomba omba hakushushi thamani lolDah nimecheka sana alafu wasipoolewa wanawalalakia wanaume kumbe wamepoteza thamani zao kama wanawake
Mimi siyo mwanamke ni mwanamume anayesakaga K (ref Labella ) ila Naamini hakuna K ya bure. Kila K inaendana na masharti. Au awe anategemea ndoa (social security) au favour fulani toka kwako au pesa, au kuongeza kipato, cheo etc. Hakuna K ati ya kugawa kama peremende kwa vile kile Kitendo kina risk factor zake kwa binti. Ndiyo maana kuna kifungo cha miaka 30 iwapo Unaona ni haki yako kupata K ya bure ambapo lazima uwalilie akina Seran baadaye kWa Kitendo cha dakika mbili.Jibandikeni bei kupunguza malalamiko.
Ukitaka mahusiano yasiyo na return oa mbona simple..!!Suala la mtu kuomba kwa haraka na wewe ukakubali kwa hela hiyo ni biashara yenu wenyewe ya umalaya sisi tunachopinga ni kugeuza mahusiano kama source ya ajira au yakufanya umalaya
Subiri kwanza mdada.....kwahiyo huwa mnakuwa na haraka ya kutangaza shida zenu ukijua kabisa huyu ataomba nimpe, kabla ya yote ngoja nitangaze shida😳 tatizo mnatangaza vishida vidogo vidogo sana wewe kama unataka huduma kaa na jamaa msome, mpe penzi kwa uchoyo uchoyo, muoneshe heshima, usimuoneshe tamaa, usimuoneshe papara na njaa zako kilo na nusu! Hapana....mtu akusome, akujue unajichukuliaje, unamchukuliaje, ongelea mambo makubwa sio kusuka efu20, sjui ka gas kadogo ka efu20, yaan hata akitaka kukuramba atakupeleka guest House ya efu 20 15, tulia, mpe muda ajenge Trust juu yako hata siku ukiomba milioni hatajifikiria mara mbiliWewe unakaa muda gani ndio unaomba kei? 😹
Kwahiyo unataka kusema wewe shida zako za nyege zinasubiri ndoa? Bongo hii hii?
Huyo kiranga anajua hapa USA 😹😹
Nimpe nini kwa uchoyo? 😹😹😹Subiri kwanza mdada.....kwahiyo huwa mnakuwa na haraka ya kutangaza shida zenu ukijua kabisa huyu ataomba nimpe, kabla ya yote ngoja nitangaze shida😳 tatizo mnatangaza vishida vidogo vidogo sana wewe kama unataka huduma kaa na jamaa msome, mpe penzi kwa uchoyo uchoyo, muoneshe heshima, usimuoneshe tamaa, usimuoneshe papara na njaa zako kilo na nusu! Hapana....mtu akusome, akujue unajichukuliaje, unamchukuliaje, ongelea mambo makubwa sio kusuka efu20, sjui ka gas kadogo ka efu20, yaan hata akitaka kukuramba atakupeleka guest House ya efu 20 15, tulia, mpe muda ajenge Trust juu yako hata siku ukiomba milioni hatajifikiria mara mbili
Ile ni starehe ni hisia, kama unafanya mapenzi kama adhabu ama wajibu bibie kaa ujitafakari uanze moja.....mapenzi kwa mtu unayempenda huwezi ona kama ni jambo gumu nisiseme sana labda wewe unatoa huduma kwa ajili ya kupata chochote kitu. Kwa leo naishia hapaNimpe nini kwa uchoyo? 😹😹😹
Wee mpuuzi kweli..!! Kwahiyo anitumie huku naendelea kumjengea trust ya nini??
Kupanua mnachukulia easy wenyewe 😹
Hivi nyie kutoa kei mnaona simple eti?
Kupelekewa moto mnaona jambo rahisi?
Em jaribu wewe uone 😹😹👌
Wee kiranga bhana mi business tayari ninayo nijazie hizo dollar chache niendelee kujikwamua. Wewe si unajua life la bongo vumbi tupu.Hahaa.
Nilijua tu.
Sasa tatizo langu mimi sitoi dollar chache kumaliza njaa ya muda mfupi.
Hizo hazitakusaidia sana.
Njoo na business plan ya kukuendeleza uweze kujisimamia usiombe tena, na wewe uweze kusaidia wengine, hapo tutaongea vizuri.
Kama ni starehe basi ndo ujue “Starehe gharama” 😹Ile ni starehe ni hisia, kama unafanya mapenzi kama adhabu ama wajibu bibie kaa ujitafakari uanze moja.....mapenzi kwa mtu unayempenda huwezi ona kama ni jambo gumu nisiseme sana labda wewe unatoa huduma kwa ajili ya kupata chochote kitu. Kwa leo naishia hapa
G kunywa soda nakuja kulipa 😹😹Nadhani mimi ndiyo sielewi. Kwani mwanamume anamtafuta mwanamke ili wafanye biashara? Au wajenge barabara? Ninavyojua Mwanaume unamtafuta Mwanamke ili akupe K. Mwanaume unategemea nini kutoka kwa mwanamke. Nieleze wewe. Na yeye anatafuta mwanaume ili akamtimizie shida zake si dushe ujue
Safi sana! Imeenda shule hiiUkitaka mahusiano yasiyo na return oa mbona simple..!!
Kitendo cha kuomba kei kabla ya ndoa means unataka kuonja ili usepe.
Sasa gharama za uchakavu wa mashine uliyotumia ulitaka alipe nani? 😹
Mate 😹😹😹Na kama siuzi mwisho wa siku napata nini kwenye hayo mahusiano ili nithaminishe uwepo wangu hapo, assume na mimi nakutaka pia… (umenitongoza na mimi nataka kukubalia)
Wanawake sio wajinga, mbona watu kibao tu wanaendesha mahusiano bure…. ninyi mnaotozwa ushuru lazima mjihoji nia zenu!!!
Yule mwana kasepa nilikuwa naongea naye juzijuzi eti naye analalamika Bongo pelasopelaso yuko viwanja anapiga deal.Wee kiranga bhana mi business tayari ninayo nijazie hizo dollar chache niendelee kujikwamua. Wewe si unajua life la bongo vumbi tupu.
We mwenyewe si ulikimbia ukamuacha best wako mtoto wa mzee wa Lupaso huku..! 😹
Nakutumia account pm acha zako salio lisome mzee wa Logic 😹
Umenikumbusha ephen_ na stories zake na mwanajeshi aliyekopa kununua gari, akamuomba wagawane hela aliyotumiwa na babakeKwanza mkishaingia kwenye ndoa ni biashara nyingine kabisa tofauti na huu ujinga wa u-bg na u-gf uchwara! yani tudate miezi 6 unataka nikuletee nini, nikasombe vya baba'angu nikupe? mkiwa ndoani huwezi kuishi na mke kama sanamu lazima kuna mahala atawajibika tu, ukimshirikisha jambo atakuja na wazo hili mnashauriana maisha yanaenda, hivi hawa walalamikaji wanakuaga na ndoa kweli au anaokota tuanafunzi tushenzi huko anakuja kutujazia server tu hum?
Angalia ndoa nyingi ni tofauti na maneno yasemwayo, ukinunua mashamba mke akanasimamia wakulima wewe unaendelea na mishe zako, ukinunua mashine mwanamke atasagisha mahindi auze unga na kutafuta masoko, ukileta chakula atarekebisha ndani vizuri, ukimpa mimba ataza mtalea watoto huku yeye akichukua jukumu la malezi kwa nafasi kubwa zaidi, sasa hapo wanatakaje au ukute mnataka mpewe mimba mkuu ila hamsemi? unaweza kuta unabishana na ijana akili zinawaza pegs tu!
Ngoja nilale! Nakupenda bure tu kwa hiyo comment yako murua na ya kibabe…kama hataki kuombwa…Mate 😹😹😹
Hao wanataka kupiga Free P na kitu ambacho hakipo hata dunia iumbwe tena..!!
Huyo niliwahi kumwambia km hataki kuombwa pesa aolewe yeye ili adinywe free akanichukia..!! 😹