de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,912
- 21,643
Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu.
Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba kukufanya uone ilihali akiwa na malengo na wewe. Ni uwezo ambao mtu huzaliwa nao, na mwanzo unaweza kudhani ya kuwa wewe ni mtu wa tofauti, kama vile wewe hatukuumbiwa kuishi hapa duniani, maana ni kama wengine wanaishi maisha tofauti kabisa na jinsi wewe unadhani ya napaswa kuwa ila bado ukijaribu kuelezea watakuona umechizika au una jiona mjuaji.
Jesus, kwenye Bible alihukumiwa na kusurubiwa because watu hawapendi kitu wasicho kijua, change is painful..
Buddha alitoweka na kwenda kuishi peke yake jangwani ili aujue uhalisia ndani yake, just like Jesus alivyo funga na kutokula for 40 days and 40 nights.
hivyo isolation ndo kitu pekee ambacho hufanya mtu aliye chaguliwa kuona mambo ajue nini haswa alipaswa kukifanya humu duniani.
Katika safari hii, kuna kipindi cha mateso, kama jinsi Yesu alivyo surubiwa.
Hiyo ilikuwa metaphor ya death and rebirth. Katika maisha halisi death sio kufa mwili ni kufa kwa ego, ni kuachana na kila dhana uliyo mezeshwa na ulimwengu, ni kurudi katika ukuu wako.
It's one of the painful season, inaitwa dark knight of the soul unaweza kuhisi ndo mwisho wa maisha yako. Ila ndo kwanza safari mpya inaenda kuanza.
Utapoteza, mali, marafiki, ndugu na jamaa.. The more unavyo jitahidi kuvirudisha ndivyo maumivu yanazidi kuwa makubwa. Trust me divine plan kamwe haiwezi kuvunjwa. You can't override it. Lazima itimie...
Ndugu zangu, ambao wanaishi maisha yao bila kujali, shukuruni sana Mungu kwa sababu hamjui watu walofunguliwa wanapitia. Ni kazi pia kuja kuanza kuprove hii kitu kwa watu, ni mpka mtu aliye funguliwa aje.. Aone then a relate na safari yake then, aseme that's exactly what am going through too
Carl Gustave Jung aliwahi kusema
"until you make the unconscious conscious, it will always control your life and you'll call it fate"