Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Wanawake wakiacha kuomba na kujitegemea ni hasara kubwa sana kwa wanaume wengi.

Ni ngumu sana kumpata binti anaejiweza kiuchumi na kujitegemea kirahisi
 
Kuna baadhi ya wadada wanaomba pesa ambazo obviously kwa akili ya kiume unaona huu mzinga hauna ulazima (ila wanakua hawana nia ya kukufukuza) na bado wanaonesha ishara za kutaka kuendelea kuwa kwenye mahusiano Seran
mnyime pesa basi tuone kama ataendelea kukaa hapo kusubiri!
 
Umeongea mpaka nimewaza week kadhaa hapa nilikuwa zangu mtandao hivi, na-accept watu, mara mtu kanipigia nikakata, baadae akanielewesha kwa msg kuwa ni mtz mwenzangu wala hana shida nimtext back, baadae alivyojenga trust niakona sio mtu mbaya na pia ni mtu mzima kdg,basi nikamsikiliza sikuona shida kwakuwa hajanitamkia maneno mabaya, nikaongea naye kwa call aisee, kumbe jamaa yuko marekani anataka kurudi Tz soon ila anatafuta mwanamke wa kuwa naye week nzima na anamlipa kwa siku pesa nzuri tu, ila gharama zote za outings sijui nini ni juu yake! nilijiuliza maswali sana, huyu mtu hanijui simjui, akifika tu day uno tunavuana nguo, halafu ananilipa🤔 kuna kuchinjwa aisee nilishangaa ila sikumuonesha negativity, nikawa namuuliza tu maswali kawaida, katika kuongea akasema unajua huk tz ni rahisi sana kupata mwanamke, ukiwa na pesa tu hukosi mwanamke sijui vitu gani, mimi nikamuuliza kwahiyo imekuwaje mimi hata hunifahamu unaniunganisha kwenye hii biashara? akasema profile yangu haina mambo megi sijui anataka utuliu na bla bla bla kibao, huku kwetu pesa tu unampata mwanamke unayemtaka!. kwakweli simu ilivyokata niliwaza nikaogopa, sijaongea naye tena mimi pia nina tabia ya kujiuliza hayo maswali kama wewe! yaani like kanionaje huyu mtu? why anichgue mimi, yani huwa ninachukizwa na hizi mindset za wanaume sio siri! siku nikipata nafasi ya kudeal na iumbe vya iume sitochea na kima!😀
Gbam! (kwa lafudhi ya nigeria) 😂

Hiyo profile yako haina mambo mengi tunaipata sana hiyo, kumbe wanaamini sote ni malaya ila wanataka malaya ambao tumetulia tulia 🤣

Aaaiiii wanaume watatuua!

Okay kuongea na mtu just to enjoy their mind mimi nafanya sana nikiwa single , nakuja kuelewa watu wana matatizo makubwa sana !!!!! Sana !
 
Usipotoa hupewi tena😁wanapewa wanaotoa pesa, tushafikia huko hamna jinsi. Kei inaendesha maisha ya wanawake wengi sana. Nadhani wanaofanya biashara ya Kei kama mtaji ndo wamefanya wanawake wengine ambao wanahitaji pesa ila hawawezi kujitokeza waziwazi kuuza kama makahaba kutokana na sababu mbalimbali waje na mbinu nyingine yakutaka pesa za wanaume kwamba unihudumie ndo nikupe K la sivyo husitahili kupewa. Tunazinunua huo ndo ukweli ila wengine wanaona aibu kusema ndo maana bado wanakomaa kwamba wanaume niwajibu wao kuwapa pesa la sivyo Kei usiiombe.
Kutoa pesa ili kula mbunye sio tatizo, ila iende taratibu muelewane mue kwenye njia moja halafu kukolezea ndio pesa ianze kutumika sasa, lakini sio leo nakutongoza kesho tayari kuna birthday, simu yake imevunjika , hana bando yaani ni umalaya mtupu..
 
Gbam! (kwa lafudhi ya nigeria) 😂

Hiyo profile yako haina mambo mengi tunaipata sana hiyo, kumbe wanaamini sote ni malaya ila wanataka malaya ambao tumetulia tulia 🤣

Aaaiiii wanaume watatuua!

Okay kuongea na mtu just to enjoy their mind mimi nafanya sana nikiwa single , nakuja kuelewa watu wana matatizo makubwa sana !!!!! Sana !
sasa mimi naishia kuweka profile mtu anaona huyu huyu! mtu anataka malaya ila ana wivu anataka akumiliki yeye tu na kukulipa anakulipa! hii gender inasemaga haituelewi sisi sijui wao wanaeleweka wapi? na ile mindset ya kusema wanawake wote tunajiuza ni kufika bei tu! sijui kwanini wanakuwa hivi aisee..

Hakuna mtu asiyependa pesa, hata wanaume pia wanazipenda sana tu, you seen how poor guys act around rich men? lakini kwetu ndio fantasizing it with sex sio poa! Hakuna kipindi kigumu kama kukaa single aisee, u end up meeting with disgusting men, especially on these apps! Ndio maana mimi wakinitumia pesa nazitafuna tu then sitaki mazoea, acha tu nionekane tapeli.. 🫢
 
Gbam! (kwa lafudhi ya nigeria) 😂

Hiyo profile yako haina mambo mengi tunaipata sana hiyo, kumbe wanaamini sote ni malaya ila wanataka malaya ambao tumetulia tulia 🤣

Aaaiiii wanaume watatuua!

Okay kuongea na mtu just to enjoy their mind mimi nafanya sana nikiwa single , nakuja kuelewa watu wana matatizo makubwa sana !!!!! Sana !
Nimekumbuka biblia ilitabiri kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka. Na pia ilitabiri kuwa kwa sababu ya kuongezeka maasi upendo wa wengi utapoa.

Siamini kama wanaume wa zamani walikua hawaombwi hela na wanawake, walikua wanaombwa sana, ila walikua hawana maarifa mengi ndo moja ya kilichofanya hadi sisi tukazaliwa.

Miaka ya zamani mwanaume anamfukuzia mdada miaka hata 2 huku anahonga na haambulii chochote ndani ya kipindi hicho, mwishowe huyo mdada anakuja kuwa mke wake, miaka hii wanaume wangapi wanafanya hivyo, mwanaume sahivi ukimzungusha wiki ashapotea, akikufata leo kesho ukimuomba elf 5 anafuta namba, wengine tunaenda mbali zaid tunakuja jf kukufungulia uzi..😁😁

Wanaume wa sahivi wanafanya ivo kwa sababu gani "maarifa" na "kuongezeka maasi" binti kiziwi
 
kwahiyo pesa ya biashara niilete kwenye kamati ya mahusiano?😅
Ukishakuwa na hela sio lazima uchangie but gharama mdogo ndogo zinakuwa hazikusumbui automatically unarahisha kwenye kuhudumiwa kuliko kila kitu nikugharamie
 
Legend..! kama mwanamke haujawahi jipanga barabarani, kama haujawahi kujipost telegram kuwa unauza, kama social media zako ziko decent, kama mahali ulipokuwepo you were minding your business, ghafla mtu anakuja kukutongoza ili kesho yake alale na wewe , utashituka nusu upate mfadhaiko wa moyo.

Atoto akiniruhusu, nitakukuta mahali nikupige sound nikakulale ndio utaelewa nilijisikiaje siku hiyo 😂😂😂😂💔 nilisahau Halafu mshenzi msabato 😂😭
Dah! Pole sana mama ndio tulipofikia huku
 
Nimekumbuka biblia ilitabiri kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka. Na pia ilitabiri kuwa kwa sababu ya kuongezeka maasi upendo wa wengi utapoa.

Siamini kama wanaume wa zamani walikua hawaombwi hela na wanawake, walikua wanaombwa sana, ila walikua hawana maarifa mengi ndo moja ya kilichofanya hadi sisi tukazaliwa.

Miaka ya zamani mwanaume anamfukuzia mdada miaka hata 2 huku anahonga na haambulii chochote ndani ya kipindi hicho, mwishowe huyo mdada anakuja kuwa mke wake, miaka hii wanaume wangapi wanafanya hivyo, mwanaume sahivi ukimzungusha wiki ashapotea, akikufata leo kesho ukimuomba elf 5 anafuta namba, wengine tunaenda mbali zaid tunakuja jf kukufungulia uzi..😁😁

Wanaume wa sahivi wanafanya ivo kwa sababu gani "maarifa" na "kuongezeka maasi" binti kiziwi
Wa zamani tulienjoy that in our prime, basi tu haukuwa wakati sahihi kuingia ndoani kabla hatujakutana na haya mashaitan ya sikuhizi! unamzungusha mtu na shombo la kutosha ila yumo tu! hawa mbwa sikuhizi siku 5 nyingi anahamia kwingine! ana kazi ya kuhama hama kama wa-barabaig!😏
 
sasa mimi naishia kuweka profile mtu anaona huyu huyu! mtu anataka malaya ila ana wiu anataka akumiliki yeye tu na kukulipa anakulipa! hii gende inasemaga haituelewi sisi sijui wao wanaeleweka wapi? na ile mindset ya kusema waawake wote tunajiuza ni kufika bei tu! sijui kwanini wanakuwa hii aisee..

Hakuna mtu asiyependa pesa, hata wanaume pia wanazipenda sana tu, you seen how poor guys act around rich men? lakini fantasizing it with sex sio poa! Hakuna kipindi kigumu kama kukaa single aisee, u end meeting disgusting men, especially on these apps! Ndiomaana mimi wakinitumia pesa nazitafuna tu then sitaki mazoea, acha tu nionekane tapeli.. 🫢
Kumbe mnapenda utapeli mtarogwa
 
Back
Top Bottom