Ile dhana iliyojengeka ya kuwa andaa watoto wa kike kuwa omba omba imetuharibia kabisa kizazi cha sasa na kuongoza idadi ya singo mother na kupelekea kuwa na kizazi kisicho jua umuhimu wa baba;
1. Tunalea watoto wa kike tukiwaaminisha kuwa baba ndiye anatakiwa aendeshe familia kwa kila kitu
2. Tuna lea watoto wa kike tukiwaaminisha kila kitu kizuri anatakiwa aombe/anunuliwe na mwanamme
3. Tunawalea watoto wa kike tukiwaamini Ada za watoto, kujenga nk ni kazi ya mwanaume
4. Tunawalea watoto wa kike tukiwaaminisha kuwa Kipato chao ni chao pengine na familia zao (waliko toka)
5. Tunawalea watoto wa kike wakiamini akishakuwa na kipato kizuri sasa ni wakati wa kuishi kwa uhuru/kuwa singo kwa kutokubali tena maelekezo yoyote ya mumewe (kudai usawa bila kujali majukumu ya kawaida ya mama)
6. Tunawalea watoto wa kike huku wakiamini hata akifeli shuleni sio tatizo kwani ataolewa
7. Wanawake wakishakuwa na kipato wanaona kulea mtoto/watoto peke yao (singo mother) sio tatizo na hivyo ndoa nyingi za wanawake wenye kipato kuvunjika na hii imepekea kuwa na kizazi cha watoto wasiojua umuhimu wa baba ambapo ni hatari sana kwa siku zijazo.
8. Tunawalea watoto wa kike wakifikiri kile wanaochona kwenye tamthilia zawazungu ndiyo maisha BILA kujua wale ni waigizaji wapo kazini (zingatia neno WAIGIZAJI)
Hiyo mentality inatakiwa ibadilike kabisa kwa wazazi na kwa watoto wa kike kwani haya malezi/mafundisho yametuharibia kabisa watoto wa kike na hata wale walisoma na kuwa na kazi nzuri....
Najua wanawake hutumia maandiko kuhalalisha wao kuomba wanaume ILA Biblia ilichomaanisha ni tofauti...
1. Wanawake walio andikwa kwenye Biblia ambapo watatunzwa na kupewa kila kitu na wanaume ni wale ambao Mumewe anauwezo na wao wanakaa nyumbani, kuzaa na kulea familia
2. ILA Wanawake wanaotoka kwenda kwenye Biashara au makazini na kuacha watoto wanalelewa na house girl hao wanatakiwa kushiriki katika maendeleo ya familia iwemo kujenga nk kwa asilimia 100%
Hii tabia ya wanawake kuwa omba omba imepelekea mabiti wetu wengi, kuangukia wanaume ambao sio ndoto zao kwani wamekuwa wakifikiri yule mwanamme anaye ombwa na kutoa ndiye mzuri kumbe wanaume wa namna hiyo baadhi hutumia huo mtego...wameshajua udhaifu wa ombaomba ni kumpatia anachotaka kwa wakati huo...
TUBADILIKE NA KUWA ANDAA WASICHANA KUSOMA, KUFANYA KAZI MBALI MBALI NA KUSHIRIKI MOJA KWA MOJA KWENYE MAENDELEO YA FAMILIA ZAO.....