Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,898
- 97,357
Kumbe una mke, mbona ulisema huna? 🤣 anyways, u should provide more and more mkuu😃BACK THEN MY WIFE USED HAVE MORE MONEY THAN I DID, STILL I HAD TO PROVIDE HER MONEY FOR HER NEEDS.
Kumbe una mke, mbona ulisema huna? 🤣 anyways, u should provide more and more mkuu😃BACK THEN MY WIFE USED HAVE MORE MONEY THAN I DID, STILL I HAD TO PROVIDE HER MONEY FOR HER NEEDS.
HAPA YENYEWE IMETOKEA TU.Kumbe una mke, mbona ulisema huna? 🤣 anyways, u should provide more and more mkuu😃
Eti huyo kuku ulicheza nae utotoni 🤣🤣🤣View attachment 3601535@binti kiziwi tutakoma🤣
Thank you!HAPA YENYEWE IMETOKEA TU.
I RARELY/HARDLY PUBLISH MATTERS RELATED TO MY FAMILY ONLINE, BUT YES, A FAMILY MAN SO COME JOIN ME IN MY CRIB
Acha tu mkuu, vya watu kuvila ni kazi kweli!Eti huyo kuku ulicheza nae utotoni 🤣🤣🤣
Anaelewa sana 😂Huyo kiranga anajua hapa USA 😹😹
Bongo usipoomba pesa utapigwa rungu la kipepe na mikopo ya kausha damu.. halafu mwisho wa siku jamaa anasepa anaenda kuoa mwingine anayejua kutumia pesa..!!
Chakula nayo sio kitu ya kwenda kufanya mapenzi na mtu jameni.View attachment 3601535@binti kiziwi tutakoma🤣
Hii ni kweli kabisa, siku hizi huko Afrika ni " kula na kulipa". basi jana wakati najibu jibu uzi hapa nikasema ngoja niende mtaa wa pili wa instagram maana huko mie nakuita ni "RED LIGHT STREET". Kuna dada mmoja wa kibongo yupo vizuri ni mke wa mtu na anonekana mumewe ana uwezo na huyo dada ni muajiriwa wa serikali anaonekana ni boss kidogo . Nilikuta ametupia picha moja matata sana na kwa vile ana lile umbo ambalo ndio wanawake niwapendao yaani " medium size" mie uwa sipendi makatapila wale wenye maumbo na matako makubwa kama wabongo wengi wayapendao, basi nili like ile photo yake na kutupia comment ya maneno mawili tu " absolutely stunning" nikaweka na emoji ka moyo. Baada ya kutupia tu ile comment nikaona message imeingia baadae kidogo kwenye inbox. Kumbe ni yule dada anashukuru kwa comment yangu, baadae tukachat kidogo kwa kuheshimiana tu. Mwishoni nikamwambia mwaka huu lazima nitie timu huko bongo, basi hapo ndio nikawa nimechokoza zali. Nilikaribishwa sana bongo na kupewa orodha ya vitu nimpelekee nikienda, perfumes nikapewa na list azipendazo, viatu, pochi na iphone 17. Nilimwambia tu hamna shida.Usipotoa hupewi tena😁wanapewa wanaotoa pesa, tushafikia huko hamna jinsi. Kei inaendesha maisha ya wanawake wengi sana. Nadhani wanaofanya biashara ya Kei kama mtaji ndo wamefanya wanawake wengine ambao wanahitaji pesa ila hawawezi kujitokeza waziwazi kuuza kama makahaba kutokana na sababu mbalimbali waje na mbinu nyingine yakutaka pesa za wanaume kwamba unihudumie ndo nikupe K la sivyo husitahili kupewa. Tunazinunua huo ndo ukweli ila wengine wanaona aibu kusema ndo maana bado wanakomaa kwamba wanaume niwajibu wao kuwapa pesa la sivyo Kei usiiombe.
Sisi tunajua wanaume mna pesa lazima tuwaombe tu iwe mnataka Kei au hamtaki..!! 😹Siku hizi hata usipomuomba mwanamke k utaomba hela tu Kwanza ataanza na hili samahani unaweza kunisaidia bando ukishampa tu bando ni kama vile umefungulia mbwa ataanza kuomba shida zske zingine mara ooh Nina njaa, gas imeisha n.k in short wanawake kwenye suala la kuomba omba ovyo limekuwa ni kama tabia
Kiranga ukija bongo uniletee iPhone 18 toleo jipya la mwaka huu. (Bado haijatoka, mpaka ukija itakuwa tayari) pochi, viatu na perfume 😹😹😹Hii ni kweli kabisa, siku hizi huko Afrika ni " kula na kulipa". basi jana wakati najibu jibu uzi hapa nikasema ngoja niende mtaa wa pili wa instagram maana huko mie nakuita ni "RED LIGHT STREET". Kuna dada mmoja wa kibongo yupo vizuri ni mke wa mtu na anonekana mumewe ana uwezo na huyo dada ni muajiriwa wa serikali anaonekana ni boss kidogo . Nilikuta ametupia picha moja matata sana na kwa vile ana lile umbo ambalo ndio wanawake niwapendao yaani " medium size" mie uwa sipendi makatapila wale wenye maumbo na matako makubwa kama wabongo wengi wayapendao, basi nili like ile photo yake na kutupia comment ya maneno mawili tu " absolutely stunning" nikaweka na emoji ka moyo. Baada ya kutupia tu ile comment nikaona message imeingia baadae kidogo kwenye inbox. Kumbe ni yule dada anashukuru kwa comment yangu, baadae tukachat kidogo kwa kuheshimiana tu. Mwishoni nikamwambia mwaka huu lazima nitie timu huko bongo, basi hapo ndio nikawa nimechokoza zali. Nilikaribishwa sana bongo na kupewa orodha ya vitu nimpelekee nikienda, perfumes nikapewa na list azipendazo, viatu, pochi na iphone 17. Nilimwambia tu hamna shida.
Sasa swali langu waungwana, hivi kwa hio list niliopewa nimnunulie hivyo vitu hapo si ina maana tayari huyo ni mbuzi keshageukia kiblah tayari kwa kuchinjwa!! ninachosema ni kua hii mitandao imefanya wanawake wamekua rahisi sana, na huyo ni mfanyakazi wa umma na mume wake anaonekana anajiweza,.
Nitakuletea vyote pamoja na pochi ila na wewe unifungulie kipochi manyoya chako.Kiranga ukija bongo uniletee iPhone 18 toleo jipya la mwaka huu. (Bado haijatoka, mpaka ukija itakuwa tayari) pochi, viatu na perfume 😹😹😹
Nimecheka sana aiseee..!!
Sasa wewe umesema lazima utie timu bongo, ulitaka akukaribishe mgeni mikono mitupu na huko ndo HQ ya dollars jamani..!! 😹😹
😹😹😹 Mjini hakuna cha bure sembuse Kei?Ngoja nilale! Nakupenda bure tu kwa hiyo comment yako murua na ya kibabe…kama hataki kuombwa…
Hakuna K ya bure hapa duniani. Na starehe gharama ati. Huna uwezo, waachie wenye meno watafune. Nakumbuka enzi hizo, Wema alitoa mpya kuwa usione binti anapendeza upaja, umegharamiwa.
😹😹😹 Umefanya nimecheka mpk watu wananishangaa..!!Nitakuletea vyote pamoja na pochi ila na wewe unifungulie kipochi manyoya chako.
Umefuraaahi.😹😹😹 Umefanya nimecheka mpk watu wananishangaa..!!
😹😹😹 Mtoto wa mzee wa Lupaso naye kaja kiwanja?Yule mwana kasepa nilikuwa naongea naye juzijuzi eti naye analalamika Bongo pelasopelaso yuko viwanja anapiga deal.
Nikasema nyie watu hamna aibu, na wewe mwenyenchi unalalamika Bongo pelaso tena?
Mkuu tayari huyo, hilo furushi la zawadi litamfanya ajihisi anadeni kwako na atahisi ni lazima akupe zawadi kubwa zaidi ambayo wewe utaifurahia zaidi wakati kwa kawaida hatokuwa nayo😀😀😀Lazima akupe Kei tu ndo kitu anajua atakuwa kakuzawadia cause wanaume wanajua hii ndo zawadi kubwa kutoka kwa mwnamke.Hii ni kweli kabisa, siku hizi huko Afrika ni " kula na kulipa". basi jana wakati najibu jibu uzi hapa nikasema ngoja niende mtaa wa pili wa instagram maana huko mie nakuita ni "RED LIGHT STREET". Kuna dada mmoja wa kibongo yupo vizuri ni mke wa mtu na anonekana mumewe ana uwezo na huyo dada ni muajiriwa wa serikali anaonekana ni boss kidogo . Nilikuta ametupia picha moja matata sana na kwa vile ana lile umbo ambalo ndio wanawake niwapendao yaani " medium size" mie uwa sipendi makatapila wale wenye maumbo na matako makubwa kama wabongo wengi wayapendao, basi nili like ile photo yake na kutupia comment ya maneno mawili tu " absolutely stunning" nikaweka na emoji ka moyo. Baada ya kutupia tu ile comment nikaona message imeingia baadae kidogo kwenye inbox. Kumbe ni yule dada anashukuru kwa comment yangu, baadae tukachat kidogo kwa kuheshimiana tu. Mwishoni nikamwambia mwaka huu lazima nitie timu huko bongo, basi hapo ndio nikawa nimechokoza zali. Nilikaribishwa sana bongo na kupewa orodha ya vitu nimpelekee nikienda, perfumes nikapewa na list azipendazo, viatu, pochi na iphone 17. Nilimwambia tu hamna shida.
Sasa swali langu waungwana, hivi kwa hio list niliopewa nimnunulie hivyo vitu hapo si ina maana tayari huyo ni mbuzi keshageukia kiblah tayari kwa kuchinjwa!! ninachosema ni kua hii mitandao imefanya wanawake wamekua rahisi sana, na huyo ni mfanyakazi wa umma na mume wake anaonekana anajiweza,.
Kwahiyo mmetugeuza kuwa BankSisi tunajua wanaume mna pesa lazima tuwaombe tu iwe mnataka Kei au hamtaki..!! 😹
Wewe sina wasiwasi uhakika wa dollar upo. Njoo nakupa kipochi 😹😹😹Umefuraaahi.
Ukifurahi na mimi nafurahi.
Ndio nyie bank zetu zinazotembea kote duniani..!!Kwahiyo mmetugeuza kuwa Bank